mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

    Kuna mabadiliko makubwa sana kwenye jamii yetu siku hizi. Unakuta binti wa miaka 20 anapenda kuwa na mtu mzima wa miaka 40 na kuendelea na wao wanasema ndio wanaofaa kwa mapenzi na maisha kwa ujumla. Nimefanya tafiti nimeshindwa kuelewa, hii ni kwa nini?
  2. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukeketaji dhidi ya wanawake na mabinti

    Kila mwaka ifikapo tarehe 6, Februari dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga ukeketaji. Je, unatambua wanawake na mabinti takribani milioni 7.9 wamepitia ukeketaji Tanzania? Licha ya serikali na wadau mbalimbali kupambana vilivyo na ukeketaji, kuna maeneo bado ukeketaji dhidi ya...
  3. The Assassin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

    Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo. Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu. Natambua kweli ile tunaita...
  4. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani huwafundisha mabinti sanaa ya kukata viuno?

    Salaam Kukatika ni sanaa nzuri sana imfurahishayo mwanaume wakati akila tunda. Miaka ya nyuma sanaa hii ilikua inafundishwa na watu maalum kwa baadhi ya makabila. Kwa sasa inafanywa na wasichana na wanawake wa makabila yote tena bila kupitia mafunzo hayo yaliyokuwa yakitolewa kwa wasichana...
  5. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa kiislam na usafi

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti ninaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, ni mabinti wale wanaojistiri swala tano. Hawa mabinti moja ya sifa kuu waliyonayo ni usafi wa mwili, yaani ukibahatika kumla hutojutia wala kurudi hapa eti...
  6. Sigara Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

    Kama mada inavyojieleza Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:- 1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate 2.Kupenda vitu vya gharama...
  7. Tembosa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kiisrael(Wayahudi) wanavutia sana

    Wakuu! Nilichokigundua na kisichojulikana sana ni uzuri wa hawa warembo wakiyahudi aisee, sio maarufu sana lakini inawezekana kundi hili likawa katika nafasi ya juu sana duniani kwa mvuto. Na moja ya sifa kubwa walionayo ni kupenda familia. Na sio wavaa mahijabu.
Back
Top Bottom