Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema?

Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu.

Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.

sheli.jpg
shelii.jpg
 
Watanzania ni wa ajabu sana.

Risiti mnaziacha kwa watoa huduma halafu maswali unakuja kuuliza humu.

Tanzania hii kuna watu wasipopewa risiti mtagombana, lakini pia kuna wale ambao ukitaka kuwapa risiti hamtaelewana kabisa na anakujibu mimi makarasi ya nini bwana.

Sasa yote haya, still kuna mtu hata sheli hajawahi kwenda kununua petroli anakuja kuchekesha hapa!
 
Kama huna mchango wa maana pita kimya kimya tu Mkuu hamna haja ya kumkejeli mtu, Anayeuliza anataka kujua, sio wote wana uelewa kama wako
 
Watanzania ni wa ajabu sana.

Risiti mnaziacha kwa watoa huduma halafu maswali unakuja kuuliza humu.

Tanzania hii kuna watu wasipopewa risiti mtagombana, lakini pia kuna wale ambao ukitaka kuwapa risiti hamtaelewana kabisa na anakujibu mimi makarasi ya nini bwana.

Sasa yote haya, still kuna mtu hata sheli hajawahi kwenda kununua petroli anakuja kuchekesha hapa!
Petrol station zipo nyingi sio lazima tuende za Shell
 
Watanzania ni wa ajabu sana.

Risiti mnaziacha kwa watoa huduma halafu maswali unakuja kuuliza humu.

Tanzania hii kuna watu wasipopewa risiti mtagombana, lakini pia kuna wale ambao ukitaka kuwapa risiti hamtaelewana kabisa na anakujibu mimi makarasi ya nini bwana.

Sasa yote haya, still kuna mtu hata sheli hajawahi kwenda kununua petroli anakuja kuchekesha hapa!
Kaa kwa kutulia mkuu, hata humu wafanyakazi wa vituo vya mafuta wapo ma wanajibu maswali.
Kaa ukijua Jf sio sawa na kijijini kwenu ambako hakuna hawa watu.
Uwe unauliza wenyeji
 
Ni hivi, ukipewa huduma mtoa huduma anatoa risiti, kwa hiyo ni jukumu lako kuchukua, na kama hukuchukua, lawama zinabaki kwako mteja, na siyo mtoa huduma.

Pamoja na hayo, kuna wateja wengine hawataki risiti anakuambia baki nayo.

Mwingine hataki hata utoe risiti.

Sasa katika wateja wa namna hiyo, mleta mada hapa siyo kati ya hao bali huyu ni mwananchi ambaye huwa hapati huduma za kwenye vituo vya mafuta na ndiyo maana anauliza hapa.
 
Back
Top Bottom