Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,320
Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo.

Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu.

Natambua kweli ile tunaita moral fabric kwenye jamii nyingi iko kwenye hali mbaya lakini huku kwetu inakuja kwa kasi sana.

Je ni nini shida ama sababu?
 
Nadhani ni ukosefu wa maadili na kukata tamaa ya mfumo wa maesh yanaovuma kwa karne hii. Na jengine hao yote wanaojichora mili zao hawana imani au mafunzo ya dini zao. Wapo kama "Hayawani"... PEXA Kwao ndo kila kitu (Mungu Baba Mama)
 
Mimi napenda sana mwanamke mweye ma tatoo, vikuku, vipini puani mdomoni kwenye nyusi nk. Kikubwa nachowapendea ni kuwa hawa wameamua kujiwekea alama kabisa kujitambulisha kwamba wao ni makahaba! Hii inasaidia sana kwa mtu ambae hutaki ukaribu na mwanamke wa aina hiyo wee unakaa mbali mapemaa.
 
Yeah, wanasema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU kwa wale wanaoamini.

Nadhani wengi wako kwenye ule umri wa kufanya makosa(16 - 28) na ama hawana muongozo sahihi au hawako tayari kuongozwa. Watakapofikia ule umri wa kuangalia nyuma na kutamani kurudi pale walipokosea ili warekebishe, inakuwa too late, wanaanza kuuishi ujinga ule kwa taaabu sana katika jamii.

Mama mmoja mtaani, ni wa heshima sana, hakuwahi kuonekana amevaa nguo ya mikono mifupi, kumbe ni mkakati wa kuficha tattoo iliyoko mkono wa kushoto, juu tu ya kiganja. Nilipoiona kwa bahati mbaya, aliniangalia kwa upole, nikaona aibu mimi, sijui kwanini. Ila naamini anajutia.

Monalisa, anasema jambo analojutia, ni kuchora tattoo begani
 
NI UREMBO.
Mimi nawakubali sana wanawake hao.
Ila zisiwe zile tattoo za kiume.
Iwe uwa au maneno au nyota nyota uwa naburudika sanaa
 
Mimi napenda sana mwanamke mweye ma tatoo, vikuku, vipini puani mdomoni kwenye nyusi nk. Kikubwa nachowapendea ni kuwa hawa wameamua kujiwekea alama kabisa kujitambulisha kwamba wao ni makahaba! Hii inasaidia sana kwa mtu ambae hutaki ukaribu na mwanamke wa aina hiyo wee unakaa mbali mapemaa.
Sio wewe peke yako tupo wengi,mtu Kama huyo nikishamwona namchukulia Kama muzaa K.
 
Tuweke unafiki na ujuaji pembeni,mwanamke akiwa mweupe halaf achore tattoo maeneo ya shingo au bega aisee huwa wanatia hamasa kinyama kuwatindua au achore vinyota nyota shingoni aisee mnara huwa unasoma 5g kabsa!
N.B mwanamke mweupe ndo huvutia zaid akichora tattoo
 
Back
Top Bottom