madereva

  1. JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya abiria kushuka na kuacha gari kwenye foleni kuna hatarisha usalama wa abiria

    Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee. Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
  2. JamiiForums Tanzania Urafiki na madereva wa masafa marefu ukiwatumia hela 75% hesabu umetoa sadaka

    Hawa jamaa wanakuwaga na shida mbalimbali katika safari zao wakipatwa na shida. Unakuta mzee msaada hapa gari imepata tatizo nisaidie kunitumia hela mimi bosi wa gari akinitumia nitakutumia na shida ninunue spea kufnge chapu niendelee na safari. Baada ya kutuma mzee asante sana nimepata...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi madereva huwa hamtuoni kwenye zebra tukisubiri kuvuka?

    Wakuu, Leo ni zamu ya madereva kuwa kwenye kiti cha moto:D. Medereva mnakwaza sana kwenye kipengele hiki. Mtu anaweza kukaa muda mrefu kwenye alama za kuvukia (zebra crossing) huku wenye vyombo vyao wanapita tu utafikiri hawaoni mtu. Tena ukiwa peke yako ndio kipengele zaidi, utakaa hapo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Watembea kwa miguu acheni kujivuta kwenye zebra madereva sio malaika, mengi yanaweza kwenda vibaya

    Wakuu, Ukiwa unatumia barabara unatakiwa uchukue tahadhari hata ukiwa kwenye sehemu ya kuvukia (zebra crossing). Kuna watu wameshajiwekea nikipita kwenye zebra lazima chombo kisimame, kwahiyo yeye hajali chochote akifika kwenye zebra ni kuvuka tu. Anasahau kwamba mambo mengi yanaweza kwenda...
  5. JamiiForums Tanzania SoC03 Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kujigeuza Mahakama wanafanya uonevu mkubwa kwa madereva

    Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani kusiwe na askari wa usalama barabarani. Ukiwauliza sababu ya wao kupenda hivyo watakwambia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani awaasa madereva kupunguza bei ya nauli Kahama -Shinyanga

    "Niwaombe wenzangu wenye Hice (Daladala), Mabasi, Gari za Abiria kutoka Urowa kwenda Kahama zamani mlipandisha nauli kwasababu ya barabara mbovu. Kwanini msishishe nauli kuwasaidia wananchi!" - Mhe. Emmanuel Cherehani, Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga "Kama kilio ilikuwa ni barabara...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Madereva wa mabasi ya New Force, Zanuni, Rungwe Express, Super Rojas, Abood Bus Service na Kyela Express wafungiwa leseni kwa muda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya changamoto za madereva barabarani

    Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo. Kwa kipindi hicho cha miezi kumi nimeona baadhi ya makosa haya ambayo ni hatarishi na yanaweza kusababisha ajali: 1. Dereva wa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania LATRA ajali za usiku zisiwafanye mbadili maamuzi, wapeni madereva muda wa kuzoea safari za usiku

    Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea. Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Usafiri wa daladala kurejea, madereva wamaliza mgomo

    Mgomo huo ulioibuka asubuhi ya leo Julai 3, 2023 baada ya madereva Daladala kudai kuingiliwa ruti na wenzao wa Bajaj, hatimaye wameyamaliza na usafiri unaratijiwa kurejea kama kawaida kuanzia asubuhi ya Julai 4, 2023. Baada ya mazungumzo hatimaye maridhiano yamefikiwa kati ya Mamlaka ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa vyeti vya kuthibitishwa kwa madereva 999 waliosajiliwa na kuthibitishwa

    NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE AKABIDHI VYETI KWA MADEREVA 999 KUTOKA LATRA Naibu Waziri Uchukuzi na Ujenzi, Mhe. Atupele Mwakibete tarehe 01 Julai, 2023 jijini Dar es Salaam ametoa vyeti kwa madereva 999 waliosailiwa na kuthibitishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Nchini (LATRA), hii...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  13. JamiiForums Tanzania Madereva wa Uber, abiria tukipata ofa msitununie na kutulalamikia

    Jamani madereva wa Uber tunajua maisha magumu kwa wote which means tukipata offer zetu msitununie sisi au kutulalamikia njia nzima as if cc ndo tumeweka bei. Kwani cc tukiambiwa 15k hata sehem ndogo bado tunatoa Km kawa hatulalamiki Wala hatuombi mtupunguzie. Km hao Uber wanawabana hamieni...
  14. JamiiForums Tanzania Waiba mafuta kwenye malori na madereva lao moja

    Wakuu, Aisee muda wote nilipokuwa naona hawa watu wanaiba mafuta nilijua ni ile ya kiwiziwizi tu kumbe ni mchongo kati ua dereva na hawa vibaka. Bosi unapigwa kila siku huku watu wanajifanyia yao. Katika harakati za maisha mjini barabara ya Mandela hii kwenye foleni nikaona huyo mwamba...
  15. JamiiForums Tanzania Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Na declare interest mimi ni mdau wa usafirishaji Tanzania. Lengo la kuanzisha huu uzi sio kuharibu biashara au maisha/ajira za watu ila ni kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kila siku kama panzi kwa uzembe na ujinga wa hawa madereva. Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Mbeya na huwa nafanya kazi za...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
  17. JamiiForums Tanzania Boxer BM 100cc na madereva bodaboda wa kanda ya ziwa hasa Bukoba na Mwanza mjini

    Habari zenu wadau. Last week nilikuwa pande za Kagera (Bukoba) na viunga vyake pia nilipita na jijini Mwanza (Mwanza town). Nikiri kuna mengi nilijionea ila la kushangaza ni madereva wengi wa bodaboda kutumia pikipiki za Boxer BM 100cc katika harakati zao za kuingiza kipato. Tofauti kabisa na...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi madereva wanaoingiza magari kwenye kontena huwa wanatokaje?

    Yaani unakuta gari labda ni scania au isuzu tiper linaingizwa kwenye kontena halafu nafasi ya kufungua mlango ili dereva atoke haipo je, hao madereva huwa wanatokaje?
  19. E

    JamiiForums Tanzania Mpya! Wanahitajika madereva kwa haraka

    Habari! Chills Logistics Company Ltd tunakuletea fursa ya kazi kwa madereva wote Sifa: 1. Uwe na leseni hai 2. Uwepo Dar es salaam 3. Uwe na uzoefu wa miaka 3 na kuendelea 4. Uwezo wa kufanya kazi usiku Kama una sifa tajwa hapo juu karibu. Tutumie leseni yako whatsapp na namba yako ya simu...
  20. JamiiForums Tanzania Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…