mafanikio

  1. B

    JamiiForums Tanzania Feisal, Djuma Shabani na Bangala wanatufundisha nini kupitia mafanikio ya Yanga baada ya kuondoka kwao?

    Wanatufundisha: 1. To let it go/ To let them go. 2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi usimlazimishe abaki muache ende zake. 3. To move on. 4. To never look back. 5. Kila kitu kina...
  2. JamiiForums Tanzania Haya Ndio Yanachelewesha Mafanikio Yako

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za ujenzi wa maisha yako na taifa kwa ujumla.Leo nachokoza mada kuhusu mambo ambayo huchelewesha mafanikio ya mtu.Ni matumaini yangu kwamba mjadala huu utakufanya uweze kuona mwanga na kuchukua hatua stahiki. Karibu...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi mafanikio yanategemea wakati wa Mungu ukifika

    Wiki iliyopita nilimtembelea ndugu yangu mmoja ana kijana wake age 20s ni muda mrefu sijawahi kumuona akifanya shughuli yoyote wala kusikia akifanya kazi yoyote Mama yake ndio namuona akipambana na vibarua vya kufanya usafi huko ili mkono uende kinywani yule kijana anategemea kidogo anachochuma...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kumzuga mara tatu bila mafanikio, Rafiki wa kazini bado analazimisha nimfundishe kuchoma kaya, Nichukue uamuzi gani?

    Ni kama rafiki japo naweza kumuita bro, ana miaka 40 na kitu ? Binafsi hii ndio starehe yangu japo kwa sasa huwa ni stiki mbili ama tatu kwa wiki. Sasa huyu bro sijui ni kipi kilichomshawishi atake kujaribu haya mambo umri ukiwa umeshaenda mithiri ya jua la saa kumi na moja. Mara ya kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania RPC wa Ruvuma aelezea mafanikio ya Oparesheni, misako na doria mbalimbali

    Jeshi la Polisi Mkoa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha Mwezi Septemba 01.2023 hadi Oktoba 25,2023 limeendesha Opereseheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma na kukamata watuhumiwa watatu (03) wakiwa nyara za Serikali, Meno ya tembo vipande 10, Nyama...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
  7. JamiiForums Tanzania Mwana Simba, ipo siku Yanga atapata mafanikio yako, moto utawaka

    Natumaini wote ni wazima wa afya, ila kama mwenye matatizo kiafya basi Mwenyezi Mungu(Allah) au kwa imani yako ikusaidie upone. Basi, kuelekea kwenye Uzinduzi wa michuano mikubwa zaidi ya Vilabu barani Africa (AFL) kumekuwa na hisia tofauti tofauti katika mechi hiyo ya Uzinduzi ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Makanisa ya Upako wa mafanikio

    Nimetafakari kwa kina kuhusu kuibuka kwa makanisa ya upako wa mafanikio. Kikubwa nilichogundua ni kuwa Tatizo kubwa ni umasikini na matatizo ya aina tofauti tofauti. Kwangu mimi ninaweza kusema kwamba kuibuka kwa makanisa mengi ya aina hii si ishara kwamba Wengi wanamtafuta Mungu saana, la...
  9. JamiiForums Tanzania Mafanikio ya vilabu vinavyoshiriki African football league(super league)

    Kuelekea uzinduzi wa AFL 2023 nimewaletea makala ya timu shiriki mpate kujua mafanikio yao katika mashindano ya AFRICA na DUNIA Al-Ahly Wamechukua ubingwa Caf Champions league mara 11, ubingwa Caf Winners Cup mara 4, Caf confederation cup mara 1 mwaka 2014 CAF super Cup mara 8 afro Asian Cup...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu kuhusu Mafanikio

