Biashara ya mafuta ya alizet

Biashara ya mafuta ya alizet

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
581
Reaction score
913
Wakuu mwenye uzoefu naomba maelekezo kuhusu biashara hii ya mafuta ya alizet.natoa dodoma au singida naenda kuyauza dar es salaam. Je biashara hii imekaaje? Nipeni mwangaza
 
Yaani tayari unafanya biashara afu unataka tukupe uzoefu gani
 
Wakuu nimefikia hapa
 

Attachments

  • IMG-20260802-WA0004.jpg
    IMG-20260802-WA0004.jpg
    118.2 KB · Views: 2
Kama Kuna mtu ana kiwanda cha mafuta nitashukuru sana tukifanya kazi niwe nauzia DSM ila nachukulia kwake
 
Back
Top Bottom