Hizi ndizo tabia za mabinti kutoka familia njaa/maskini

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:-

1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate

2.Kupenda vitu vya gharama tofauti na uhalisia wa maisha yake na ya nyumbani kwao-simu atataka amiliki ya laki 3 wakati ndugu zake wanashindia mihogo

3.Wanapenda sana starehe,yani mademu wengi ambao kwao njaa ni watu wa kupenda starehe,club kwa sana kila weekend na kutembelea maeneo mengine ya starehe

4.kuchagua baadhi ya vyakula na kubagua vingine hasa wawapo ugenini,wao wanapenda wale chips kuku,Pizza,Burger

5. Wanajifanya wajuaji na waongeaji sana,kutwa wanashinda vibarazani kuwasema wenzao

6. Wapo huru sana kutoka nyumbani kwao,yani yeye anatoka muda wowote anaojiskia iwe asubuhi,mchana,jioni au usiku

7. Ukimtoa out anakula na kunywa kama anakukomoa

8.Ukimwita ghetto lazima akuombe nauli hata kama nauli ni 400 atataka umtumie

9.Anapendelea kuvaa nguo ya aina moja hasa ile aliyoambiwa akivaa inampendeza

10.Wengi ni omba omba sana

11. Wanajifanya hawana wivu

12. Hataki upajue anapoishi ,ukimwambia nataka kupajua kwenu chenga kibao hadi unaghairisha

13.Anawajua madereva boda boda wengi na bajaji.

Nchana Mwema
 
hivi kwani kuna ubaya au ajabu mwanamke kutokuwa na hela na kumuomba mpenzi au mume wake hela? Yaani wanaume mnajisahau kwamba ninyi ndo mliambiwa mle kwa jasho lenu ila wanawake hatukuambiwa hivyo

Sasa nashangaa leo hii jamii inalazimisha mwanamke naye ajitegemee halafu ndo nyie nyie mnaosema hamtaki haki sawa sasa hamtaki haki sawa halafu mnataka wapenzi wenu au wake zenu wasiwaombe hela?
 
Tatizo ni;
1.omba omba sana
2.mashauzi
3.bili za kipuuzi
4.minjemba mingi/hawajatulia
5.mabwawa(wanatumika sana)
6.mashimo/mahandaki
7.wachafu/hawajijali
8.tamaa ya ulimbukeni
9.wako fasta ili wawahi kwingine kutifuliwa
10.waongo waongo kishenzi
11.wanazima simu ovyo ovyo

Kutoa hela siyo tatizo,matatizo yao ni hayo hapo juu.@Edelyn,
 
eyamango, Kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba mwanamke anayetakiwa kupewa pesa na mwanaume ni yule ambaye amekamilika na kwa maana hiyo basi ni kwamba hata mwanaume anayetakiwa kupewa mahaba na mwanamke ni yule aliyekamilika si ndiyo?
 
Walau zaidi ya % 50 au % 50 inapendeza zaidi.Ikiwa chini ya % 50 ndio shombo inapoanzia hapo,

Full kero tupu hata mshipa unasinyaa.Lakini akiwa % 50 au zaidi ni full mzuka na mtanange unogile.
Kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba mwanamke anayetakiwa kupewa pesa na mwanaume ni yule ambaye amekamilika na kwa maana hiyo basi ni kwamba hata mwanaume anayetakiwa kupewa mahaba na mwanamke ni yule aliyekamilika si ndiyo?
 
Walau zaidi ya % 50 au % 50 inapendeza zaidi.Ikiwa chini ya % 50 ndio shombo inapoanzia hapo,

Full kero tupu hata mshipa unasinyaa.Lakini akiwa % 50 au zaidi ni full mzuka na mtanange unogile.
Sawa nakubali sasa ndo nauliza na wanaume nao wafikishe walau %50 ndo wapewe mahaba na wanawake chini ya hapo hawastahili au?
 
@Edelyn,
Umelalamika hadi umetia huruma, Ila hayo ndio madhara ya wale wanawake wa framework kutoka Harvard mnayoyafagilia ya 50/50. Si mnataka haki sawa basi vijana wa leo wamewakomoa hata kwenye mambo hayo wanataka mjitegemee 50. Ila burudan muwape kama kawaida. Na tunakoelekea mtatoa mahali kama hutaki ndoa hakuna.
 
Nljue feminist lazima uibuke kweny hizi mada upinge

Tofauti yao na hawa hawana vizingi vingi visivyokuwa na msingi hawaitaj gharama sana pesa wanazo. Wengi wanapenda kwa dhati hawapend pochi pochi wanalo
Sasa kati ya mimi na wewe nani ambaye ni feminist? Haujajishitukia tu kwamba wewe ndo uko upande wa feminism? Mimi nimesema mwanaume kumhudumia mwanamke ni jukumu lako na hiyo ni kutokana na maandiko na mfumo dume ambao unamtaka mwanamke akae nyumbani afanye kazi za ndani huku wewe ukitafuta pesa

Lakini wewe ndo umesema unataka mwanamke wa kishua ina maana unataka mwanamke ambaye naye anatafuta pesa sasa kwani haujui kwamba mwanamke kutafuta pesa ni moja ya sheria za mfumo wa haki sawa ambao ndo mnaupinga kila siku? Sasa kati ya mimi na wewe nani kawa feminist hapo?Wanaume mbona hamjielewi mnataka nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom