maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuzingatia haki za wafanyakazi ni hatua ya msingi kwa maendeleo na ustawi wa Afrika

    Kuzingatia haki za wafanyakazi ni muhimu sana katika kuhakikisha ustawi na ufanisi katika maeneo ya kazi. Haki za wafanyakazi zinahusisha masuala kama vile haki ya kufanya kazi katika mazingira salama na yenye afya, malipo ya haki na stahiki, saa za kazi zinazoheshimu afya na maisha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: Huwezi Kutenganisha Maendeleo ya Tanzania na CCM

    Kuna jambo ambalo yamkini watanzania wengi hawaelewi au wanapaswa kueleweshwa zaidi kuhusu maendeleo ya Tanzania na CCM, ikumbukwe tunapozungumzia maendeleo ya Tanzania siku zote hatuwezi iacha CCM kamwe kwa maana Chama Cha Mapinduzu (CCM) kama Chama tawala ndicho kinachopanga nini kitafanyika...
  3. JamiiForums Tanzania Bilioni 423 zatekeleza miradi ya maendeleo Singida miaka miwili ya Rais Samia

    Katika kipindi cha miaka miwili serikali imeupatia Mkoa wa Singida Sh. bilioni 437.683 sawa na ongezeko la asilimia 252.8 ya Sh. bilioni 124 zilizotolewa mwaka 2019/2020 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, alisema hayo jana wakati akitoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji kazini: Kuboresha Utawala Bora kwa maendeleo endelevu

    Utangulizi: Katika kuimarisha uwajibikaji na utawala bora katika sekta yoyote, mabadiliko madhubuti yanahitajika. Makala hii inaelezea jinsi mambo manne yanayohusiana yanavyoweza kuchochea mabadiliko hayo na kuleta maendeleo endelevu. Andiko hili limeandikwa kwa maneno hayazidi 100. Sehemu ya...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi na Utawala Bora ni Msingi wa Maendeleo Endelevu

    Utangulizi Kumekuwa na jitihada kubwa za kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za jamii. Lakini ili mabadiliko haya yaweze kuwa endelevu na yenye manufaa kwa wote, ni lazima kuweka mkazo mkubwa katika uwazi na utawala bora. Uwazi unahusu upatikanaji wa taarifa na mchakato wa maamuzi...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Maendeleo huja kwa kushikamana

    Ili maendeleo yawepo ndani ya nchi viongozi wanatakiwa wawe kitu kimoja bila kujali siasa, udini, ukabila, pia upendeleo. Nchi inapaswa kuwa na viongozi waliowadilifu, wenye kujituma na wenye chachu ya maendeleo ya nchi yao, na ili kupata hayo yote wananchi wanatakiwa waweze kuchagua kiongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa chini tunataja...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo

    "Kuongeza Uwajibikaji katika Kilimo na Ufugaji: Mabadiliko ya Kuleta Maendeleo" Andiko hili linahusu umuhimu wa kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo na ufugaji ili kuleta mabadiliko chanya na maendeleo endelevu. Inalenga kutoa ufahamu kuhusu jinsi mifumo ya kilimo na ufugaji inavyoweza...
  10. L

    JamiiForums Tanzania “Kuondoa hatari” katika mchakato wa maendeleo ndilo jambo ambalo dunia inapaswa kufanya

    Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali. Tofauti na Mkutano wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Huawei yatumia teknolojia yake kusaidia nchi za Afrika katika kuhifadhi matumbawe na wanyamapori

    Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini Tanzania haipigi hatua kimaendeleo kama inavyostahili

    Maendeleo, ni hali ya kutoka hatua moja hadi hatua nyingine ambayo ni bora kuliko ile ya awali. Hatua hizo ni zinaweza kuwa ni za kiuchumi,kijamii au kisiasa. Maendeleo hujumuisha maendeleo ya mtu mmoja mmoja,taasisi au nchi. ambapo maendeleo ya nchi au taasisi yanategemea sana maendeleo ya...
  13. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora Ni Muhimu kwa Maendeleo ya Tanzania

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa maendeleo ya Tanzania. Bila uwajibikaji na utawala bora, ni vigumu kwa nchi kufikia malengo yake ya maendeleo. Uwajibikaji ni hali ya kuwajibika kwa matendo yako. Utawala bora ni mfumo wa utawala ambao unazingatia kanuni za uwazi, uwajibikaji, na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maudhui kwenye Runinga na maendeleo ya kijamii

    Yafaa Runinga zetu ziandae vipindi maalumu kuonyesha ubunifu wa nyanja mbalimbali. Mfano Kilimo cha kisasa, Nyumba bora, Wajasiriamali wabunifu, vijana wachapaka kazi, pia kuonyesha heshima ya kazi zenye kuleta maendeleo yanayoenekana sio yakini.
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Muhimu katika maendeleo ya uchumi

    Uwajibikaji na utawala bora ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya uchumi na uwekezaji. Uwajibikaji husaidia kuhakikisha kwamba serikali inatumia rasilimali zake kwa ufanisi na kwa manufaa ya umma. Utawala bora husaidia kuhakikisha kwamba serikali ni wazi na inawajibika kwa matendo yake. Kuna njia...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa

    Elimu ni Ufunguo wa Maendeleo: Jinsi ya Kuboresha Uelewa na Ujuzi wa Wananchi wa Masuala ya Kitaifa na Kimataifa Imeandikwa na: MwlRCT 1. Utangulizi: Elimu ni muhimu kwa maisha na maendeleo ya binadamu. Elimu inawezesha wananchi kuelewa na kushiriki katika masuala ya kitaifa na kimataifa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Mitaji ya Bilioni 208 Benki ya Maendeleo ya Kilimo

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa wa kiongozi wa mfano katika kuipaisha na kuiletea mageuzi makubwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) ikiwemo kuipa mtaji wa bilioni 208 kuwezesha kujiendesha kiufanisi. Imesema mtaji huo umeiwezesha benki hiyo kutengeneza faida na kukuza mtaji wake...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania vs China na maendeleo yake

    Habari zenu.. Leo tujifunze kutoka kwa wachina. Tangu 1950s nchi ya Tanzania na china kimaendeleo zilikuwa sawa. Tangu hapo walijitokeza wanafalsafa wakiishauri china wakisema ''taifa ili liweze kuendelea lazima liwe na watu''.Nchi ya china ilianza kutekeleza sera hiyo kwa kuhamasisha watu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Mwanga akagua Miradi ya Maendeleo, Kusikiliza Kero za Wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Mwanga Joseph Tadayo amefanya ziara kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kusikiliza kero za wananchi katika vijiji vinne vya kata ya Toloha na Kwakoa wilayani humo mkoani Kilimanjaro. Katika ziara hiyo Tadayo ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…