mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. cutelove

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga. Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati. Wanaume jipakeni mafuta na makalio...
  2. Mgambilwa ni mntu

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzima Mitambo yote ya TANESCO inayotumia mafuta mazito kufikia mwaka 2020: Ni baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge

    Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akiwa mkoani Njombe, ameahidi kuwa, Serikali inatafajia kuzima mitambo yote ya TANESCO, inayotumia mafuta mazito baada ya kukamilika kwa Mradi wa Stiegler's Gorge ifikapo mwaka 2020. Dk. Kalemani alieleza kuwa, umeme wa mafuta mazito ni wa gharama kubwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya kupikia ya mawese

    Nauza mafuta ya kupikia ya mawese kwa anaye hitaji be ni Tsh 3,000 lita moja Tsh 1500 nusu lita Tsh 800 robo lita
  4. ruby garnet

    JamiiForums Tanzania Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

    Wana JF uliza swali lako lolote kuhusu madini, mafuta na gas, kuanzia njisi yanavyojitengeneza ardhini, kufanyiwa utafiti, kuchibwa hadi kuuzwa nawe utajibiwa na mtaalamu wako hapo.
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

    Kama mnavojua msichana akijifungua, mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia. Hasa weupe sana ndio huadhirika zaidi. Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo, isiwe mkorogo.
Back
Top Bottom