The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.
Wakuu mwenye uzoefu naomba maelekezo kuhusu biashara hii ya mafuta ya alizet.natoa dodoma au singida naenda kuyauza dar es salaam. Je biashara hii imekaaje? Nipeni mwangaza
Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata wayapeleke wapi
Nilijua alivyoenda huko angesaini madili ya kuagiza mafuta Urusi ili bei ishuke au...
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki .
Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo.
Kwa sasa, baadhi ya halmashauri hutoa muda mfupi sana wa kulipia viwanja hivyo. Kuna maeneo ambapo mnunuzi...
Anonymous (29c2)
Thread
gerson msigwa
kituo
kituo cha mafutamafuta
malalamiko tamisemi
njia
Tuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi...
Unanua umeme wa 5000/=
Unapata unit za 3800/=
Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU MAWINGA....
UMEME WA BWAWA LA NYERERE
Ulisafirishwa kwenda wapi mbona Bei YA umeme haishuki kama supply...
Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena.
Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake.
Maadui hawa wa...
Hi guys hope mko poa,.
Tupike pamoja
1. Maharage yako ambayo yashachemshwa na chumvi utaweka maji kidogo na uweke jikoni yapate moto
2. Katakata kitunguu karoti na hoho uweke na uache vichemke kidogo
3. Ikichemka kiasi weka ngogwe/ nyanyachungu na nyanya kidogo
4. Koroga kidogo na ufunike uache...
Wakuu salamu,
Leo ningependa tushirikiane uzoefu na maarifa kidogo kuhusu uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati, hususan ujenzi wa viwanda vidogo vya kusafisha mafuta (Min Petroleum Refineries).
Naam, ili mpango wako wa biashara ya usafishaji mafuta (Petroleum Refinery Business...
Ukienda kununua mafuta hauoneshi kadi ya CCM wala hausemi, Samia mitano tena. Badala yake unatakiwa ulipe kulingana na EWURA walivosema au zaidi.
Angalia mwenendo wa bei Dar:
Petroli: Feb TZS 2,788 → Mei TZS 4,115
Dizeli: Feb TZS 2,701 → Mei TZS 4,248
Ndani ya miezi mitatu petroli imepanda...
Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
Tanker ya kwanza kati ya sita za ndege za mafuta za KC-46A Pegasus zilizoagizwa na Israeli, zilizopewa jina la Gideon na Jeshi la Anga la Israeli na zinazotarajiwa kuchukua nafasi ya Tanker zake za zamani za Boeing 707, ziliwasili leo katika Kituo cha Anga cha Nevatim katika Jangwa la Negev...
Wanaukumbi.
Qatar — imetatua tatizo la mwisho: $12 bilioni katika mali za Iran zilizogandishwa. Mkataba huo unahamia kwa sababu ya Doha.
🇮🇷 Iran — inapata mabilioni ya pesa zilizogandishwa, vikwazo vya mafuta vimeondolewa, ada za Hormuz zimerejeshwa. Bei: makubaliano ya nyuklia ya siku zijazo...
Ukisikia gari ni liability basi ndio hii
Mafuta yamepanda bei, kuna watu wamo matabaka flani ya kiuchumi ambayo bei za mafuta zimewaathiri sana bajeti zao lakini bado wanakaza kulinda brandi
Bei za mafuta zimefanya hata wenye ist, Vitz , Premio, n.k. kutumia 20K kila siku,
Sasa imagine mtu...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu.
Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana.
Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.