Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo.
Muda wote wamekuwa...
Kilimo cha vanilla kinasemekana ni mkombozi mkubwa sana, imagine kilo moja inaweza kuuzwa 150,000/=
Mche mmoja tunaambiwa unavunwa kuanzia nusu kilo mpaka kilo 3
Kilimo hiki kinakubali sana mkoa wa Kagera lakini wizi wa mazao haya umekithiri pamoja na uvivu.
Niwaulize viongozi wetu hivi...
Mimi kama mdau mkubwa wa Sekta ya kilimo kwa nyakati tofauti tofauti nimetembelea hii benki toka izinduliwe mwaka 2015 na kujaribu kupata mkopo kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo na wakati mwingine kujaribu kusaidia wadau wenzangu kupata mikopo lakini katika hali ya kusikitisha saana haya ni...
Marekani (US), nchi ambayo ni mdau muhimu kabisa wa Benki ya Dunia (World Bank) wameonesha dhahiri kutofurahishwa na hatua ya taasisi hiyo ya fedha kuridhia mkopo kwa ajili ya sekta ya elimu Tanzania kutokana na makandokando mengi ambayo serekali yetu bado haijayaweka sawa.
Soma waraka wao huu...
Tumekuwa tukishauri kwa muda mrefu sasa kwamba Halmashauri za Wilaya zifutwe kwa kuwa hazina tija kwenye maendeleo ya wananchi. Hii haitakuwa mara ya kwanza kuzifuta halimashauri hizo, kwa kuwa huko nyuma kitu kama hicho kilishafanywa na Mwalimu Nyerere, ambapo alizifuta mwaka 1972 na...
Muda huu mh. Mbowe anaongea na waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa corona
Updates
Kama chama mwenyekiti ametangaza kusitisha shughuli za mikutano hapo April waliotangaza kuianza baada ya muda kutokana na katazo batili la mh. Rais
Mwanamuzi Khamis Mwinjuma maarufu kama MwanaFA amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kupitia akaunti yake ya Instagram, amepakia video na kuweka ujumbe unaosema
Majibu ya vipimo vyangu vya Covid 19 yamerudi chanya. Inaudhi. Siumwi KABISA. Nipo sawa 100%. Na nimejitenga toka niliporudi...
Kati ya vitu vinne alivyovisema mwalimu Nyerere ili TAIFA liendelee ni WATU. Ukitoa uongozi bora, ardhi na siasa safi. Tatizo ni kwamba watu hawajioni tena sehemu muhimu katika kuliendeleza TAIFA lao, najua anguko la uzalendo ni sababu kuu.
Fikiria hili; angalau 60% yetu tumepita katika taasisi...
Jengo la ofisi za CCM pale mwenge ambalo linafanana kwa ukubwa na uzuri na makao makuu ya Chadema pale Ufipa limevunjwa ili kuruhusu ujenzi wa stendi ya kisasa ya Daladala itakayokuwa mbadala wa makumbusho.
Stendi hiyo inayojengwa na Suma JKT ujenzi wake unaenda sambamba na ujenzi wa barabara...
Wanabodi,
Angalizo la kuzuia kukereka.
Kuna members humu wanakereka na kukasirika pale serikali ya Tanzania, au rais Magufuli na serikali yake anapofanya vizuri kustahili pongezi,
Hivyo tusiharibiane siku leo mwanzo wa weekend, wewe kama uko kundi hili, naomba uishie hapa ili usije kuharibu...
Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa...
BALOZI Getruda Mongela, amesema ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume katika chaguzi mbalimbali kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake.
Akizungumza jana katika mkutano uliowakutanisha viongozi wanawake nchini, Balozi Mongela alisema siku ambayo Bunge...
Waziri mkuu mh Majaliwa amesema wananchi wa Kigoma Ujiji wanapenda sana kulipwa fidia pindi miradi mikubwa ya maendeleo kama Hospitali, bandari na barabara.
Majaliwa amesema kwa kufanya hivyo wana Ujiji wanajicheleweshea maendeleo wao wenyewe kwani kulipa fidia ni hisani siyo lazima.
Kadhalika...
MAENDELEO YA UJENZI WA STESHENI ZA RELI YA KISASA - SGR
Ujenzi wa Stesheni ya Dar es Salaam wafika 65%
Ujenzi wa Stesheni ya Pugu wafika 80%
Ujenzi wa Stesheni ya Soga wafika 90%
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza nafasi za kujiunga katika Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) kwa mwaka 2020.
Sifa za Mwombaji ni mwananchi yeyote mwenye nia ya kupata ujuzi na maarifa mbalimbali.
Aina ya Mafunzo yanayotolewa ni:
1. MAFUNZO YA UFUNDI STADI- NGAZI YA I, II...
Rais John Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi watatu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, uteuzi ambao ulianza rasmi Januari 30 mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo walioteuliwa ni Dkt. Benson Otieno Ndiege ambaye amekuwa Mrajis wa Vyama vya Ushirika...
SERIKALI YARIDHISHWA NA MAJENGO YA SHULE YA MSINGI CHATO
Serikali imepongeza hatua ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi Chato kwa kujenga majengo yanayozingatia ubora na thamani halisi ya fedha.
Hayo yamesema na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Joseph Nyamhanga alipofanya ziara...
PROF. KABUDI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKAZI WA BENKI YA DUNIA.
Dar es Salaam, 5 Februari 2020
Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia hapa nchini Tanzania, Bi. Mara Marwick ameihakikishia Serikali ya Tanzania ushirikiano katika sekta mbalimbali ili kufikia maendeleo...
Habari za Leo wanajamvi,
Naomba kujua experience yako ni jambo gani la maendeleo ulilifanya kulipiza kisasi cha kunyanyaswa? Mimi nimewahi kununua baiskeli mpya huko kijijini kwetu Kanda ya Ziwa baada ya manyanyaso ya jirani kuzidi kila tunapoenda kuazima kwake baiskeli. Baada ya hapo nafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.