magari

  1. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

    Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine. Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
  2. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

    Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa. Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwakata, Shinyanga: Ajali ya magari matatu 'Lori, IST, Hiace' na Trekta yadaiwa Watu 20 wamefariki, 15 wajeruhiwa (Agosti 8, 2022)

    Watu 20 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari matatu na Trekta katika eneo la Mwakata barabara ya Isaka Kahama mkoani Shinyanga. Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo imetokea majira ya saa nne usiku Jumatatu Agosti 8,2022 ikihusisha gari ndogo IST...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Pamoja na bei ya mafuta kupanda, watu wanaendelea kutumia magari na vyombo vingine vinavyotumia mafuta. Je ni kweli wako vizuri kipesa?

    Kwa maelezo ya waziri mkuu mstaafu mhe. Msuya akiwa kwenye kipindi cha dk 45 cha ITV, ni kama amemaanisha kwamba uwepo wa magari mengi mjini au barabarani ni kutokana na hali za maisha kutofanana. Ni kama vile wanaotumia vyombo hivyo hawaoni tofauti ya kupanda kwa bei. Na kwamba wana hali nzuri...
  5. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Zijue namba za Magari na maana zake

    1:Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na nembo ya taifa ya Bwana na Bibi. Kwa Kiingereza magari haya hufahamika kama State Cars. 2. Spika wa...
  6. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics

    Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme. Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu... Mfano kwenye engine tu peke yake, Mfumo wa hewa una umeme [MAF sensor na IAT sensor/IAT sensor na MAP sensor] Mfumo wa mafuta una umeme...
  7. Stroke

    JamiiForums Tanzania Haya Magari yenye Bendera za CCM yanayoendeshwa bila kufuata sheria wahusika wakanywe

    Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi. Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi. Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
  8. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Magari ya taka yavute vyoo usiku na sio mchana

    Wadau hii imekuwa kero, mtu umekaa mahali unapata chakula unasikia harufu mbaya na kuanza kuhisi kuna mtu amepumua. Baadaye unagundua ni gari linavuta choo kwa jirani. Kwanini magari haya yasiwekewe utaratibu yawe yanavuta usiku, nasema usiku kwa sababu kunakuwa na idadi kubwa ya watu...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali ili kutoa mchango wa kupunguza ajali za magari

    Hakuna shaka ubovu wa vyombo vya usafiri una mchango mkubwa katika ajali zinazotokea nchini ikiwemo iliyochukua uhai wa watoto wa shule hapo majuzi. Nashauri wizara husika ipeleke mswaada bungeni ili itungwe sheria ya ukaguzi wa magari , kama usivyoweza kuendesha gari bila bima , basi kuwe...
  10. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa wanao nunua spare za magari mzigo chimbo bei chee , CV joint za magari yote

    Obs Company tupo kwenye wiki ya CV JOINT Karibuni wote wana JF wanaopenda kununa spare za magari kwe bei ya Jumla , Mzigo wa CV joints umeishaingia Dukani karibuni dukani kwetu mjipatie Spare za Magari kwa bei ya jumla sawa kama bure Spare zetu za magari ni Mpya kabisa na imara kwa matumizi...
  11. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni kitu Gani kinasababisha magari kuwa na milio tofauti?

    Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin. Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya Goba Rd Masana, Magari (4) na Bodaboda Yagongana USO Kwa Uso!. Congestion ya Balaa!. Thanks God No Casualty, No Fatality!

    Wanabodi Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital. Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba DIT ifungue tawi hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi asilia kwenye magari

    Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali. Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa magari yaliyotumika kutoka Japan kufanyika hukohuko itasaidia kupunguza figisu

    Ninaishukuru sana Serikali kwa uamuzi ulioufanya kwa ukaguzi wa magari yaliyotumika yanayotoka Japan kufanyika huko huko Japan. Kusema kweli TBS wamejiharibia wao wenyewe, kwa asilimia kubwa hakuna mteja aliyetoa gari yake bila kutoa rushwa. Kulikuwa na figisufigusu ya hapa na pale mara mteja...
  16. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Wanao nunua spare za magari tukutane hapa

    Mzigo Mpya Umeingia Shock dust Cover za Ist ZImeingia jaman bei ya Jumla ni kama Bure .. karibuni dukani tunawauzia kwa bei ya jumla kuanzia Pc 4 tupo kariakoo mtaa wa Swahili na Udowe Kwa Mawasiliano nipigie au nicheck whats app +255 766 999 775
  17. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Magari yote ya kubeba maiti yatakiwa kulipa Tsh milioni

    Kila siku Serikali kupitia vitengo vyake mbalimbali wanabuni njia za kuongeza mapato. Tozo mpya ya shilingi milioni moja kwa magari yanayokodishwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo ya kubeba miili ya marehemu inatazamiwa kupitishwa na kuanza kutumika, kumbuka tozo hiyo inayosimamiwa na...
  18. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya Wauza Spare za Magari kwa reja reja

    Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri. Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Simiyu: David Kafulila apiga marufuku usafirishaji abiria kwa magari madogo yanayotambulika kama "Mchomoko"

    13 July 2022 Simiyu, Tanzania, MCHOMOKO" Posted On: July 13th, 2022 RC SIMIYU APIGA MARUFUKU MICHOMOKO KUBEBA ABIRIA. MKUU wa mkoa wa Simiyu,David Kafulila amepiga marufuku kwa magari madogo ya abiria yanafanya biashara ya kusafirisha watu maarufu kwa jina la Michomoko katika mkoa huo...
  20. Financial Freedom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanza magari mengi ni Kluger?

    Habari wakuu, Nimetembea majiji mbalimbali esp. DSM, Arusha, Mbeya, Tanga na Mwanza ila Mwanza magari aina ya Kluger ni mengi sana na Arusha kidogo halafu wachina pia wanayatumia. Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
Back
Top Bottom