madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madhara ya kuajiri watoto kwenye taaluma

    Unajiuliza hawa ni wawakilishi wa timu kwenye umma au ni vibonzo?! Hapa wanahojiwa na mwana habari, lakini wanajibu upuuzi
  2. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Madhara yoyote ya kiafya ,Mtu anayoweza kupata kwa kutumia "Margarine"

    Naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tupeane makavu: Kama pombe ni dawa ya kulevya yenye madhara makubwa kuzidi bangi ni kwanini bangi isiruhusiwe?

    Madhara ya sigara: Ocean road pale hospitali ya cancer wapo wagonjwa wengi wenye kansa ya mapafu, fizi, koo, n.k. kwasababu ya matumizi ya muda mrefu ya sigara. Cancer inaharibu koo kiasi kwamba wengine wamechomolewa makoo wanaongea kwa kuwekewa mashine, sauti inatoka kwenye spika Watu zaidi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nyoka wenye mistari wana madhara?

    Wajumbe habari za muda huu? Niko njiani natembea kurudi zangu nyumbani kutoka kilimoni. Hatua mbili mbele kakatisha mjusi wa mistari mistari. Nilivyopiga hatua sijakaa sawa kapita nyoka huyo wa mistari katikati ya miguu yangu akaunga kule alipokimbilia mjusi. Uongo mbaya niliishiwa nguvu na...
  5. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

    Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia hiyo hiyo miaka yote. Ni muhimu ujifunze kumvutia na kumtunza mwanamke kwa mfumo unaosema ukweli na...
  6. Wakili

    JamiiForums Tanzania Ifahamu bangi na madhara yake

    Habari wapendwa, Napenda leo tuzungumzie hili zao aina ya bangi ambalo kwa kiasi kikubwa limekuwa likioteshwa kwa siri maporini huko. Bangi inakemikali hatari mno inayofahamika kwa jina la THC ambayo unapoitumia kwa wale wavutaji basi huleta hallucinations, ambayo ni hali ya kusikia na kuona...
  7. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Athari na madhara yatokanayo na ugonjwa wa Busha

    Busha linaweza kupelekea mkusanyiko wa damu ndani ya korodani (hematocele), au mkusanyiko wa usaha ndani ya nafasi kati ya tabaka mbili za korodani (Scrotal pyoceles), mara nyingi huambatana na maambukizi ya mishipa ya kuhifadhia mbegu za uzazi (epididymo-orchitis). Wakati mwingine Busha...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

    Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja. Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam leo nikiambiwa hakuna Madhara Makubwa nitakataa

    Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi. Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ya maumivu ya mapenzi

    Madhara ya Maumivu ya Mapenzi; unakosa hamu ya kula, unahisi huwez kuish tena, unakuwa mtu wa hasira. Unapoteza kumbukumbu, unataka kulipa kisasi, unakuwa addicted na masturbation.
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Bodaboda haina madhara ama ni hofu na woga wa wanasiasa unaowafanya wagombane?

    Lema alichokisema kuhusu boda boda kina ukweli ndani yake ama ni uongo na uzushi wake? Kitaalam kuendesha boda boda bila ya kuvaa "Vest" kunaweza kumsababishia mwendeshaji "Pneumonia" ama afya zao ziko salama. Hivi CCM wanajua tofauti kati ya Kazi na ajira? Kisheria kuendesha Bodaboda ni kazi...
  12. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara nyuzi za tohara zinapobaki mwilini kwa muda mrefu? (Miaka 13)

    Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe. Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu? Au zinapobaki haziwezi leta...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank sasa kuna pension/salary advance kwa kutumia TCB POPOTE MOBILE : Kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo hiyo?

    Sasa unaweza kuvuta pesa kutoka kwenye mshshsra wako au pensheni yako mpaka limit waliyoweka. Huduma hiyo imeanzishwa two days back. Je kuna madhara yoyote kutumia huduma hiyo? Haya mambo ya technology yana siri nyingi! Mfano haya makampuni ya simu yanatuibia sana kwa kula bundle eti kuna...
  16. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya kula chips sana

    Chips zege (mchanganyiko wa viazi na mayai ya kisasa) Miongoni mwa Chakula kinachopendwa sana katika jamii yetu ni Chips, ambapo miongoni mwa vyakula vyenye mafuta mengi. Pia inasemekana ni miongoini mwa vyakula ambavyo hupikwa katika joto la juu sana. Hiki ni chakula chenye mafuta mengi na...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mbaya wa Kulala unachangia kwa 33% madhara ya Afya ya Moyo

    Jarida la Journal of the American Heart Association limechapisha Utafiti unaoonesha Watu wenye miaka kuanzia 30 wasio na ratiba nzuri ya Kulala au Kupumzika Usiku, wanakuwa kwenye hatari mara 1.4 zaidi ya kupata matatizo ya Moyo. Utafiti umeonesha zaidi ya 80% ya Matatizo ya Moyo ikiwemo...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Precision lisimamishwe haraka kuruka anga la Tanzania kabla ya madhara makubwa kutokea

    Ndege za shirika hili zimechoka na hakuna proper maintenance. Mashirika makubwa yanatoa 10% ili kuwapatia abiria iwapo ndege ni mbovu. Serikal isimamishe shirika hili kesho asubuhi. Waende kufanya biashara ya anga huko Kenya. Mashirika yatumie ndege za serikali especially from Dodoma to Dar...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mti umekauka, wananchi waomba wahusika waukate kabla haujaleta Madhara makubwa

    Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles). Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
  20. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kukaa na kinyongo au hasira moyoni

    Katika magonjwa yanayoongoza kuua watu ni HASIRA au KINYONGO. HASIRA au KINYONGO ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo. Vinapunguza sana siku za kuishi. Uchungu usipoutoa moyoni utatokea sehemu nyingine, 👌 ukitokea kwenye ziwa, 🤱 tunaita kansa ya titi, 🌝 ukitokea kwenye moyo tunaita presha, 😯...
Back
Top Bottom