Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,865
12,297
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini kama ilivyo desturi ya sisi binadamu unapokuwa na mambo, vitu au watu zaidi ya watatu ubavuni kwako, ni wazi kuwa hautoweza kubalance upendo wako kwao yani iwe mia kwa mia kwa kila mtu au kitu. Ni lazima mtu au kitu kimoja utakipenda zaidi ya kiingine.

Hili hutokea hata kwa mzazi mwenye watoto mfano wa5 hujikuta anampenda mtoto mmoja au wawili zaidi ya awapendavyo waliobaki, japo kama mzazi huwa haoneshi moja kwa moja upendeleo wake huo kutokana na kutaka wale wengine wasijisikie kubaguliwa nk.

Hivyo basi hata raisi wetu, ni raisi wa nchi nzima, lkn ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mikoa ambayo amekuwa akionesha kuipenda na kuijali zaidi ya mikoa mingine, na hili limekuwa likionekana kupitia miradi mbali mbali kabambe aliyoielekeza katika mikoa hiyo hata kama anajaribu kutokuonesha kuwa ana baze zaidi huko, lkn wafuatiliaji tunaona wenyewe kwa macho yetu na kusikia pia kwa masikio yetu.

Mikoa hiyo ambayo inabahati mno na serikali hii ni 👇

1. Dodoma.
Mkoa huu pamoja na kwamba raisi aliekuwepo madarakani hayati John P. Magufuli aliupenda na kuelekeza zaidi macho yake huko, pia umeendelea kuneemeka na uongozi huu wa awamu ya 6 chini ya raisi Samia na kupelekea miradi mingi ya maendeleo kupelekwa huko.

Nafikiri haya yamesababishwa na hadhi yake kama mji wa serikali na makao makuu ya nchi.

2. Kigoma.
Mkoa wa Kigoma pia unazali na uongozi huu wa raisi Samia. Japo mkoa huu una kiongozi mmoja mkubwa wa chama cha upinzani, na historia yake ya baadhi ya vijana kushikiwa akili na kupenda kuunga mkono wapinzani mbali mbali, lkn raisi Samia hakujali hayo.

Ameelekeza nguvu na miradi katika mkoa huo kuliko kiongozi mungine yoyote aliewahi kutawala kabla yake. I hope hiyo miradi ikikamilika basi Kigoma itakuwa Small "Chicago", achilia mbali zile stori za mh Kikwete kwamba angeigeuza Kigoma kuwa Dubai kwa maneno tu matupu bila vitendo wala kutoa hela za miradi husika.

3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo, ila toka raisi Samia aingie amekuwa akionesha kushirikiana na mbunge Mbeya mjini ambae pia ni spika wa bunge kuleta maendeleo ya kweli katika mkoa huo.

Kwa kuonesha kuwa anaupenda mkoa huo kwa vitendo, serikali ya raisi Samia tayari imeshatoa mamilioni ya miradi kwa ajili ya shule, barabara nk. Japo kuna baadhi ya watumishi wa serikali kutoka mkoa huo wanaonekana kutohitaji maendeleo katika mkoa huo kwa kutafuna mamilioni ya baadhi ya miradi kama alivyosema raisi Samia alipokuwa ziarani mkoani huko, lkn ni kama vile bado hajachoka kuendeleza miradi katika mkoa huo, bila kujali baadhi ya wapinzani ambao wao wanachotaka ni kuingia bungeni tu bila kujali maendeleo anayowaletea raisi Samia katika mkoa wao.

Baadhi ya wanasiasa wenye familia zao Ulaya na Marekani ambao kiasili hawatoki katika mkoa huo, wamekuwa wakiwahadaa vijana ambao wengi wao walikimbia shule mkoani hapo, wapinge miradi hiyo ya maendeleo ili uchaguzi mkuu utapofika wachaguliwe wao tu na vyama vyao.

4. Mwanza.
Mkoa wa Mwanza pia ni kama Dodoma. Ulikuwa na zali chini ya serikali ya awamu ya 5 ya hayati Magufuli, na bado umeendelea kuwa na bahati pia chini ya serikali hii ya awamu ya 6 ya raisi Samia.