    Nimekuja na hii mada sababu nilikuwa najiuliza kwa nini wenye pesa siku zote huwa zinaongezeka zaidi ya wale ambao hawana na unakuta kila mtu anafanya kazi kwa bidii? Nikawaza labda kuna baadhi ya vitu tukiachaa itasaidia. Punguza Huruma Kuna baadhi ya watu huruma ndo zinazidi kukufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Vita Ukanda wa Gaza: Msimamo wa Tanzania wakati wa Rais Nyerere, Magufuli na sasa

    Mataifa ya Ulaya na Marekani hayawezi kuja na msimamo wenye kauli ya kuitaka Israel kuacha mashambulizi wala mataifa ya Waarabu hayawezi kukiambia kikundi cha Hamas kuja na kauli ya kutaka wafanye mazungumzo ya amani kwa kuwa hata wao wangeguswa kama ilivyoguswa Israel na Gaza wangefanya kitu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  13. JamiiForums Tanzania Jamani hali ni ngumu sana ila tuwe makini na mafanikio kiganga

    Uganga na uchawi upo tangia enzi, tunaweza kuona katika maandiko ni jinsi gani waganga wa farao walivyoweza badilisha fimbo zikawa nyoka. Kwa kila maombi na hitaji la kiroho huwa panaambatanishwa na sadaka itokayo kwa yule anae ombwa. Sasa Mganga hawezi kukueleza kila kitu, kwa maana mafanikio...
  14. JamiiForums Tanzania Usikimbizane na 'mafanikio' maana hautayakamata utabaki tu kuyafuata. Mzunguko wa maisha hurudi mwanzo wake bila mwisho

    Ndivyo ilivyo sayansi ina mtindo wa kuadvansiiiiiiiiiii halafu inarudia vya mwanzo. Teknolojia pia huwa inaboreshwaaaaaa hadi inarudia vya mwanzo mifano; Tunaanza kwa kuwa na dawa za asili, baadaye viwanda vinaboresha vinaextract vinaunda sindano na vidonge. Watu wanahamia za kisasa halafu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ya pendekezo la “Ukanda Moja, Njia Moja” (BRI), ni miaka ya mafanikio

    Miaka 10 iliyopita wakati Rais Xi Jinping anatangaza kuanzishwa kwa pendekezo la “ukanda mmoja, njia moja” (Belt and Road Initiative) si watu wengi waliokuwa wanajua kuwa pendekezo hili lingekuwa ni mkombozi wa nchi nyingi dunia, hasa zile zilizotambua kuwa kukosekana kwa miundo mbinu katika...
  16. JamiiForums Tanzania Safari yako ya mafanikio bado ndefu

    Endapo unapitia hizi situation jua bado una safari ndefu katika kutafta mafanikio. 1.Ukienda kunyoa nywele unapakwa perfume badala ya aftershaving cream. 2. Ukienda bar au mgahawani unaulizia bei ya vitu kabla ya kuagiza. 3.Kila mwanamke unayemuona unamtamani na upo radhi kulala nae bila...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Familia inaendelea kuwa msukumo wa mafanikio kwa wanamichezo wa China

    Wanamichezo wa China wamefanya vizuri katika michezo ya 19 ya Asia iliyomalizika hivi karibuni mjini Hangzhou. Kama ilivyo kwenye michezo mingi ya namna hiyo, wanamichezo wa China wameendelea kuonyesha maajabu kwa kupata mafanikio makubwa huku wakijishindia medali nyingi za dhahabu. Lakini mbali...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  19. JamiiForums Tanzania Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  20. JamiiForums Tanzania Medard Kalemani & Tito Mwinuka: Collaboration Iliyoongoza TANESCO kwa Mafanikio Makubwa

    Ukweli usemwe: Enzi za uongozi wa Medard Kalemani na Tito Mwinuka kukatika kwa umeme ilikuwa ni nadra sana, ma meneja wa TANESCO wa mikoa na wilaya walikuwa matumbo joto. Kitengo cha emergency kilifanya kazi mchana kutwa, usiku kucha, huko vijijini speed ya kuwasha umeme kwenye miradi ya REA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…