MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,011
- 6,542
Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa safari hii wajiandae ,wakichelewa kumshawishi Biden aindokane na ushiriki wake Ukraine ,vita ya nuclaer siyo nzuri na inapofikia kutumika ni mhusika kuona kupuuzwa kwa kiwango kikubwa sana,hakutakuwa na mshindi pande zote mbili yaani Russia na USA ila mataifa hayo yatafutika kwenye ramani ya dunia.