5. Mtwara....

6. Lindi....

Kama kuna mikoa mingine ambayo imeneemeka na uongozi wa raisi Samia alaf sikuiandika basi ndugu msomaji unaweza kuiandika hapo chini....

Karibuni.
 
Huku rukwa kama kawaida yetu tulishazoea kutengwa na viongozi wa kitaifa.

Kufungua tu njia ya Namanyere-kirando kisha mizigo ivuke maji kwenda congo hawataki wanaishia kujenga bandari sehemu ambazo hazina uchangamfu walianza kipili pakafeli, saizi wako kabwe nayo itafeli.

Poor government support
 
Kuna dalili za wazi za kuendeleza kwa kasi Mkoa wa Kusini Unguja, na hasa kupitia idara za serikali, mashirika ya umma na kampuni binafsi. Ni rahisi kuona pilikapilika hizo, kwani mkoa huu una wilaya mbili na ukubwa wa wa eneo 800km2 hivi..

... Aidha mkoa wa Mjini Magh' nao haupo nyuma kwa pilikapilika nyingi za maendeleo ambazo hazijawahi kuoneka tokea miaka ya mwanzo ya sabini.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Lakini kama ilivyo desturi ya sisi binadamu unapokuwa na mambo, vitu au watu zaidi ya watatu ubavuni kwako, ni wazi kuwa hautoweza kubalance upendo wako kwao yani iwe mia kwa mia kwa kila mtu au kitu. Ni lazima mtu au kitu kimoja utakipenda zaidi ya kiingine.

Hili hutokea hata kwa mzazi mwenye watoto mfano wa5 hujikuta anampenda mtoto mmoja au wawili zaidi ya awapendavyo waliobaki, japo kama mzazi huwa haoneshi moja kwa moja upendeleo wake huo kutokana na kutaka wale wengine wasijisikie kubaguliwa nk.

Hivyo basi hata raisi wetu, ni raisi wa nchi nzima, lkn ukweli ni kwamba kuna baadhi ya mikoa ambayo amekuwa akionesha kuipenda na kuijali zaidi ya mikoa mingine, na hili limekuwa likionekana kupitia miradi mbali mbali kabambe aliyoielekeza katika mikoa hiyo hata kama anajaribu kutokuonesha kuwa ana baze zaidi huko, lkn wafuatiliaji tunaona wenyewe kwa macho yetu na kusikia pia kwa masikio yetu.

Mikoa hiyo ambayo inabahati mno na serikali hii ni 👇

1. Dodoma.
Mkoa huu pamoja na kwamba raisi aliekuwepo madarakani hayati John P. Magufuli aliupenda na kuelekeza zaidi macho yake huko, pia umeendelea kuneemeka na uongozi huu wa awamu ya 6 chini ya raisi Samia na kupelekea miradi mingi ya maendeleo kupelekwa huko.

Nafikiri haya yamesababishwa na hadhi yake kama mji wa serikali na makao makuu ya nchi.

2. Kigoma.
Mkoa wa Kigoma pia unazali na uongozi huu wa raisi Samia. Japo mkoa huu una kiongozi mmoja mkubwa wa chama cha upinzani, na historia yake ya kupenda kuunga mkono wapinzani mbali mbali, lkn raisi Samia hakujali hayo.

Ameelekeza nguvu na miradi katika mkoa huo kuliko kiongozi mungine yoyote aliewahi kutawala kabla yake. I hope hiyo miradi ikikamilika basi Kigoma itakuwa small "Chicago", achilia mbali zile stori za mh Kikwete kwamba angeigeuza Kigoma kuwa Dubai kwa maneno tu matupu bila vitendo wala kutoa hela za miradi husika.

3. Mbeya.
Huu mkoa nao ni miongoni mwa mikoa inayofaidika kwa kasi kupitia uongozi huu wa awamu ya tano. Kabla ya hapo mkoa huo ni kama vile ulikuwa umesahaulika kimtindo, maana hata miundo mbinu ya mkoa huo kwa upande wa barabara, shule, hospital nk vilikuwa hovyo, ila toka raisi Samia aingie amekuwa akionesha kushirikiana na mbunge Mbeya mjini ambae pia ni spika wa bunge kuleta maendeleo ya kweli katika mkoa huo.

