Naomba kujua madhara yanasabishwa na kufeli kwa diode kwenye alternator ya gari

Herry jr

Member
Oct 16, 2020
74
131
Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari.

Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii zikiashiria kuna shida. Mshale unaosoma speed pia unazunguka mara kwa mara wakat gari ipo silensa. Hii inaweza kusababishwa na nn.
 
1. Taa ya rangi nyekundu ya warning ya betri inawaka na kuzima(kublink).

2. Alternator inashindwa kufua umeme.

3. Kuanza kutumika kwa umeme kutoka kwenye betri,mwisho wa siku gari inaweza kuzima kama betri likiisha chaji

all in all ,hizo ndo dalili zilizonikuta baada ya kupanda tuta nikiwa kwenye mwendo mkubwa (125km/h)
 
1.taa ya rangi nyekundu ya warning ya betri inawaka na kuzima(kublink)
2.alternator inashindwa kufua umeme
3.kuanza kutumika kwa umeme kutoka kwenye betri,mwisho wa siku gari inaweza kuzima kama betri likiisha chaji

all in all ,hizo ndo dalili zilizonikuta baada ya kupanda tuta nikiwa kwenye mwendo mkubwa (125km/h)
Ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom