Uchaguzi 2020 Dkt. Tulia atema cheche Mbeya Mjini, awajibu Lissu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu watu wafurika mkutano wake

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,175
2,000
Watu wa Mbeya sio wajinga kiasi hicho washindwe kutofautisha kati ya mtu na kiatu.

Kwamba watu wa mbeya wachague Tulia wamuache Sugu?
Napendaga Ninasoma kwenye online media za Radio one, Nipashe na ITV. Kwenye mikutano ya CCM wanaandika Maelfu ya wananchi. Ila mikutano ya CHADEMA na ACT Zanzibar wanaandika mamia ya wananchi. Sijui wanaogopa nini jamani hawa watu
 

santesandy

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
848
1,000
Nipo kwa ajili ya kuwapeleka kwenye mwanga wale walio gizani licha ya kuwa ni saa sita mchana!
Ile mithali ya “nyani haoni kundule!” ina maanisha, unaweza kuona wenzako wapo gizani unajaribu kuwapeleka nuruni, kumbe mwenyewe ukawa gizani zaidi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom