magari

  1. Execute

    JamiiForums Tanzania Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

    Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma. Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari. Picha na video zinatisha sana
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Yajue magari 6 ya kifahari yaliyotumiwa na Mwalimu Nyerere

    Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam, imehifadhi magari 6 yaliyotumiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati wa uhai wake, likiwemo gari ambalo lilitumika katika awamu tatu za uongozi. Mhifadhi wa Makumbusho, Pius Gondeka amesema magari yote kila moja lina historia yake, likiwemo gari aina...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaonunua Magari kwa Kuyaagiza Moja kwa Moja kutoka 'Majuu' na hawa wanaoyanunua 'Yards za Tanzania' Wanadharauliana sana?

    Wenyewe wanasema kuna Raha yake Kuliagiza Mwenyewe kutoka Mamtoni ( Majuu ) kuliko Yule ambaye anaenda Kununua Yard tena na Fundi wake kabisa Ili Kubahatisha lililo zuri na salama. Haya mlio na Magari yenu mliyoyaagizia kutoka Majuu na mliyonunua hapa hapa Yards za Tanzania tafadhali karibuni...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanaotumia Gesi kwenye magari wakosa huduma siku 5

    Watumiaji wa gesi asilia kwenye magari wako njia panda kwa siku ya SIku 5 sasa baada ya kukosa huduma hiyo tangu mwishoni mwa wiki iliyopita. Uchunguzi umebaini kuwa mashine ya mgandamizo inayotumika kujaza gesi katika magari imepata hitilafu.
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miezi 8 ajali zimeua watu 1,038, Magari ya Serikali ni 11.5%

    Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, Wilbroad Mutafungwa amesema ndani ya muda huo jumla ya ajali 1,177 zilitokea huku 135 zikiwa za magari ya Serikali ambayo ni sawa na 11.5% kwa mwaka 2022 Takwimu hizo pia zinaonesha mwaka 2021 ajali zote zilizotokea zilikuwa 1,698 kati ya hizo...
  6. MOONFISH

    JamiiForums Tanzania Jamaa wa Afrika Kusini akionesha 'feature' ya E63 AMG ya gari kujiegesha lenyewe

    hiii gari kumbe ni tamu hivi sikujua kama ina hiii kitu iko poa sana nimeipenda ina bidi nikanunue siku moja nikienda mbinguni
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya cha kuunganisha magari Kimefanikiwa kutoa ajira mpya 3000

    Ni huko nchini india, ni kwa kupitia makubaliano maalum ya kugawana teknolojia na kampuni ya Leyland ya Uingereza, makubaliano kama haya yamekuwa yakofanyika na kampuni ya Hyundai ya Korea kusini. Video chini inaonyesha zoezi la kuunganisha magari. ========================
  8. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Taa za kuongoza magari Moroco Ally Hassan Mwinyi road hazifanyi kazi siku ya 3 leo.

    Huwa napita hii barabara kila siku. Cha kushangaza leo ni siku ya tatu taa hazifanyi kazi tunaachiwa tujiongeze kwa kutumia akili zetu. Tanroads kama hamjapata taarifa ninawapa taarifa sijui kuna shida gani taa hazifanyi kazi na kuachia watu wajiongoze kwa kutumia akili zao na week end hii...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DART: Magari pekee yanayoruhusiwa kutumia njia za Mwendokasi

  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Taa zikisharuhusu magari yaende, dereva hatakiwi tena kusimama kwenye zebra. Mtembea kwa miguu asubiri taa yake

    Matumizi ya zebra kwa waendao kwa miguu maeneo yenye taa, yanaongozwa na taa za barabarani. Na hii ni kwa mujibu wa kifungu cha 65(7)(b) na 65 (8). Jukumu la kuheshimu taa za barabarani ni la watumiaji wote wa barabara na sio magari tu. Hivyo basi, kwa mujibu wa kifungu cha 65 (7)(b) muenda...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nini kitatokea endapo serikali itapiga marufuku uagizaji wa magari binafsi ya kutembelea?

    1.) Je, ni shillingi za kiTanzania trillion ngapi hutumika na waTz kwa mwaka kuagiza magari ya kutembelea? Na je, baada ya zuio hilo matrillion hayo wanaweza kuyatumia kwenye nyanja ipi kama mbadala? Ujenzi au kilimo? 2.) Je, mikangafu inayoozea gereji juu ya mawe inaweza ikapanda thamani na...
  12. Prospogi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Serikali ya Tanzania itumie magari madogo (small SUVs)

    Tanzania, nchi yangu nzuri, inayotajwa kufikia uchumi wa kati wa chini, imebarikiwa kuwa na rasilimali za aina mbalimbali kama vile ardhi nzuri ya kilimo, madini, misitu, n.k; bado inakuza uchumi wake taratibu sana kutokana na changamoto mbalimbali. Moja ya changamoto kubwa sana kwa miaka mingi...
  13. Babuu100

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inanunua magari ya Tsh 300M hadi 500M?

    Haya nayo ni majabu ya Tanzania. Pamoja na kwamba naunga mkono tozo lakini siungi mkono Serikali kununua magari ya kifahari. Magari ya kifahari tuwaachie watu binafsi na sio serikali. Kwenye hili tusilaumu Serikali iliyopo pekee hata Kikwete na Magufuli walitumia pesa vibaya sana na hasa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Magari 20 ya bei kubwa zaidi 2022 hadi sasa

    Kuanzia Lamborghini hadi Rolls, watengenezaji wa magari hawakati tamaa linapokuja suala la kutoa magari ya kifahari na maridadi zaidi ulimwenguni. Class, muundo ambao haujawahi kuonekana, injini yenye nguvu, na starehe- magari haya hutoa haya na mengine mengi. Magari ya kifahari zaidi yana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya vijana wanunue magari yanayotumia mafuta kidogo hawakutusikia

    Yaani vijana wa siku hizi wabishi na wapenda sifa za kijinga. Utamkuta kijana anakunja laki 8 kwa mwezi baada ya kodi, makato na tozo Yani kitaa hatuna amani fujooooo. Tukawaonya na kuwashauri acheni kununua magari yanayotumia mafuta mengi baneni matumizi kwa kununua IST, Passo, vitz na...
  17. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wazee walizeekaje bila kukunua magari? Kwanini tuwaachie viti kwenye daladala ili sisi tusimame?

    Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi. Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wazuia magari, watu kupita eneo la Mahakama Kuu

    Katazo hilo linakuja ikiwa ni masaa chini ya 24 yamesalia kwa Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu Matokeo ya Rais ambayo yaliwekewa Pingamizi na Mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Katika taarifa yake Jeshi la Huduma za Polisi (NPS) pia limezuia matumizi ya Barabara zote zinazoelekea...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Harakati za kuikomboa Kherson, Urusi wapoteza vifaru vingine 25 na magari 37

    Himars kwa kwenda mbele, On Saturday, the Ukrainian armed forces said on its Facebook page that Russia had lost an additional 25 tanks, taking the total number of such vehicles reportedly destroyed since the start of the full-scale invasion on February 24 to 2,034. In its daily update, Ukraine...
  20. Almahri08

    JamiiForums Tanzania Biashara Spare parts za magari

    Habari za asubuhi mabibi na mabwana Ningependa kupata ushauri kwenu Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
Back
Top Bottom