mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti Kwa DSM Kwa bei poa kabisa

    Wakuu wa DSM niungeni Mkono nipeni oda zenu jamani tuishi.nauza mafuta ya alizeti,ni mazuri sana Lita ni 7500 tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti

    Wakuu wa DSM niungeni Mkono nipeni oda zenu jamani tuishi.nauza mafuta ya alizeti,ni mazuri sana Lita ni 7500 tu
  3. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanamke adhurika vibaya baada ya kula chips zinazosemekana kukaangwa kwa mafuta ya transfoma

    Wakuu mko poa, Kipindi cha nyuma nadhani 2016 wakati Muhongo akiwa waziri aliwahi kupiga marufuku matumizi ya mafuta ya transfoma kwa mapishi ya chips, wakati huo zilikua ni tetesi tu kua kuna wauza chips wasio waaminifu wanatumia mafuta ya transfoma. Sasa leo nimekutana na video ya simulizi...
  4. Surya

    JamiiForums Tanzania Dalili Tatu, kuwa wewe umepakwa mafuta mengi (chosen one)

    1. Your undermined by many (Kuhujumiwa na wengi) 2. Your despiced by many (kudharauliwa na wengi) 3. Unahisi majukumu yote ya familia yanakuhitaji wewe ufanye na kutumika.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hurray! Tumegundua mafuta darajani! 😂

    Wakati wa kazi zinazoendelea sasa za kupanua barabara ya eneo la Darajani, Zanzibar, wakandarasi wamechimba ardhini na kuligundua daraja la zamani lililokuwa limefukiwa kwa miaka mingi. Chini ya beams za daraja hilo wamekutwa maji meusi yaliyochanganyika na mafuta machafu. Lakini kabla...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wasaudia wanataka kuwa na hifadhi ya mafuta hapa Tanzania / wataka kuwekeza kwenye kilimo pia ufugaji Tanzania

    17 August 2026 WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8 Source : Jambo TV HABARI KWA KINA: Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania August 16, 2026...
  7. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Ujenzi mtambo wa kusafisha mafuta Jiji Tanga naipongeza serekali

    Heshima sana wanajamvi, Kati ya mambo yaliyonisikitisha ni mwaka huu ni mradi wa ujenzi kuhamishiwa Mombasa. Nilimsikia Rais Ruto na baadae Rais Samia. Kauli ya Dangote ya kupeleka mradi Kenya ilinipasua moyo wangu vipande vipande.Nilimchukia,nilimwona ni tajiri mwenye nyodo za kipuuzi...
  8. TPPB_Tanzania

    JamiiForums Tanzania Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Kusafisha Mafuta Cha Trilioni 56 Tanga.

    My Take Msigwa alisema subirini mambo makubwa yanakuja.🔥🔥 Wale vibaraka wa Kenya waje tena kupayuka 👇👇 https://www.instagram.com/p/Dbsp926iFDm/?igsh=dHEweHczems2djhv
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania EWURA yashusha Bei za Mafuta : Petroli Imeshuka Tsh 92, Dizeli Tsh 204 na Mafuta ya Taa Tsh 440

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza rasmi bei mpya kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini, zikionyesha nafuu kubwa kwa wananchi kuanzia LEO Jumatano, Tarehe 05 Agosti 2026 saa 6:01 usiku. Katika mabadiliko hayo ya mwezi Agosti, bei za mafuta zimeshuka...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV

    Wanabodi, Kwa wale wenye muda, Usikose Kuangalia TPDC Inavyo Fanya Makubwa Sekta za Mafuta Na Gesi, Ni Leo Saa 3:40 Usiku Huu on Star TV。 https://youtu.be/iA-uAh2h9pI?si=IbWxfD0aomZ27Tzl Kwa ambao hampata muda wa kuangalia, links hapa https://youtu.be/xhpSZds-Ydw Karibu Mzee Pasco Rejea za...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa mazingira wapewa kipaumbele katika mradi wa bomba la mafuta la EACOP

    Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira kwa kuzingatia sheria na viwango vya kitaifa na kimataifa vya mazingira. Akizungumza kuhusu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usawa acha nihamie tu Hybrid, kutumia milioni 5 kwajili ya mafuta, its above my grade,

    Kwenda kazini: 13 km Mizunguko : 12 km Kurudi nyumbani: 13 km Jumla ni takribani 38 km kwa siku. Gari langu linatumia wastani wa lita 1 kwa km 9 hadi 10, hivyo kwa siku natumia takribani elfu 15 hadi 16 Kwa mwaka hata nikipumzika jumapili, matumizi ya mafuta yanakaribia milioni 5. Baada ya...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania EACOP Tanga: Ghati la Mafuta Lazingatia Mazingira

    Dkt. MABULA: Ujenzi wa ghati kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Tanga umezingatia uhifadhi wa mazingira ya bahari na viumbe hai Mradi wa EACOP umejenga ghati (jetty) la urefu wa takribani kilomita 2 Chongoleani, Tanga, Tanzania. Katika maelezo yake Dkt...
  16. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

    Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis imejibu mapigo baada ya jeshi la Saudia (akishirikiana na jeshi la Yemen linaloungwa mkono na UN) kufanya mashambulizi anga kwenye bandari ya Hodeidah, magharibi mwa Yemen na baadhi ya miji ya kaskazini jana usiku Houthis imerusha makombora...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Harufu ya upendeleo, upigaji uagizaji wa mafuta Tanzania, bei zikipanda

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta. Ongezeko hilo limehusishwa na vita kati ya Iran, Israel na Marekani, ambavyo vilisababisha mshtuko mkubwa...
  20. bless on

    JamiiForums Tanzania Kashfa ya Mafuta Iran: Mossadegh na CIA

    Zamani, mafuta yote ya Iran yalikuwa mikononi mwa kampuni ya Waingereza Leo inaitwa BP. Waingereza walikuwa wanachukua faida kubwa, huku Wairani wenyewe wakiambulia patashika na umaskini. Mwaka 1951, akatokea mshua mmoja anaitwa Mohammad Mossadegh, akachaguliwa kuwa Waziri Mkuu. Huyu mzee...
Back
Top Bottom