Kwa kuonesha kuwa anaupenda mkoa huo kwa vitendo, serikali ya raisi Samia tayari imeshatoa mamilioni ya miradi kwa ajili ya shule, barabara nk. Japo kuna baadhi ya watumishi wa serikali kutoka mkoa huo wanaonekana kutohitaji maendeleo katika mkoa huo kwa kutafuna mamilioni ya baadhi ya miradi kama alivyosema raisi Samia alipokuwa ziarani mkoani huko, lkn ni kama vile bado hajachoka kuendeleza miradi katika mkoa huo, bila kujali baadhi ya wapinzani ambao wao wanachotaka ni kuingia bungeni tu bila kujali maendeleo anayowaletea raisi Samia katika mkoa wao.

4. Mwanza.
Mkoa wa Mwanza pia ni kama Dodoma. Ulikuwa na zali chini ya serikali ya awamu ya 5 ya hayati Magufuli, na bado umeendelea kuwa na bahati pia chini ya serikali hii ya awamu ya 6 ya raisi Samia.

5. Mtwara....

6. Lindi....

Kama kuna mikoa mingine ambayo imeneemeka na uongozi wa raisi Samia alaf sikuiandika basi ndugu msomaji unaweza kuiandika hapo chini....

Karibuni.
Acha uongo wako

1. Dodoma hajawekeza chochote amekuta mtangulizi wake ameshawekeza
2. Mwanza-hajawekeza chochote kila kitu kilichopo alikikuta kama ni meli, daraja,, uwanja ndege, stendi mbili za basi
3. Mbeya-hapana hakuna chochote alichokifanya hapo kila kitu alikikuta kimo kwenye mpango wa kutekelezwa kwa mfano upanuzi barabara,, upanuzi uwanja wa ndege, ujenzi wa soko Mwanjelwa labda kawekeza chuki
4. Pwani-sawa barabara zisizo na kiwango lakini pia alisitisha uendelezaji wa barabara ya kwenda kwenye hifadhi ya mbuga za Nyerere (Se;lous)
5. Lindi-labda maana ni ukanda wenye nasaba naye
5. Mtwara-labda maana ni ukanda wenye nasaba naye
6. Zanizibar-Unguja kusini Kizimkazi-ndio
7. Kigoma-ndio rushwa kwa ajili ya mkakati wa kupata kura
8. Arusha -hakuna chochote kila kitu amekuta kimo kwenye mpango
9. Dar Es Salaa-vipande vya barabara kwa upendeleo na uyoga wa majengo za kifahri na matajiri kuwekeza sana hapo huku vituo vya mafuta vikiota ahata kwenye makazi ya Uswahilini bila tahadhari ya uhatarishi wa maisha ya raia.
Nk
 
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.

Kuna Mikoa ni ya CCM hakuna Cha Upinzani kama Ruvuma,Manyara,Tabora,Katavi,Rukwa,Njombe,Iringa, Morogoro,Pwani,Tanga ,Lake zone yote kasoro Mara.

Kiufupi Tanzania hakuna upinzani labda ccm wakosee kuchaguana
 
Kumbe unaongea Kwa maana ya miradi kwamba ndio kuwekeza nikajua wapi kuna Nguvu ya ccm.

Kwa taarifa Yako Rais hafanyi kazi kufurahisha Mikoa Bali Kwa faida ya Nchi.Mwanza Kuna miradi ambayo aliikuta ndio kwanza inaanza lazima imalizike kwanza ndio mengine yaanze ,stand zote 2 tayari,Daraja kinaisha desemba,Sgr labda 2026 ,mradi wa Maji Butimba olmost done ,uwanja wa ndege keshatoa pesa ujenzi unaanza maana ulisimama.Mwisho ameanza ujenzi wa Barabara ya lami kuanzia hapo Sengerema Hadi Nyehunge bila kusahau meli Mpya kibao huko,anajenga hospital kubwa ya Rufaa ya Mkoa Ukerewe na mengine mengi kama magorofa ya Watumishi hapo Ghana street nk.

Dodoma ni case Moja na Mwanza lazima miradi aliyoirithi ikamilike ambapo Sgr na station Tayari,Barabara za Mji Mkuu tayari, airport na ring road ndio zinaendelea, hospital ya Jeshi,Makao Makuu ya jeshi nk

Japo Kwa Dom Kuna miradi mipya imeanza ambayo ni ya Kitaifa na sio ya Dodoma mfano ujenzi wa Hospital kubwa ya kina Mama ,Ujenzi wa Bwawa la Farkwa,ujenzi wa Barabara za lami kuunganishwa na mvumi,kongwa nk bila kusahau ujenzi wa Makao Makuu ya Nchi unaendelea.

Kuhusu Mbeya naona unaongea pumba na kuleta chuki zako za kina Mwambukusi.Nchi haijawahi ishiwa mipango ,Kuna mipango Toka awamu ya Nyerere hata bwawa la umeme ni Mpango wa Mwalimu.Hivyo basi amekamilisha ujenzi wa uwanja wa Songwe Airport,kuanzia runway,taa Hadi passenger terminal na Sasa wanajenga cold room,amekamilisha hospital ya Rufaa-Meta.
Ujenzi Mpya ni Barabara ya Njia 4,Barabara ya igawa-Tunduma,Ujenzi wa mradi wa Maji wa mto kiwira na ujenzi wa jengo la magonjwa ya Moyo Rufaa Mbeya,ujenzi wa Barabara za lami Rungwe,Kyela na Busokelo nk.

Kuhusu Arusha ni kwamba mama amekamilosha ujenzi wa mradi wa Maji,amekamilisha ujenzi wa Barabara ya EAC ,ameanza ujenzi wa Barabara ya kijenge,Kilombero na ujenzi wa Barabara ya kutoka Arusha-Dodoma via Kiteto ila miradi ya size ya kati haihesabiki.

Kuhusu Dar hapo usiseme miradi haihesabiki, mengine chuki zinakusumbua 😁😁
Screenshot_20230922-190802_1.jpg
 
Kuna dalili za wazi za kuendeleza kwa kasi Mkoa wa Kusini Unguja, na hasa kupitia idara za serikali, mashirika ya umma na kampuni binafsi. Ni rahisi kuona pilikapilika hizo, kwani mkoa huu una wilaya mbili na ukubwa wa wa eneo 800km2 hivi..

... Aidha mkoa wa Mjini Magh' nao haupo nyuma kwa pilikapilika nyingi za maendeleo ambazo hazijawahi kuoneka tokea miaka ya mwanzo ya sabini.
Fitina
 
Mbeya hawapendeki hao na ninwajuaji sio sehemu sahihi kimkakati sana sana anamsaidia Spika Tulia tuu maana bila huyo huo Mkoa wangeshautelekeza una watu jeuri wajuaji na wabishi wanaotaka Ligi mda wote ndio maana ujenzi wao ni hovyo hovyo Bora liende.

Kuna Mikoa ni ya CCM hakuna Cha Upinzani kama Ruvuma,Manyara,Tabora,Katavi,Rukwa,Njombe,Iringa, Morogoro,Pwani,Tanga ,Lake zone yote kasoro Mara.

Kiufupi Tanzania hakuna upinzani labda ccm wakosee kuchaguana
Mwabukusi
 
Huku rukwa kama kawaida yetu tulishazoea kutengwa na viongozi wa kitaifa.

Kufungua tu njia ya Namanyere-kirando kisha mizigo ivuke maji kwenda congo hawataki wanaishia kujenga bandari sehemu ambazo hazina uchangamfu walianza kipili pakafeli, saizi wako kabwe nayo itafeli.

Poor government support
Rukwa haijatengwa sema Bado hajafika kufanya Ziara.

Hiyo miradi iliyofeli ni ya Mwendazake Mzee wa kukurupuka.

Hata hivyo Barabara uliyoitaja usanifu umekamilika ila haiwezi kujengwa miaka ya karibuni kwanza Kuna Chadema kule.Barabara ya Lyazumbi Kabwe itaanza kujengwa kwanza ndio itafuata hiyo ya Kirando.

Mwisho hakuna Mkoa Mama ameutenga na wewe unajua.Hapo Rukwa amekamilisha Stand kuu,amekamilisha Chuo Cha Walimu,amekamilosha Veta Mkoa.

