mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Faida ambazo ingepata nchi ya Tanzania na mkoa wa Tanga kama bilionea Dangote angejenga kiwanda Cha Mafuta

    Ikiwa mradi wa refinery ya mafuta ya Aliko Dangote (au mradi wowote wa ukubwa huo) ungejengwa Tanga, Tanzania ingenufaika kwa kiwango kikubwa sana kiuchumi, kijamii na kimkakati. Tanga ina sifa ya kipekee kutokana na kuwa mwisho wa bomba la mafuta kutoka Uganda (EACOP), hivyo kuwa kitovu cha...
  2. PSEUDOPODIA

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa tuna Rais tayari angekwisha kuja na majibu ya kina kuhusu mradi wa mafuta wa Tanga , na kwanini dangote kapeleka mombasa

    Napata picha Marais makini kama Mwl Nyerere ama Rais Mkapa, kwenye suala kama hili ambalo linawagusa wananchi moja kwa moja, lazima wangetoka mbele na kutupa ufafanuzi wa kina imekuwaje.
  3. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

    Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani? Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Kisa mafuta Waendesha baiskeli za abiria maarufu kama "Daladala" wapandisha nauli kutoka Sh500 hadi Sh1,000

    Waendesha baiskeli maarufu kwa jina la daladala katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Simiyu wameongeza nauli kutoka Sh500 hadi Sh1,000 kwa safari za ndani, wakidai hatua hiyo imetokana na kupanda kwa bei ya mafuta pamoja na gharama nyingine za maisha. Hatua hiyo imeanza kuonekana katika baadhi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini TASAC inaendelea kuchukua Tsh 3/= kwa kila lita ya mafuta yanayoingia wakati ilishapokonywa mamlaka ya kuwa Clearing and Fowarding Agency?

    Habarini wakubwa. Kulingana na mnyumbulisho wa kodi na tozo za mafuta yanayoingia nchini, bado namuona TASAC anachukua Tsh 3/= kwa kila lita kwa kazi ipi hasa? ..Kumbuka TASAC alipewa majukumu la kushughulikia shereha za mafuta na gas zinazoingia nchini mwaka 2017 , mpaka kufika mwaka 2023...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mafuta yamepanda bei, Fanya haya mapema kuokoa gharama

    a. hakikisha unanunua spark plugs original kwa ajili ya aina ya gari lako, kila gari ina spark plugs zake zimetofautiana joto, urefu, n.k. kama unatumia Toyota nenda kwa dealers wao wakupe aina ya pluga inayofaa kwa gari yako, plug moja inaweza kuwa ni elf 60 ila zinapiga kazi kwa kilometa laki...
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania EWURA hawazalishi chochote ila kazi yao kupanga bei ya mafuta. Ifutwe kama tulivyofuta SSRA

    NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja. Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bei mpya za Mafuta mwezi Mei zatangazwa, Petroli yazidi kupanda hadi 4115, Diseli 4248

  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania 10,000 ya Nyerere inanunua Lita 2 za mafuta ya dizeli na petroli?

    Babangu mzee, Leo kaamka vibaya, maana anadai 10,000 aliyonunulia eneo pale msasani makangira Leo hii inatumika kununulia mafuta ya gari Lita 2. Miaka 64 yrs ya Uhuru Taifa halina stock ya mafuta hata kwa mwezi mmoja ili kupunguza impact za mafuta ambazo ni nyingi. Namtambua Ikulu Ina stock kwa...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kesho mafuta yatapanda bei?

    Kesho kwa maana ya masaa machache yajayo Kuna tetesi za wazi kwamba kesho ni kiama kingine cha ongezeko la bei kwenye mafuta Mafuta Yaliyopanda bei ni yale yaliyokuwa nchini.. Ambayo kiuhqlisia hayakupaswa kupandishwa bei Sasa mzigo mpya ni ule ambao umepitia misukosuko ya vita hata kama...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nimewaambia Gemini na ChatGPT wafanye projection ya bei za Mafuta mwezi huu May, wote wamekuja na uelekeo sawa!

    Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost): Gemini (Google) ChatGPT Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita. Vigezo vyao vimetoka kwenye: -Bei mpya soko la dunia. -Exchange rate ya dollar vs tsh. -Benchmark ya nchi...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadili Bajaji ya Mafuta iwe ya umeme?

  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Road trip update: Dar - Mtwara - Dar | Hali ya Barabara inatisha | Ila nimetumia mafuta ya Tsh 150,000/= tu!

    Basi wakuu nikaenda Mtwara kutokea Dar na kurudi Dar. Trip ilikua ni kupunguza stress za huu mji, na haikua direct, nilienda kwa vituo vitatu jumla, na nilitumia Fit Hybrid. Safari ilianzia Mlimani City Puma pale, nikaweka wese la 100k nikachomoka. Kwasababu ya mvua, AC almost ilikua off na...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali Ifute Tozo ya Mafuta Kama chanzo Cha Pesa za Miundombinu badala yake Waanzishe Mfuko wa Miundombinu,fedha itoke kwenye Madini

    Ukinunua Mafuta utakutana na tozo nyingi sana lakini kati ya hizo Kuna -Tozo ya maendeleo ya reli -Tozo ya maendeleo ya Bandari -Tozo ya maendeleo ya Barabara -Tozo ya maendeleo ya maji nk Sasa badala ya huu mzigo kubebeshwa Wananchi na kuongeza gharama za maisha na biashara basi Serikali...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Maafisa 4 wa Jeshi la Uganda (UPDF) Washtakiwa kwa Wizi wa Mafuta ya Jeshi

    Maafisa wanne wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Kijeshi mjini Makindye, wakikabiliwa na mashtaka ya kuiba mafuta ya jeshi kwa ajili ya matumizi yao binafsi. Wanaotuhumiwa ni: Brigedia Jenerali James Barigye Ruheesi (60)...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Njooni tujichange twende Tanga tukajenge kiwanda cha kemikali za Mafuta (Petrochemical Plant) Malighafi tutachukua kwenye kiwanda cha kusafisha mafuta

    Habari wakuu, Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda kikubwa cha kuchakata kemikali za mafuta (Petrochemical Plant) jijini Tanga. Yaani fursa ipo hapa...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
Back
Top Bottom