mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Pump za mafuta kituo cha Satale (Mpiji Magoe) zinatuibia mafuta

    Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki . Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna baadhi ya Halmashauri kupitia Mfumo wa Tausi wanatoa muda mfupi sana kulipia viwanja

    Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo. Kwa sasa, baadhi ya halmashauri hutoa muda mfupi sana wa kulipia viwanja hivyo. Kuna maeneo ambapo mnunuzi...
  3. JamiiForums Tanzania HOJA Kwenye umeme na mafuta....

    Tuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi... Unanua umeme wa 5000/= Unapata unit za 3800/= Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU MAWINGA.... UMEME WA BWAWA LA NYERERE Ulisafirishwa kwenda wapi mbona Bei YA umeme haishuki kama supply...
  4. JamiiForums Tanzania Car4Sale Mercedes-Benz A180 mafuta kisoda iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 32.8M Call📞+255 747 999 927 MERCEDES BENZ A-CLASS Year: 2014 Engine: 1,590Cc Mileage: 70,000+ Transmission: AUTO ✨Sport Rims ✨Parking Sensors ✨Metal Performance Pedals ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  5. JamiiForums Tanzania EWURA tupeni bei za mafuta tulale kwa Amani!

    Tumesharefresh sana website yenu ila hollah!
  6. JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda tena kuanzia kesho

    Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena. Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake. Maadui hawa wa...
  7. JamiiForums Tanzania Unga hivi maharage kama hupendi/hutumii mafuta

    Hi guys hope mko poa,. Tupike pamoja 1. Maharage yako ambayo yashachemshwa na chumvi utaweka maji kidogo na uweke jikoni yapate moto 2. Katakata kitunguu karoti na hoho uweke na uache vichemke kidogo 3. Ikichemka kiasi weka ngogwe/ nyanyachungu na nyanya kidogo 4. Koroga kidogo na ufunike uache...
  8. JamiiForums Tanzania Nyaraka 5 za msingi unazohitaji ili Kujenga Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta (Min Petroleum Refinery)

    Wakuu salamu, Leo ningependa tushirikiane uzoefu na maarifa kidogo kuhusu uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati, hususan ujenzi wa viwanda vidogo vya kusafisha mafuta (Min Petroleum Refineries). Naam, ili mpango wako wa biashara ya usafishaji mafuta (Petroleum Refinery Business...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Mafuta na Hatari ya Migomo na Maandamano Nchi Nzima

    Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi. Angalia mwenendo wa bei Dar: Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115 Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248 Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
  10. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itaanza lini utekelezaji mpango wa mabasi maalum ya wanafunzi? Wanaathirika na gharama baada ya mafuta kupanda bei

    Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
  11. JamiiForums Tanzania Israel yanunua Ndege 6 za kujaza mafuta angani (Tanker)

    Tanker ya kwanza kati ya sita za ndege za mafuta za KC-46A Pegasus zilizoagizwa na Israeli, zilizopewa jina la Gideon na Jeshi la Anga la Israeli na zinazotarajiwa kuchukua nafasi ya Tanker zake za zamani za Boeing 707, ziliwasili leo katika Kituo cha Anga cha Nevatim katika Jangwa la Negev...
  12. JamiiForums Tanzania Qatar kurudisha $12 bilioni za Iran vikwazo vya mafuta vinaondolewa, ada za Hormuz zinarejeshwa. Makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo

    Wanaukumbi. Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha. 🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kipato chako kwa mwezi hakizidi Milioni 1, Mafuta kwa siku si chini ya elfu 20, Bro ! endelea kulinda Brand, soon utaanza kula vitumbua na Mo Chungwa

    Ukisikia gari ni liability basi ndio hii Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku, Sasa imagine mtu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya kupikia yamefika shilingi ngapi huko kwenu?

    Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana. Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata.
  17. JamiiForums Tanzania Somesheni watoto wenu Skills za Gas na mafuta ,sio kutafuta huruma za kujengewa Refinery..

    Eti Digrii ya histori ,au Digrii ya biashara hata kusimamia genge hawawezi hawa watoto wenu
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kenya ya kushusha bei ya mafuta baada ya Maandamano

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza marekebisho mapya ya bei za mafuta, Katika mapitio hayo, bei ya dizeli imepunguzwa kwa Sh10.06 kwa lita, huku mafuta ya taa yakiongezeka kwa Sh38.60 kwa lita, wakati bei ya Super Petrol ikibaki bila mabadiliko. Mabadiliko...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mgomo waendelea kwa siku ya pili licha Dezeli kushushwa kwa Ksh 38.60 (Tsh. 202.51). Madereva wasitisha mgomo kwa siku Saba wazungumze na Serikali

    Watu 4 wafariki dunia kufutia maandamano ya kupinga bei ya mafuta yaliyofanyika jana May 18, 2026, huku mgomo wa magari(matatu) ukiendelea kwa siku ya pili licha ya Diseli kushushwa kwa Tsh. 202.51 (KSH 10.06) na kuwa Tsh. 4687.47 (KSH 323.86) huku Petrol ikiendelea kuwa Tsh. 4312.85 (KSH...
  20. Q

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza bei ya mafuta baada ya kutokea maandamano

    Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta. Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…