Wananchi wageuka ombaomba wa maendeleo utadhani yanatolewa bure

Wananchi wageuka ombaomba wa maendeleo utadhani yanatolewa bure

muhindo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
641
Reaction score
273
Kodi wananzotoa wananchi ndizo zinazojenga nchi, lakini kuna mikoa imeachwa nyuma kutokana na mfumo mbovu uliopo. Kodi inakusanywa inapelekwa hazina sasa anayegawa ni mmoja hivyo kunaweza kukatokea upendeleo
1. Hali zao za maisha kudhoofu
2. Kodi nyingi na nguvu ya kuuza na kununua imedhoofika uraiani
3. Kubambikiwa mikesi, makodi
4. Uhuru wao wa kuamua matumizi ya makusanyo haupo tena badala yake ni 1 tu ndiye anaamua wapi apeleke miradi
5. Muhimu kabisa wanahitaji katiba mpya, ili madaraka yarudi kwa wananchi na Lissu mwanasheria ndio mwenye uwezo wa kutupatia katiba mpya nzuri kwani ni mpenda haki sana toka akiwa mtoto mdogo.
 
Lissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
FAHAMU KUWA: SERA NI MOJA TU YA MUHIMU WANANCHI TUNAHITAJI KATIBA MPYA HAMNA KITU KINGINE NI HILO TU AMBALO KWA LISU LIKO NJENJE TUNAPATA KIULAIN ...XXM ILISHAKATAA KULETA KATIBA MPYA ILI IENDELEE KUKANDAMIZA WATU
 
WATANZANIA, tusithubutu kumpa Lissu wa Chadema saccos. Hata hizo kodi hatutaziona zitakapopita. Saccos hawana mpango wa reli ya kisasa,reli haiwezi ishia makutopora.

Hawana mpango wa bwawa la umeme, hawana mpango wa kujenga barabara mpya, hawana mpango wa kujenga meli mpya, hawana mpango wa kutuletea umeme huku Vijijini. Chadema haina Sera wala ilani itakayotupa manufaa kama taifa hivyo watanzania wenzangu tuwatose moja kwa moja.
 
Lissu hawezi kuwa Rais. Kwa Sera zipi alizonazo?.
Katiba mpya - kuanzia na Rasimu ya Warioba - ili wewe mwananchi uwe na uhuru na haki ya kuamua mustakabali wa taifa lako badala ya kukabidhi maamuzi yote kwa mtu mmoja hata kama limeyumba. Mleta mada ameeleza vizuri - wewe mlipa kodi ulipe kodi, kisha anayekusanya aanze kukunyanyasa utafikiri hizo pesa anizitoa mfukoni mwake!!
 
Nimesikia wengine wanaomba kwa Lisu awaletee mahitaji yao katika maeneo yao sasa sijui ni haki?
 
Katiba mpya - kuanzia na Rasimu ya Warioba - ili wewe mwananchi uwe na uhuru na haki ya kuamua mustakabali wa taifa lako badala ya kukabidhi maamuzi yote kwa mtu mmoja hata kama limeyumba. Mleta mada ameeleza vizuri - wewe mlipa kodi ulipe kodi, kisha anayekusanya aanze kukunyanyasa utafikiri hizo pesa anizitoa mfukoni mwake!!
Wapi mlipa kodi alishawahi kutaka anavyotaka huduma akapewa kwa matakwa yake? Nitajie nchi hata moja?

Hizo haki huwa ni za watawala na wana siasa tu.
Kama ingekuwa mtu ukilipa kodi kisha unadai barabara mbovu mtaani kwako ijengwe na wakishindwa unaenda kumtoa huyo kiongozi kabla ya muda wake basi hhakuna kiongozi angebaki kwenye madaraka.
 
Ulaya na Marekani

Uchaguzi uliopita mataga mlipiga pushapu na kuongea Lowasa mgonjwa sasa hivi Jiwe hta pushapu hawezi piga Maana mwanaume aliye pigwa risasi 16 na kukaa hospitali miaka 3 anaonekana yupo timamu Kiakili na kifikra kuliko kibabu chenu kilicho kaa Ikulu na viyoyozi miaka 5
Tanganyika inarudi mikononi mwa wananchi. Uonevu sasa baathi.
 
WATANZANIA, tusithubutu kumpa Lissu wa Chadema saccos. Hata hizo kodi hatutaziona zitakapopita. Saccos hawana mpango wa reli ya kisasa,reli haiwezi ishia makutopora.

Hawana mpango wa bwawa la umeme, hawana mpango wa kujenga barabara mpya, hawana mpango wa kujenga meli mpya, hawana mpango wa kutuletea umeme huku Vijijini. Chadema haina Sera wala ilani itakayotupa manufaa kama taifa hivyo watanzania wenzangu tuwatose moja kwa moja.
WATANZANIA HATUHITAJI MTU 1 KUWA NDIO ANAYEGAWA MAENDELEO KWAN INAWEZA KUTOKEA AKAPENDELEA WAPI PA KUPELEKA MAENDELEO MF MIKOA YA KUSIN NA MAGARIBI IMESAHAULIKA SANA ..WATANZANIA HATUNA SHIDA NA MAENDELEO KIAS HICHO MPAKA KUUZA UHURU WETU KWANA USIRI ULIOPO KWENYE KUENDESHA MAMBO KUNAWEZA KUKASABABISHA MIKOPO MINGI YA KICHINA TUKAWA KOLON LA CHINA..TUNATAKA MIHIMILI 3 IFANYE KAZ KWA USAWA ILI TAIFA LIWE NA HAKI NA MAENDELEO..KILA HALMASHAUR IPANGE BAJET YAKE NA KUJENGA MIUNDOMBINU YAKE SIO KUTEGEMEA MTU 1 NDO AAMUE KULETA AU LA ..NA SASA IMETOKEA TABIA MOJA ANASEMA USIPOFANYA HIV MTAJUTA? KWEL HILI TULIVUMILIE? LISU NDIO CHAGUO BORA KWA SASA>
 
Back
Top Bottom