macho

  1. JamiiForums Tanzania Nombeni ushauri niko njia panda. Huu ni uchawi au kiini macho?

    Kwanza kabisa nianze na salamu kwenu wote wana JF asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, ndugu zangu kaka zangu dada zangu naombeni ushauri wenu, kuna tukio ambalo limekuwa linanisumbua sijui ni uchawi ama kiini macho sijui niseme lipi ndugu zanguni. Ila hivi sasa miezi zaidi ya 5 nimekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ina maana ambao hadi leo hatujaumwa macho kama wengine tuna kinga imara?

    1. Waliobarikiwa zaidi na Mungu? 2. CD4 zao ziko Imara sana? 3. Hawajalaanika kwa Dhambi? 4. Wenye Kinga Kali mno? 5. Wenye Nyota zenye Kung'aa daima? 6. Wasio na Roho Mbaya na Wivu? 7. Wasiopenda kupiga Chabo? Asante sana Baba Mwenyezi Mungu.
  3. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dodoma waitaka Serikali kutafuta Dawa ya Ugonjwa wa Macho Mekundu kwani wanaonekana ni Wavuta Bangi

    Yaani huu Uginjwa wa Macho Mekundu ulioingia sasa Mkoani Dodoma kutokea Dar es Salaam unatukwaza kwani kwa Macho yetu kuwa Mekundu hivi tunaonekana ni Wavuta Bangi wakati wengine hata hiyo Bangi yenyewe hatujui amesema Mkazi Mmoja wa Mkoa wa Dodoma. Chanzo: Nipashe ya Radio One Asubuhi hii...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata tatizo la macho toka jana

    Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni. Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie. Niko na hali mbaya. Asanteni.
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ugonjwa wa Macho mekundu (Red eyes) huambukizwa kwa kutazamana na Mgonjwa

    Je, ni kweli ugonjwa wa macho mekundu (Red eyes) huambikizwa kwa kutazamana?
  6. JamiiForums Tanzania Usimpime kwa macho hii kitu ni ya ajabu

    HABARINI FJ PEOPLE Nimependa leo niseme kitu kidogo juu ya tatizo la HIV/AIDs. Hamna asiyejua kwamba HIV ni janga kubwa hasa katita nchi zinazoendelea. Am sorry najua humu kuna baadhi wapo na HIV+ status lakini ni lazima waelewe kwamba ni jukumu letu sote kupambana na kutokomeza hii kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kuboresha Mazingira kwa Walemavu wa Macho: Jitihada za Miundombinu, Mafunzo, na Elimu

    Inaeleweka kuwa watu wenye ulemavu wa macho wanakabiliana na changamoto nyingi wanapotembea barabarani au kushiriki katika shughuli za kila siku. Baadhi ya mapendekezo kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuboresha hali yao na kuhakikisha wanaweza kushiriki kikamilifu katika jamii: Miundombinu...
  9. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Afya, Je, kuna mlipuko wa ugonjwa wa macho?

    Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi. Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri muda ukivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya nikaona hata isiwe shida acha nijipumzishe na kazi...
  10. JamiiForums Tanzania WHO: Takriban nusu ya watu duniani watakuwa na matatizo ya macho kufikia 2050.

    Na Dr.Kenge MD, Jini makini,vidole Madini 2024, Tabasamu la furaha linashamiri nyusoni kwa wengi.Ni saa ya Kirumi inaposoma kukamilika kwa Majuma 365 ambayo kwa wanajiografia wanasema "Earth completes its orbit within 365½ days" .Kukamilika kwa mzunguko wa dunia ambao ndani kuna misimu minne...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ili uwe muongo mzuri ni lazima macho na kinywa vipatane.

    Macho yawe makavu na yasiyo pepesa pepesa, Na mdomo unene firmly
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kubadilisha miwani, macho ndo yamezidi kuuma

    Habarini ndugu, Nipo macho mpaka muda huu nashindwa kulala macho yanauma misuli ya macho inavuta nkifumba macho nilale yanauma naskia kizunguzungu kichwa kinauma mwili unaishiwa nguvu, hii hali imenipata baada ya kubadilisha miwani. Nilienda hospital private pale Morroco nataka niende hospital...
  13. JamiiForums Tanzania Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

    Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy. No offens. Madogo yakujifinya Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui...
  14. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Rushwa Halmashauri JIJI, serikali inafumba macho, utafikiri haioni!

    Mtaa wa Lindi leo. Tutapiga kelele hadi serikali msikilize uozo uliokuwa wa Jiji la DSM. Jiji ilitoa tenda kwa wachina miaka minne tu iliyopita. Kwa kawaida ujenzi wa barabara, barabara inatakiwa kutokuwa na matatizo yoyote ndani ya miaka 10. Barabara ya Lindi, Kariakoo ndani ya miaka minne...
  15. JamiiForums Tanzania Kulisha macho kulitaka kunipofusha

    Jioni hivi nikawa nazubaa zubaa mtaani kusafisha macho. Nitaenda kupiga stori kwenye kijiwe jirani cha boda. Nikiwa nimebaki mwenyewe kwa mbali barabarani ikapita pisi moja matata imefungasha. Ni lile zigo za kutetemeka kila anapopiga hatua yaani bouncing booty. Nikasema ngoja nilishe macho...
  16. JamiiForums Tanzania Matunda kwa afya ya Macho

    Aloo wakubwa Matumaini yangu mko vizuri na ambao Afya zao haziko sawa Basi na Mwenyezimungu awasaidie wakae vizuri, Leo nataka tushee kitu kuhusiana na Afya ya macho. Wengi wamekuwa wakisumbuliwa na macho Kwa eidha kuwa na uoni hafifu na chàngamoto zingine pia za macho. Na hapana shaka yakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania TFDA tupieni macho Wilson bakery ya Bunda wanauza mikate iliyokwisha muda wake

    Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi. Kwanza vifungashio vyake vingi...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume kucheza Amapiano kwa kubinua macho kama mtu anaepandisha mashetani ndio nini tena jamani?

    Nilishawahi kuona vitoto vya chuo vikicheza Amqpiqno kwa style hiyo ya kubinulisha mboni za machoxjuu na kuchezesha kope za macho kama mtu anapandisha mashetani hivi.., Ila nimeona mwanaume anafanya hivyo nimeona kituko sana..,kwanza ndio nini hivyo?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  20. JamiiForums Tanzania Kuteuwa Wakurugenzi nje ya Utumishi wa Umma hakupaswi kufumbiwa Macho

    Kimsingi, hakuna teuzi yeyote anayofanya Rais isiyokuwa na masharti. Wakurugenzi ni watumishi wa umma ambao ni permanent and pensionable. Wanatambulika kwenye muundo wa utumishi wa umma. Na sifa za kuwa mkurugenzi ni kuwa angalau umetumikia managerial position ya ukuu wa Idara kwa miaka mitano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…