mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. Busara za mzee

    JamiiForums Tanzania Msaada voxy engine 1az fse inakula mafuta balaa. 1 litre per 3km

    Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4. Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km. Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda uwashushe ndio uendelee na ni mwinuko mdogo tu. Nimejaribu kuuliza mafundi mbalimbali sijapata jibu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa za mafuta supertankers zaelekea marekani kuchukua mafuta

    Mzuka wanajamvi, Baada ya Opec ikiongozwa na kushinikizwa na Russia na Saudi Arabia kupunguza uzalishaji wa mafuta ili bei ipande. Upepo umebadilika. Sasa hivi Marekani wameamua kuachia mafuta yao kuyauza kwa wingi kwenye soko la dunia. Meli kubwa za mafuta 48 supertankers ziko njiani baharini...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

    Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
  4. Jane Msowoya

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya kujaza na kukuza nywele

    CHEBE HAIR GROWTH OIL Yanajaza nywele Yanakuza nywele Yanazuia nywele kukatika Yanaondoa mba Yanafanya nywele ziwe nyeusi 100% organic _____________ Bei kwa 250mls - 15000 _____________ TUNAPATIKANA DAR,DODOMA NA ARUSHA Tunatafuta Mawakala kila kona SMS/WhatsApp/Call - 255769922210
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yakiri kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 214.2 kutokana na Bei kubwa za Mafuta

    Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto. Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Uganda sasa kununua mafuta moja kwa moja

    Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

    Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi. Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili shughuli za kiuchumi na kijamii zifanyike

    WATANZANIA WANAHITAJI WAPATE MAFUTA KWA URAHISI - DKT. BITEKO #Apongeza utaratibu wa upokeaji na upakiaji mafuta #Ujenzi wa Flow meter Kigamboni wafikia asilimia 93 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanahitaji wapate mafuta kwa urahisi ili...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

    Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani. Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je, hiyo ndoo ya kijani pichani ni ya kutunzia mafuta au rangi ya nyumba?

    Wadau hamjamboni nyote? Tazama picha Kwa umakini Kisha ujibu swali? Hivi hiyo ndoo ya blue hapo kwenye picha chini ni kwa ajili ya ikutunzia ya mafuta ya kupikia au ni Kwa ajili ya kuweka rangi ya nyumba? Zawadi nzuri kwa atakayepata swali hilo
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi chochote

    Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu. Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hivi haifai TRA wachukue kodi yao yote ya Petrol kule bandarini?

    deleted
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu? Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana! Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali: Ikiwa hazina ya nishati ya mafuta ipo basi haraka yachimbwe

    Huko ulimwenguni wameshatabiri kuwa bei ya mafuta itazidi kupaa hadi 2045, kama hamuelewi maana ya mwendo kasi mtaielewa, ile ya kauli ya piga tajame TZ haifai kutumika tena. Serikali kama inavyofukua madini basi sasa wakati umefika wa kuivuta juu hazina ya mafuta, na kwa vile kiwanda cha...
  16. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia mafuta yaliyopita muda wake?

    Haya mafuta yapo mengi madukani yameexpai, chukueni hatua wahusika.
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

    Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mafuta ya mise au mbosa

    Jamani nombeni kujua mise ikikamuliwa mafuta kwa gunia Moja inatoa mafuta kiasi gani gunia la kilo 120
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya mafuta isiwe moja nchi nzima?

    Zamani bei za bidhaa zote zilizopangwa na Serikali zilikuwa zinafanana nchi nzima. Mtu aliyepo Kilombero alinunua sukari kwa bei ile ile na mtu aliyepo Tandahimba, bei ya petroli Dar ilikuwa sawa na Kigoma. Sasa wasomi wetu wamepatwa na nini kutofautisha bei ndani ya nchi moja? Kwamba sisi watu...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukabiliana na ongezeko la bei ya mafuta? Ikiwa mimi natumia gari?

    Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine. Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
Back
Top Bottom