madereva

  1. B

    Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

    Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi. Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana...
  2. Mamlaka: Madereva wa Mabasi ya Mikoani 'Wanaobeti' Kufika haraka waendako Kukiona cha Mtema Kuni

    Kwa hili GENTAMYCINE nasema mmechelewa sana hata hivyo nawapongezeni kwa Kuliona na kuamua kulivalia Njuga hivi sasa kwani kuna Watu wamepoteza Maisha na wengine kupata Ulemavu wa Kudumu kutokana na Upuuzi wa baadhi ya hawa Madereva wa Mabasi ya Mikoani. Yako Mabasi mengi yenye huu Upuuzi ila...
  3. Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  4. M

    Madereva waandamana bandari

    Madereva wa malori yanayotumia bandari ya Dar es Salaam waandamana kulalamikia ucheleweshaji wakushgulikiwa taratibu za mizigo yao na kusababisha kukaa muda mrefu mpaka wa zaidi ya siku moja bandari na wakidai kuwa ucheleweshaji huo ni scanner za humo kutofanya kazi Kwa ufanisi kwa lisaa moja...
  5. Kazi kwa wataalam wa mauzo na madereva

    Medical supplies company, located at Dar es Salaam is looking for: 1/ (experienced) sales representatives,, minimum required sales experience is one year in pharmaceutical or medical supplies company or commercial sales company. 2/ Experienced drivers (driving license (type C). Applicants...
  6. Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Ndugu madereva leo nimewaletea hii fursa GARDAWORLD ni kampuni iliyopo ndani ya kampuni ya ulinzi iliyokuwa inafaamika kwa jina la K.K security. Kampuni hii ya ulinzi ni miongoni mwa kampuni kubwa zinazotoa mshahala angalau kidogo kuna kaunafuu, maana NSSF inazingatiwa na mafao mengineo kwa...
  7. B

    Wapigwe Vita Polisi kunyang'anya madereva leseni

    Ajabu na kweli tunaposhuhudia utendaji mbovu kabisa wa jeshi la polisi kupata kutokea, kumbe wao pia wamejipa mamlaka zaidi na kujipongeza juu, kwa kupora haki za watu kuishi! Eti kumbe Jan - Sep 2021 wamepokonya madereva 537 leseni za udereva? Jambo la hovyo kabisa kusikika kwa wapenda haki na...
  8. Rais Samia: Askari mnalalamikiwa kushikilia leseni za madereva muda mrefu

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema bado Askari wanalalamikiwa kwa masuala kadhaa ikiwemo kushikilia Leseni za Madereva kwa muda mrefu au kuwalazimisha kulipa faini papo hapo ilihali Sheria inampa muda Dereva wa kuilipa. Amesema, "Kingine ni kuna ukamataji mwingi wa Vyombo. Ukipita Vituo vya...
  9. Mmiliki wa mabasi ya Sauli watakaokufilisi ni madereva wako

    Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama. Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali za ovyo ovyo zinazosababishwa na uzembe wa madereva. Mliopo karibu na mmiliki wa mabasi ya Sauli...
  10. 70% ya ajali za barabarani Zambia 🇿🇲 zinasababishwa na madereva waendeshao magari automatic

  11. Ajali mbaya, madereva muwe makini

  12. Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  13. Polisi yawataka madereva bodaboda Arusha kuwafichua wahalifu

    Mwandishi wetu, Madereva wanaojihusisha na biashara ya kupakia abiria kwa kutumia vyombo vya pikipiki maarufu kama bodaboda wilayani Arusha wametakiwa kuepuka kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu kama uporaji wa simu,pochi za wanawake na ubakaji ili kuepuka kuchafua taswira ya biashara...
  14. Uzi maalum kwa madereva na abiria wa bodaboda (mikasa, matukio, changamoto na ngekewa)

    Habari ya weekend JF members, Mimi mzima wa afya na mwenye changamoto ya kiafya nampa pole na kumuombea apone arejee katika majukumu ya kulijenga taifa mama Tanzania.Pole zangu pia ziwaendee kwa walioguswa kwa namna moja ama nyingine kwa hukumu ya nyundo (30 yrs behind the bars) iliyopitishwa...
  15. Video ya Watanzania waliotekwa Malawi yavuja, waomba msaada

    Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi Iko hivi Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani. Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
  16. B

    Siasa za kikanda: Malori 150 ya Tanzania Madereva wake wazuiwa nchini Zambia

    30 September 2021 Kasumbalesa Mpakani mwa DR Congo na Zambia na Nakonde Zambia Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya...
  17. H

    Kwanini madereva wetu wa Kiafrika hawawezi kufuata sheria za barabarani hadi wasimamiwe?

    Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi. Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
  18. Ombaomba wenye magari

    Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia. 'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
  19. Uhaba wa madereva wa Malori unatishia uchumi wa Uingereza

    Source BBC14, July 2021 Uingereza inakabiliwa na uhaba wa madereva wa malori, upungufu uliopo ambao unahitaji kuzibwa haraka ni maderava 100,000. Athari zilizotokea mpaka sasa ni Nandos kufunga baadhi ya migahawa yake wa kukosa malighafi. Mc Donald kuacha kuuza milk shake kwa kukosa supply...
  20. Bolt, Uber na Taxfly hawa madereva ndo chanzo cha foleni Dar

    Wakubwa tafiti ndogo hawa majamaa, wanaendesha magari kama mabovu vile pole poleeee hata kama barabara nyeupe mnarundika foleni ndefuuuu, kumbe mbele kuna IST sijui raumu upuuzi mtupu. Rekebisheni driving zenu bana mnaboa sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…