Madhara ya TRA kufunga akaunti za benki za wafanyabiashara! Mnaomshauri Rais mnataka afeli ionekane Mwanamke hawezi kazi

Mtemi mpambalioto

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,263
7,400
Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!

Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!

Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi kazi!

Wafanyabiashara wa ndani wanatakiwa kusimamiwa kutumia mashine za EFD tu! mengine hayafai kuyafanya mbele ya jamii!

Wahuni wapinzani wa SAMIA ndani ya SERIKALI ndio wanafanya haya mambo!

Narudia tena huyu ni Mwigulu anautamani Urais anaona mama atamchelewesha!

Magufuli ali block bureau de change kuwakomoa wafanyabiashara wasibadili hela kuwa dola na kwenda kuzificha makwao lakini bado walimshinda mbinu! Sasa jiandaeni na anguko la mapato hamtasahau.
Mama amka usingizini! fukuza mkuu wa usalama wa Taifa utakuja kunishukuru baadae.
 
Yanapofanyika chini ya mama yako unasema kuna wahuni ili kumkomoa. Yalipofanyika enzi za Magu unasema ni Magu. Wapiga dili mmerudi.
 
Hakuna kosa kubwa katika nchi yeyote duniani kama kuzuia au kuua vyama vya upinzani kisa vinakukosoa na serikali yako.
Hiyo ni sawa na mtu anayependa unadhifu akaamua kuvunja na kuondoa vioo vyote kisa vinamuonyesha hajachana nywele.

Mtego huu alioutega Magufuli alipaswa Samia autegue ili opposition wamsaidie kuongoza kwa kukemea mianya yote ambayo wanaomsifia wanaifunika kumbe ndio inamuangusha.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana kila siku huwa nasema jamii ya kiafrika imejaa watu wapumbavu wasio jua wanataka nn.
Hivi nyinyi sindo mlikuwa mnamsema mama kuwa ni dhaifu na ameacha nchi ichezewe hovyo leo hii anataka kudhibiti hayo mambo ya hovyo tena mnalalamika.
 
Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!

Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!

Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi kazi!

Wafanyabiashara wa ndani wanatakiwa kusimamiwa kutumia mashine za EFD tu! mengine hayafai kuyafanya mbele ya jamii!

Wahuni wapinzani wa SAMIA ndani ya SERIKALI ndio wanafanya haya mambo!

Narudia tena huyu ni Mwigulu anautamani Urais anaona mama atamchelewesha!

Magufuli ali block bureau de change kuwakomoa wafanyabiashara wasibadili hela kuwa dola na kwenda kuzificha makwao lakini bado walimshinda mbinu! Sasa jiandaeni na anguko la mapato hamtasahau.
Mama amka usingizini! fukuza mkuu wa usalama wa Taifa utakuja kunishukuru baadae.
KODI inatakiwa ilipwe. TULIPENI kodi
 
Ikifika hatua raia wanalazimishwa kulipa kodi na serikali ni muhimu kutafiti na kudadisi wapi tumeteleza kama taifa eneo la uchumi.

Sekta ya benki imekaa kitapeli sana na kiukweli kwa mfanyabiashara anayechipukia na hata ambaye yupo juu kuweka pesa benki imekaa kimtego sana na usalama wa pesa zake unatia mashaka.
 
Mlifikiri ni siri sasa vimeanza kuibuka hadharani!

Kitakachofuatia ni watu kuondoa fedha zao Benki kama ilivyokuwa kwa Magufuli, soon mtapata majibu yenu kwenye uchumi!

Huu uhuni nina uhakika MWIGULU yumo ndani yake maana ndiye anayeongoza Genge la kumdanganya mama ili aanguke waseme hawezi kazi!

Wafanyabiashara wa ndani wanatakiwa kusimamiwa kutumia mashine za EFD tu! mengine hayafai kuyafanya mbele ya jamii!

Wahuni wapinzani wa SAMIA ndani ya SERIKALI ndio wanafanya haya mambo!

Narudia tena huyu ni Mwigulu anautamani Urais anaona mama atamchelewesha!

Magufuli ali block bureau de change kuwakomoa wafanyabiashara wasibadili hela kuwa dola na kwenda kuzificha makwao lakini bado walimshinda mbinu! Sasa jiandaeni na anguko la mapato hamtasahau.
Mama amka usingizini! fukuza mkuu wa usalama wa Taifa utakuja kunishukuru baadae.
Wanatumia mbinu za kijambazi na kishamba sana, hawawajibiki kupitia EFD halafu wanakuja na mbinu nyepesi za kihuni za kukwapua pesa za watu. Wakiendelea na huu mchezo watakuwa wengi sana hawa mende.

You can't run an economy like this, never hawawezi kufanikiwa njia za kizuzu kama hizi.

Sasa hivi matajiri wengi hawalipi Kodi halali na EFD zao sifuri mtu anahudumia thousands ana history ya 200 customers or less. This is the case with petrol stations and service industry, we don't here anymore kuhusu madini.

Mwigulu ni dikteta mwizi be cautious. He has guts tatizo ni mwizi na mfanyabiashara mizania haipo hana credibility kwenye hio nafasi yake.
 
Hakuna kosa kubwa katika nchi yeyote duniani kama kuzuia au kuua vyama vya upinzani kisa vinakukosoa na serikali yako.
Hiyo ni sawa na myu anayependa unadhifu akaamua kuvunja na kuondoa vioo vyote kisa vinamuonyesha hajachana nywele.
Mtego huu alioutega Magufuli alipaswa Samia autegue ili opposition wamsaidie kuongoza kwa kukemea mianya yote ambayo wanaomsifia wanaifunika kumbe ndio inamuangusha.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Haya machache yanayokemewa sasa hivi amechukua hatua?
 
Back
Top Bottom