Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"
Lindi
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila kuharibu mazingira, na ambao utakuwa na manufaa kwa...
Kuna mambo inabidi ifike hatua muwe mnaongozwa na akili badala ya mapenzi ya vyama au mihemko isiyo na faida siasa sio Kama ushabiki wa mpira siasa inagusa maisha yetu.
Kuna mambo nimeona hapa wakiaminishana eti akiingia Tundu Lissu na CHADEMA kiujumla ndio watakuwa na maisha Bora hiv Nani...
Benki ya maendeleo ya Afrika imepitisha mkopo wa dola za kimarekani milioni 50.7 sawa na zaidi ya bilioni 117 za kitanzania kugharamia mapambano dhidi ya Covid.
Serikali inayoongozwa na Rais John Magufuli inapanga kujenga uthabiti wa kiuchumi na kupunguza athari za kiuchumi, kijamii na kiafya...
Huu ndio utabiri wangu kuwa,Lissu akishinda uraisi na kutangazwa mshindi kwa mbinde au vinginevyo, nchi wahisani na wadau wengine wa maendeleo wataongeza misaada na mikopo yao kwa nchi yetu na inaweza kuongezeka hata mara mbili.
Ni imani yangu wanatoa mikopo na misaada kwa sasa kwasababu tu...
Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO maana yake ni maendeleo ya vyote!
Kwa mfano, Korea ya Kaskazini wana majengo mazuri, miundombinu na...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, kuhusu uchaguzi wa mwaka huu ambao ni mashindano kati ya ukweli vs ubatili, Je, wewe utachagua nini? Utachagua ukweli au ubatili? The choice is yours!
Declaration of Interest
Japo mimi Pascal Mayalla ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ila mimi ni Kada...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
Kuna kila kigezo kwa nchi yetu sio siku nyingi kuwa nchi inayotoa misaada Ulaya. Kila kitu kinaonesha uwezekano huo. Mali asili, watu wenye akili na nguvu ni mifano inayoniamisha.
Sasa nataka tuwe wakweli, ili kufanikisha hili tunahitaji kiongozi anayechekea Ulaya, Marekani na China au...
Nianze kwa kusema wazi kuwa maendeleo ya watu huwezi kuyatenganisha na maendeleo ya vitu kwa namna yeyote ile wazungu wanasema (the are interwovened) hivyo maendeleo yaliyofanyika kwa kuzingatia mahitaji ya watu na tumefaidi na tunapaswa kupaza sauti zetu dhidi ya wanaopotosha ni pamoja na:
1...
NJOMBE- WANGING'OMBE
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi, unaokuwa kwa kasi bila kuharibu mazingira na ambao utakuwa na manufaa kwa wananchi wote.
Kukua kwa uchumi kunahitaji uongozi...
Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo.
Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii.
Tuache kudanganyika vijana tujitume tufanye kazi kwa bidii.
Mtu asije kukudanganya utachelewa sana na utazeeka kwa kuwasindikiza...
Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu...
Tangu kuzinduliwa kwa heka heka za kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28, Oktoba mwaka huu, tumesikia ahadi zilizoanishwa katika vyama mbalimbali vya siasa. Katika mnyukano huu, tafakari ya kina ya ilani hizi imethihirisha mnyukano wa itakadi kuu...
Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa vyama vya upinzani nchini hasa CHADEMA wakidai kuwa maendeleo yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Raisi Magufuli ni maendeleo ya vituna sio maendeleo ya watu. Hoja yao inajikita kwenye mambo kama ujenzi wa bwawa kubwa la umeme...
Akiwa mkoani Dodoma ambayo kwa asili ni ngome ya chama cha mapinduzi, Ndugu Lissu amefafanua kwa uzuri kabisa na kwa lugha rahisi kabisa ya kueleweka anamaanisha nini pale CHADEMA inaposema haki, uhuru na maendeleo ya watu.
Mheshimiwa Lissu ameelezea ukosefu wa haki kwa kutolea mfano chaguzi za...
SERIKALI IMEUA VIWANDA VYOTE HAPA TANGA,NIKIWA RAIS NTASIMAMIA KWA MAKINI KATIKA SEKTA YA KILIMO NA MAENDELEO YA VIWANDA" PROF.LIPUMBA"
TANGA
Dira ya Mabadiliko ya CUF inakipa kilimo nafasi ya pekee katika mikakati ya kukuza uchumi na hivyo kuwaondolea umasikini wananchi wengi na hasa wa...
NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS ILI NISIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA"
TANGA- MKINGA
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi unaokuwa kwa kasi bila kuharibu...
Ipo chuki imeongezeka kwa chama Tawala ikianzia ndani ya chama na nje ya chama Cha mapinduzi. Wakati wakijinadi wameleta maendeleo wananchi wanakiri umaskini wa mtu mmoja mmoja umeongezeka, Haki kwa raia hakuna na hakuna utawala wa sheria.
Wapo wanaodai tunatakiwa tuumie tujifunze lakini wapo...
Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha mpasuko wa kisiasa wa muda mrefu kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kilichokuwa chama kikuu cha...