madaktari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Madaktari wapendekeza chanjo Uviko kuwa lazima

    Dar es Salaam. Katika kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, waganga wakuu wa mikoa wameishauri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, iangalie uwezekano wa kuifanya chanjo ya ugonjwa huo kuwa ya lazima. Wito huo wameutoa, kufuatia vifo vinavyoendelea kuwakumba...
  2. Memento

    JamiiForums Tanzania Madaktari waishauri Serikali chanjo ya Corona kuwa ya lazima

    Madaktari wameishauri Serikali chanjo ya Corona iwe lazima. Si jambo baya na wapo sahihi kwa kuwa wao ni wataalamu. Serikali haipaswi kukataa ushauri wowote wa wataalamu kwa maana mambo yakienda ndivyo sivyo watakuwa hawana wa kumwajibisha. Hivyo ushauri uzingatiwe pia. Na mimi binafsi Sina...
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kitendo cha Daktari kumfumua Mgonjwa nyuzi kina tofauti gani na pale Madaktari wanapoamua kugoma?

    Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta. Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili. Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please Madaktari wa mifugo

    Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya chini kama penstrep na maltijet infusion tubes zenye penicillin na strptomycin. Nikafanya hivyo kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Mwamposa, tafadhali fuata Ushauri uliopewa na Madaktari huku Kupenda Kwako Sadaka kunaweza Kukulaza mazima

    Tokea Jumatano ya Wiki iliyopita kulianza Kuenea Taarifa Kanisani Kwako kuwa hali yako ya Kiafya si nzuri. Kama kawaida yangu Mightier nikaona ngoja Kwanza niendelee Kuniridhisha na hizi Taarifa. Siku ya Jumamosi nilibahatika kumpata Mmoja wa Kondoo wako tena ni Mhudumu nikamtega na akafunguka...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu moyo wa kujitolea wa madaktari

    Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita madaktari wameonyesha umuhimu mkubwa katika jamii yetu, kwani wao walikuwa mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya janga la COVID-19. Tunakumbuka mwanzoni wakati janga hili linaanza, baadhi ya madaktari walilazimika kufanya kazi kwa muda mrefu, na kuna...
  7. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania BBC: Kenya imeingia makubaliano na UK kuwapatia madaktari wake ajira

    Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza. Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni maslahi ya kada nyingine pia, si kila kitu Polisi tu. Kuna Walimu, Madaktari nk

    Nimesoma mahali, serikali ina mpango wa kutoa viwanja vya ujenzi wa nyumba binafsi kwa askari polisi ili wasifedheheke pindi wanapostaafu. Rai yangu ni kwamba hili liende kwa watumishi wote isiwe kwa polisi tu. Hainiingi akili kuwa askari anaelipwa mshahara, posho ya shiling 300,000/, pesa ya...
  10. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

    Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. Muda mwingine hata...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Madaktari wataka chanjo ya Covid19 iwe ya hiari

    Umoja wa Madaktari nchini Uganda (UMA) wamepinga suala la kulazimisha watumishi wa Afya na raia kupatiwa chanjo ya COVID19 kilazima. Wametahadharisha kuwa yatakapotokea matokeo yoyote serikali itawajibika. Uganda imepata upinzani hata kwa wahudumu wa Afya ambao hawajawa tayari kuchoma chanjo...
  13. Mwl Philemon

    JamiiForums Tanzania Wanaokula mnofu wa Tanzania

    WANAOFAIDI KEKI YA TAIFA Na Thadei Ole Mushi. Kwa Mwezi anapokea Milioni 11,000,000 Kwa mwaka atapokea 132,000,000 Kwa miaka mitano atapokea Jumla 660,0000 Huu ni mshahara tu hujaweka kiinua Mgongo, bado Sitting allowance, bado Posho mbalimbali nk. Tuachane na mawaziri na manaibu waziri...
Back
Top Bottom