mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna mpango wa kutumia bomba la TAZAMA kusafirisha mafuta humu nchini?

    Bomba la TAZAMA lina urefu wa 1700 kilomita. Linatola Dar es Salaam, Tanzania hadi Ndola, Zambia. Zamani hasa lilikuwa linasafirisha mafuta ghafi. Mwaka 2023 wameliupgrade na sasa linasafirisha Diesel. Asilimia 85 ya diesel kwenda Zambia wanatumia bomba la TAZAMA. Wana mpango waliweke sawa ili...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye bei rahisi zaidi za mafuta (petrol) April 2026

    Hizi ndio nchi 10 za Africa zinazoongoza kwa bei rahisi zaidi za Mafuta (Mafuta ya petrol) Bei zipo kwa USD na chini kuna equivalent yake ukicompare na Tanzanian shilling 1. Libya $0.023/litre Tsh 59.58 2. Angola $0.327/liter Tsh 847.11 3. Algeria $0.354/liter Tsh 917.06 4. Egypt...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rushwa hii, Nchi ya kitu kidogo hii, hata Hormuz ikifunguliwa mafuta yaka flow kawaida bei ya Mafuta hapa Tz haitashuka

    Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA. Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
  6. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania TASAC yaanza tathmini ya athari za bei ya mafuta kwa nauli za usafiri wa majini

    Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limetangaza kuanza kwa tathmini ya athari za ongezeko la bei ya mafuta katika sekta ya usafiri wa majini, hatua inayolenga kubaini kama kuna haja ya kurekebisha nauli za abiria. Tathmini hii imechochewa na mabadiliko ya bei elekezi za mafuta yaliyoanza...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mataifa 10 Yanayoongoza Katika Uzalishaji wa Mafuta Duniani

    1. Marekani- Mapipa milioni 22 Kwa zaidi ya miaka saba mfulululizo, Marekani imekuwa ikiongoza katika uzalishaji wa mafuta, na huzalisha zaidi ya mapipa millioni 22 kila siku. Marekani pia ndiyo watumizi wakubwa wa mafuta ghafi, kutokana na idadi yake kubwa ya watu. Jimbo la Texas ndilo...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Metric Tonne (MT) Ndio Kipimo Kikuu Kinachotumika Wakati Kuuza na Kununua Mafuta katika Soko la Kimataifa

    Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba: Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
  9. ChoiceVariable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yapata Aibu Nyingine Ni Baada ya Uganda Kukataa Kuwapa Msaada wa Mafuta

    My Take Wakaombe Kwa Beberu USA wanakoshoboka huku wakisifiwa na desperate and useless Chadema fans 😂😂👇👇 Kiukweli Uganda wamejua kunifurahisha. Tanzania ya Samia tuna Akiba ya miezi 3 na matenki yakikamilika tutakuwa na Akiba ya mwaka mzima. ----- Uganda 🇺🇬 has turned down Kenya’s 🇰🇪 request...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mtu mwenye IQ ndogo na hana EQ hawezi kujua bei ya soko la dunia mafuta yanuzwa bei gani Waofaidika na huyu mtu Kuna siku Mtafungwa jela

    Mtu ambae hawezi kujua bei ya soko la mafuta duniani yanauzwa bei gani ndo huyu huyu mnasema tuna wivu tukimkosoa au tunamchukia kwasababu ya dini yake ? Hapana IQ ni ndogo na hana EQ kila wanachomletea anameza hawezi kusoma hata kidogo na kukifanyia challenge kitu ambacho analetewa ...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LATRA: Kupanda kwa bei ya Mafuta sasa, hakuathiri Nauli

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile. Suluo ameongeza kuwa nauli zinaweza kupandishwa ikiwa bei ya Mafuta itapanda kwa kiwango kikubwa...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta; Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3 UFAFANUZI Leo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Saasisha Mafue: Akiba ya Dhahabu iuzwe, fedha iwe ruzuku kwenye mafuta

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameiomba serikali kuuza sehemu ya akiba ya dhahabu ili kupata fedha za kutoa ruzuku kwenye mafuta na hivyo kupunguza gharama kwa...
  15. Fortyseven

    JamiiForums Tanzania Badala ya mafuta twende na daladala na magari ya serikal ya gesi na umeme

    Hivi ndugu zangu watanzania haiwezekani kwa wasomi tulionao hapa bongo au hata wa kuazima tukazibadili daladala zilizopo na magari ya serikali yatumie gesi asilia kuliko kutegemea mfereji wa Hormuz? Au kwanini serikali isipitishe sheria kuanzia 2030 magari na daladala malori na magari ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tusichimbe mafuta yetu mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo Wanaharakati watatuuza

    Nimeona taarifa kwamba marekani anasafisha mafuta ya Venezuela. Pia Rais wa USA amesema atachukua mafuta ya Iran. Kilichosaidia Iran kwamba anajeshi imara ndio kazuia. Kwahivyo, nashauri tusichimbe mafuta mpaka tuwe na jeshi imara. Vyenginevyo wanaharakati watatuuza kwa wapenda vya watu
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Tunashindwa nini kujenga Maghala ya Mafuta ili tuwe na akiba kubwa tuuze hata nje ya nchi?

  18. M

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wajaziwa maji kwenye magari badala ya mafuta

    Baadhi ya watu wamedai kujaziwa mafuta kwenye magari yao ambayo yana maji kwenye kituo cha mafuta cha Total energies Shinyanga na walipomfuata meneja wa kituo hakuwapa majibu mazuri, Hata hivyo, jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limesema kuwa wanafanya uchunguzi ambapo watawashirikisha EWURA na...
  19. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kupitia mafuta kwa kutumia mawe.

    Ameandika The Instigator, @Am_Blujay Kutana na Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kwa kutumia mawe 😂 Mnamo mwaka 2007, aliwashawishi mawaziri wakuu wa serikali kwamba angeweza kuzalisha dizeli safi kutoka kwenye mawe huko Chinhoyi. Ndiyo, dizeli. Kutoka...
Back
Top Bottom