Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...