Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Na Bindu Hassan, UDBS
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Zainab Chaula wiki hii ameeleza namna sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inavyoweza kuchangia zaidi katika ukuaji wa sekta za kijamii na kiuchumi nchini Tanzania.
Dkt. Chaula ameeleza kuwa...
Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu
Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu
Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
Sera mojawapo ya CHADEMA ni majimbo. Maana yake halisi ni kuwa watu wenyewe kwenye maeneo yao, yawe mikoa au wilaya, ndio wawe wanachagua au kuwateua viongozi wao, kama wakuu wa mikoa, wilaya na halmashauri.
Pia maeneo hayo, pamoja na Bunge, viongezewe madaraka ya kuamua badala ya Rais pekee...
Kwa hali ilivyo kwa sasa na maendeleo yaliyofikiwa tukae chini na kufikiri kwa makini tuchague CCM kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
Tusifanye ushabiki na wala tusifanye hamaki na kuchagua kwa mihemko tutajuta sana. Ninaamini Watanzania wamekuwa makini muda wote linapofikia suala la...
Mama Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Serikali yetu imefanya kazi kubwa sana kujenga umoja na kudumisha amani na ustawi tulio nao chini ya misingi ya uhuru na haki na hii inatusaidia sana katika jitihada za kukuza uchumi wa taifa letu. Tusisahau kwamba hakuna maendeleleo bila amani na...
*Does it make any sense?*
Kuhusu Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Na TUNDU Lissu
16.09.2020
Mbeya.
Andiko hili limetolewa kama ufafanuzi malalamiko ya CCM juu ya hoja za Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu.
Pia linafafanua juu ya maendeleo ya upendeleo katika utawala wa Rais Magufuli (nyumbani...
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo:
1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza-...
Kodi wananzotoa wananchi ndizo zinazojenga nchi, lakini kuna mikoa imeachwa nyuma kutokana na mfumo mbovu uliopo. Kodi inakusanywa inapelekwa hazina sasa anayegawa ni mmoja hivyo kunaweza kukatokea upendeleo
1. Hali zao za maisha kudhoofu
2. Kodi nyingi na nguvu ya kuuza na kununua imedhoofika...
Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Leo naomba nitoe dukuduku langu kwa uchache sana. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na...
Pesa za Mapaka ni aina flani hivi ya mapato(maendeleo) ambayo hupatikana kishirikina kwa kuumiza binadamu wengine hasa ndugu wa karibu. Kwamba mtu unaenda kalumanzila ili akutengenezee dawa ya kupata pesa; Kalumanzila anakujibu pesa ipo nje nje usjali lakini ili uipate lazima utolee sadaka na...
Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
Wasalaam.
Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu.
Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu?
Majibu ya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi.
Ndugu zangu...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai.
Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye...
Habari ya asubuhi wanachama wa JamiiForums,
Ukiwafuatilia kwa makini wagombea wawili wenye ushindani mkali Tundu Lissu dhidi ya John Magufuli kwenye uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 utagundua yafuatayo:
Tundu Lissu ni mgombea mwenye maono ya mbali na mwenye malengo ya muda mrefu wakati John...
Kwa kifupi sana.
CCM imeruhusu uhuru wa kuabudu kwamba kila mtu ana haki ya kuabudu katika imani anayoiamini.
Viongozi wa dini ndio wenye jukumu la kuhakikisha " mtu" anaendelea kiroho na kimwili.
Mambo mengine yanayosimamiwa na serikali kwamba tuwe na viwanda ili watu wavae na kula pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.