johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,853
- 141,772
Madiwani ndio wanapitisha mapato na matumizi ya serikali za mitaa yaani halmashauri.
Madiwani wengi kama siyo wote ni wa CCM.
Mkurugenzi hutoa mapendekezo kwa baraza la madiwani kuhusiana na manunuzi yote na hawezi kununua bila approval ya baraza.
Sasa kwenye kesi ya magari ya kifahari ya wakurugenzi aliyekosa uzalendo ni mkurugenzi au ni CCM?
Maendeleo hayana vyama!