Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

AY 5225

JF-Expert Member
Jul 16, 2023
484
1,134
Heshima yenu wakuu.

Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza kunitunuku hata ka 12 kwa bei hiyo hiyo kama offer.

Be it as it may, nipo Unguja rn ila nitakuwa Dar by tomorrow kwahiyo kwa aliyetayari naomba ani'PM tu.

Bless up.
 
650k kupata macho matatu ni mtihani kidogo, at least bajeti ingekuwa 800-750 labda
Unapata mkuu, nishawahi kununua kwa bei hiyo hiyo months ago ila tu nataka kupunguza risk ya kuhusisha mawinga nikauziwa simu ya wizi bure na ndio maana nataka kuchukua kwa mtumiaji mwenyewe.
 
We ni tapeli kuna sehemu Tanzania wanauza simu bei rahisi kuliko zanzibar nimetoka huko last week nimenunua laptop na simu kwa bei ya kutupa
 
We ni tapeli kuna sehemu Tanzania wanauza simu bei rahisi kuliko zanzibar nimetoka huko last week nimenunua laptop na simu kwa bei ya kutupa
Watu wengine bwana! enhee kwahiyo utapeli wangu mimi uko wapi hapo?
 
Back
Top Bottom