Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari.

JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
 
Kwa daladala DAR kuna hizi za kuitwa HATUPOI
Route ya MNAZI mmoja to Mwenge via KIGOGO ROAD
Hawa balaaa yanii ni kama gari za NEW FORCE na SAULI🙌🏽😄
Hawajali watumiaji wengine wa barabara ni kufukuzana tu
Horn zake sasa kama wauza koni ni kelele njia yote
Njoo hamia huku kijijini kwetu
 
Bajaj woote Ondoa High Way hawana Driving skills. Kuna wakati utakuta barabara two lane Mbezi to Kibaha Bajaj wawili au watatu wanaendesha sambamba kwa mwendo mdogo na kuleta foleni nyuma. Hii ni ntofauti madereva wengine wanatumia akili zaidi kuepusha foleni.
 
Ukiwa mjini bajaji na bodaboda, noah za abiria, na ukiwa rural kuna hizi trucks za kubeba mbao, tumbaku, pamba..karibia wote wana akili moja
 
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari.

JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
kuna hawa madereva wa kuambiwa kazi inabidi alipwe kwa trip wanaendesha magari makubwa kubeba mchanga aloo hawa jamaa hapana kwakweli

vita ya daladala ndefu zile hapo Dsm ni bonge moja la ligi UTAPENDA hasa baadhi ya Route
 
Kwa daladala DAR kuna hizi za kuitwa HATUPOI
Route ya MNAZI mmoja to Mwenge via KIGOGO ROAD
Hawa balaaa yanii ni kama gari za NEW FORCE na SAULI
Hawajali watumiaji wengine wa barabara ni kufukuzana tu
Horn zake sasa kama wauza koni ni kelele njia yote
Papaa Fololo
Mnazi Coca
 
Kwa daladala DAR kuna hizi za kuitwa HATUPOI
Route ya MNAZI mmoja to Mwenge via KIGOGO ROAD
Hawa balaaa yanii ni kama gari za NEW FORCE na SAULI🙌🏽😄
Hawajali watumiaji wengine wa barabara ni kufukuzana tu
Horn zake sasa kama wauza koni ni kelele njia yote
Hao Hatupoi Ndio Papa Fololo? maana kuna hizo Papa fololo Ruti hiyohiyo wako rafu mnoooo, Hawajali traffick wala Taa wao wanafaulisha popote
 
Back
Top Bottom