Miradi aliyoianzisha ni ,ujenzi wa Sumbawanga Airport,ujenzi wa Barabara ya Ntendo-Muze- Kilyamatundu,ujenzi wa Matai-Kasesya,ujenzi wa Laela-Mwimbi-Kizombwe road baadae itaungana na ya kutoka Matai,amejenga Barabara za Mjini zaidi ya km 2 Sumbawanga,taa zinawaka na huko mawilayani mambo ni 🔥🔥💯💯💯💯
 
Huku rukwa kama kawaida yetu tulishazoea kutengwa na viongozi wa kitaifa.

Kufungua tu njia ya Namanyere-kirando kisha mizigo ivuke maji kwenda congo hawataki wanaishia kujenga bandari sehemu ambazo hazina uchangamfu walianza kipili pakafeli, saizi wako kabwe nayo itafeli.

Poor government support
Nadhani Kipili pamekaa vizuri na ni rahisi kujenga bandari kuliko Kirando na pia ni jirani sana kama kilomita 10 kutoka Kirando. Ujenzi wa bandari Kirando utaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi kwani watabidi kuhamishwa ili kupisha bandari.

Kwa maoni yangu Kirando unapaswa kuwa mji wa kitalii kwa kujenga hoteli nzuri kwa sababu una fukwe nzuri sana.
 
Kumbe unaongea Kwa maana ya miradi kwamba ndio kuwekeza nikajua wapi kuna Nguvu ya ccm.

Kwa taarifa Yako Rais hafanyi kazi kufurahisha Mikoa Bali Kwa faida ya Nchi.Mwanza Kuna miradi ambayo aliikuta ndio kwanza inaanza lazima imalizike kwanza ndio mengine yaanze ,stand zote 2 tayari,Daraja kinaisha desemba,Sgr labda 2026 ,mradi wa Maji Butimba olmost done ,uwanja wa ndege keshatoa pesa ujenzi unaanza maana ulisimama.Mwisho ameanza ujenzi wa Barabara ya lami kuanzia hapo Sengerema Hadi Nyehunge bila kusahau meli Mpya kibao huko,anajenga hospital kubwa ya Rufaa ya Mkoa Ukerewe na mengine mengi kama magorofa ya Watumishi hapo Ghana street nk.

Dodoma ni case Moja na Mwanza lazima miradi aliyoirithi ikamilike ambapo Sgr na station Tayari,Barabara za Mji Mkuu tayari, airport na ring road ndio zinaendelea, hospital ya Jeshi,Makao Makuu ya jeshi nk

Japo Kwa Dom Kuna miradi mipya imeanza ambayo ni ya Kitaifa na sio ya Dodoma mfano ujenzi wa Hospital kubwa ya kina Mama ,Ujenzi wa Bwawa la Farkwa,ujenzi wa Barabara za lami kuunganishwa na mvumi,kongwa nk bila kusahau ujenzi wa Makao Makuu ya Nchi unaendelea.

Kuhusu Mbeya naona unaongea pumba na kuleta chuki zako za kina Mwambukusi.Nchi haijawahi ishiwa mipango ,Kuna mipango Toka awamu ya Nyerere hata bwawa la umeme ni Mpango wa Mwalimu.Hivyo basi amekamilisha ujenzi wa uwanja wa Songwe Airport,kuanzia runway,taa Hadi passenger terminal na Sasa wanajenga cold room,amekamilisha hospital ya Rufaa-Meta.
Ujenzi Mpya ni Barabara ya Njia 4,Barabara ya igawa-Tunduma,Ujenzi wa mradi wa Maji wa mto kiwira na ujenzi wa jengo la magonjwa ya Moyo Rufaa Mbeya,ujenzi wa Barabara za lami Rungwe,Kyela na Busokelo nk.

Kuhusu Arusha ni kwamba mama amekamilosha ujenzi wa mradi wa Maji,amekamilisha ujenzi wa Barabara ya EAC ,ameanza ujenzi wa Barabara ya kijenge,Kilombero na ujenzi wa Barabara ya kutoka Arusha-Dodoma via Kiteto ila miradi ya size ya kati haihesabiki.

Kuhusu Dar hapo usiseme miradi haihesabiki, mengine chuki zinakusumbua
Punga Nini Rungwe Kuna lami gani inajengwa huko?
utakuwa mtu mfupi wewe sio Bure.
 
Back
Top Bottom