The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.
Nina hofu kuwa mafuta yatashuka thamani siku si nyingi hivyo tungechangamka kuchimba mafuta yanayosemekana yamegunduliwa katika bahari ya Hindi.
Mfano baadhi ya nchi jirani wameanza kutumia gesi katika magari yao hivyo ni hatari kwa solo la mafuta. Uganda wanaanza kuchimba siku si nyingi japo...
Gari nne likiwemo lori la mafuta zimegongana na kusababisha ajali katika eneo la Mlandizi mkoani Pwani usiku wa kuamkia leo Julai 2, na kupelekea kifo cha mtu mmoja na majeruhi watatu, abiria wanaotokea Dar es Salaam wameshauriwa kutumia barabara ya Bagamoyo.
Akifafanua zaidi kuhusu tukio hili...
Wakuu heshima kwenu,
Nasikitika kuwatangazia kuwa, eneo la Kyela halina mafuta kwa wiki ya tatu sasa.
Inasemekana depo ya kutunzia mafuta huko Dar es Salaam wauzaji mafuta wamegoma kuaupply mafuta sheli ndogo za mikoani.
Kinachoshangaza Ni kuwa sheli za eneo la boda na Tukuyu hata mbeya jiji...
Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.
Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini...
Siku ya nne leo tangu vituo vya kuuzia mafuta ya vyombo vya usafiri kufungwa mafuta yamekuwa adimu kulingana na mahitaji.
Vituo hivyo vilifungwa kukiwa na tetesi za uchakachuaji wa vipimo.
Adha tunazopata.
Foleni kubwa kwa baadhi ya vinavyofanya kazi.
Kupangiwa kiasi cha mafuta
Pikipiki...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imevifutia leseni za uuzaji wa mafuta vituo vitano, kwa makosa ya kuficha, kutouza na kuuza mafuta juu ya bei elekezi huku ikotoa onyo kali kwa wauzaji wa nishati hiyo wanaojaribu kufanya hujuma na kukiuka maagizo ya Serikali.
Akizungumza...
Tuna akiba ya dollar bilion 5.3 za kuweza kuagiza bidhaa kwa muda wa miezi 6. Halafu nchi haina mafuta juzi nilikuwa Kigoma hakuna mafuta jana nimeenda nimepita Mpanda hakuna mafuta.
leo nimefika Sumbawanga hakuna petrol huu ni zaidi ya utoto yaani mikoa zaidi ya 3 hakuna mafuta unakuta mji...
Mafuta petroli na dizel yamepotea kuanzia Mji mdogo wa Ruaha hadi Ifakara. Lita moja ya petrol twauziwa shs 3,000/ kwenye chupa. Yaani ni shida tupu.
Ewura saidia please.
Mafuta ya petrol na dizel yapotea kilombero siku ya nne sasa hadi ifakara. Walanguzi watulangua shs 3,000/ kwa lita ya chupa za barabarani. Ewura please lioneni tatizo hili .
Habari wakuu , natumaini tunaendelea vyema na majukumu ya kila siku .
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu ,nina shida ya nywele zangu kuwa na uweusi wenye rangi ya ugolo kwa mbali. Nywele hazina uweusi mzuri, napata shida kidogo kwenye suala zima la utanashati .
Kwa sasa natumia...
Kwa siku za karibuni Serikali ilitangaza kushuka kwa bei ya nishati ya mafuta. Jambo hili lilifurahisha sana watumiaji wa nishati ya mafuta lakini liliwakasirisha sana wenye vituo vya mafuta.
Kwa sasajinsi inavyoonekana, wenye vituo vya mafuta kama vile wana mgomo baridi. Vituo vingi ukitaka...
ITV leo asubuhi imemuonyesha Waziri wa Mifugo, Mhe. Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya kuzuia vitendo vya KISHETANI vinavyofanywa na Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania kuchafua maziwa ya ng'ombe yanayouzwa na Wajasiriamali wanawake katika eneo la Ubungo kwa kuyamwagia mafuta ya taa, au rangi ili...
Mkaratusi ni mti wenye harufu nzuri na unapatikana kila sehemu duniani. Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye majani yake na kuweza kutumika kama tiba
Hutuliza kikohozi. Hii ni kwa kujichua kwa mafuta kwenye kifua na koo kuondoa dalili zote za kikohozi. Husafisha kifua, kwa vifua vya kubana na kamasi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashtaka mnamo tarehe 22/06/2020 itamfikisha katika mahakama ya wilaya ya Simanjiro mmiliki wa kituo cha mafuta Simon Lemeya kilichopo Wilaya ya Simanjiro Simon Lemeya Tukai.
Lemeya...
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani ametoa siku saba kuanzia jana kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) na Wakala wa Kuagiza Mafuta kwa Pamoja kuwasaka wafanyabiashara wanaofi cha mafuta au kuuza mafuta juu ya bei elekezi na kuwachukulia hatua za kisheria.
Akizungumza...
Habari
Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari
Ninatafuta partner.
Masharti :
Awe na skype, tuzungumze kwa haraka.
Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja.
Ahsante
Habari zenu wanabodi.
Siku chache zilizopita TPDC ilifungua rasmi kituo cha mafuta cha kisasa kabisa Musoma mjini, na jana wamefungua tena huko Segera mkoani Tanga na katika mahojiano na vyombo vya habari Mkurugenzi mkuu wa TPDC ndugu James Mataragio, Alinukuliwa akisema kwamba lengo lao ni...
Mafuta ya Zaituni Olive Oil
Mafuta ya zaituni yana manufaa mengi katika mwili na maisha ya binadamu kwa ujumla kama ifuatavyo;
(1)Mafuta ya zaituni hutibu maumivu ya tumbo kwa kunywa kijiko 1 mara 2 kwa siku
kwa muda wa siku 7 hadi siku 11 inshaallah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.