Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,049
Bei ya mafuta ya petroli nchini imezidi kushuka.
Katika bei zilizoanza Leo, mafuta ya petroli yameshuka bei hadi shilingi 3,040 Kwa Lita moja, kwa Jiji la Dar, kutoka bei ya mwezi uliopita ya shilingi 3,158
Nawaomba sana LATRA waitishe kikao Cha dharura, ili kupokea maoni ya wananchi, ili washushe bei ya usafiri, Kwa kuwa hao hao LATRA, walipandisha bei ya usafiri, ambayo imelalamikiwa sana na wananchi wa nchi hii, Kwa kisingizio Cha kupanda Kwa bei ya mafuta.
Kwa kuwa hivi sasa bei hiyo ya mafuta inashuka na ndiyo ilikuwa sababu yao kuu ya kutaka nyongeza hiyo na Kwa kuwa kwenye soko la dunia, bei ya mafuta inazidi kushuka, Kwa hiyo nao LATRA wanapaswa kushusha bei ya usafiri, ambayo inawaumiza sana, wananchi, kutokana na kutopanda Kwa vipato vyao