Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam, Venance Ramadhani (36) kwa tuhuma za wizi wa gari aina ya Nissan Xtrail.
Kukamatwa kwa gari hilo kulitokana na askari wa usalama barabarani walipokuwa wakifuatilia madeni ya faini za tozo la makosa ya...
Ndani ya week 2 kuna gari tano (5) Zimeibwa Tabata, Gari Mbili zimeibwa Mlimani City. Moja ya Tabata imeibwa karibu kabisa na kituo cha Polisi. Mlimani City jamaa yangu kaibiwa Toyota Crown. Naambiwa pia Kimara kuna gari mbili zimeibwa moja ikiwa imepark nje Bar na nyingine Ndani.
Naanza...
Royal tour ebu tuendelee kuitangaza sio kwa ufupi namna ile hii twende nayo kila kona haya mabasi mwendokasi na ikiwezekana hata baadhi ya majengo ya ofisi yawepo matangazo ambayo yatakuwa endelevu
Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
Kuishi kwingi ni kuona mengi.. Nimeona mengi yakibadilika kwenye ununuzi wa magari..
1. Enzi hizo watu waliokuwa kwenye circle yangu hakuna aliyenunua gari kwa mkopo.. Gari tulidunduliza hela mpaka tukavuta..
2. Magari yetu ya kwanza almost 85% yalikuwa ni pick ups.. Hakukuwa na mnunuzi wa...
Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo:
1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
Haya magari yamegharimu 200M+ hadi 400M+ kwa bei ya "kuuziana" yatanunuliwa kwa nusu ya bei halisi (hasara).
Hawa madereva mtawafukuza kupunguza wage bill?
Wazo langu ni kuyatoa TEMESA kila ofisi itafute garage yao kwa ajali ya service.
TEMESA wanapiga sana magari ya serikali hadi najiuliza...
Wadau wa JF naomba nijuzwe kwa ufasaha, kodi ipi ni kubwa, kati ya kuagiza gari mpya kabisa japan, na gari used japan, mfano gari toyota premio ya 2011 na ya premio mpya sio used ni mpya ya 2018.
sababu zangu ni hizi hapa;
1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
Hasa Dar imekuwa kero sana hivi halmashauri inakuwaje mnatoa ujenzi wa majumba katikati ya Mji mahoteli na ya biashara bila majengo hayo kuonesha wapi magari yatakuwa yanapaki?
Watu wakipaki magari yao barabarani inakuwa finyu watu tunashindwa kupita kwa amani na magari yetu ya kifahari
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Naomba kusisitiza kwenye showroom zile za maana ukiacha wale wanaofake Kwa kutoa vitu na kuminimise speed reading
1. IST.
2. Vts.
3. Toyota Altezza Gita
4. Carina TI.
5. Volts.
6. Suzuki.
7. Nadia.
8. Balloon 4.
9. Gx100
10. Corona old model.
11.Allexes.
12. Premio old model.
13. Wish.
14...
AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR
Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Kimya kabisa! Lakini, nikuahidi kuwa ni operesheni endelevu.
…juzi tulipata matukio ya...
Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongozi wengine wakuu wa kitaifa hupenda kukaa siti ya nyuma kwenye magari na sio siti ya mbele? Nini huwa sababu hasa
Dear All,
Greetings ...
We are looking for a highly –motivated and result orientated sales manager professional, with atleast more than 2 years experience within used car industry.
With proven track record of exceeding performance expectation and remaining customer focused in broad range of...
Gharama ya mafuta ya magari ni ghali sana kwa hivi sasa na nimesikia kuwa DIT wana utaalamu wa kukarabati magari na kuyawekea gesi asilimia ili itumike badala ya mafuta ya diezeli na petroli. Nimesikia utaratibu huu tayari umeanza kule Dar es Salaam na hivyo na sisi wananchi wa Mwanza tunaomba...
Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa wanaendesha magari kwenye barabara hiyo.
Kwa makusudi kabisa tena bila kujali, sasa hivi magari ya JWTZ hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Na tunawaona kila siku jijini Dar.
Picha hii ni leo Mwenge DSM.
Hii kwa jeshi ni dalili moja ya indisciple katika jeshi, kwa kuonyesha kuwa nani atanifanya nini.
Picha ya close-in kuna...
Ukiondoa magari ya IKULU na yale ya Viongozi wa kitaifa;
Naishauri ofisi ya waziri mkuu ikiongozwa na Mh Majaliwa Kassimu kwa kushirikiana na Tamisemi chini ya Bashungwa!
Waelekeze magari yote ya serikali yapakwe rangi ya nembo ya taasisi husika kama ilivyo kwa taasisi chache kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.