Mafuta ya kupikia yamefika shilingi ngapi huko kwenu?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
936
Reaction score
3,264
Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana.

Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata.
 
Watawala wala hawana time n watanganyika. Tucpo jipigania kazi ipo.
Viongozi wenu wako bize n Bata
Batani.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Dawa yao kuleni chukuchuku tu!

Ova
 
Wakuu, hapa kwetu, Kimara mafuta ya kupikia yanazidi kuota mbawa, kwa sasa lita tunanunua 5600, hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana.

Hivi huko kwenu yamefikia kiasi gani hemu nijuzeni kama kuna unafuu nifanye mpango kuyafata.
Mafuta ya kupikia ya aina zote yana bei moja?
 
Back
Top Bottom