Mabinti wa kiislam na usafi

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,124
11,114
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti ninaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, ni mabinti wale wanaojistiri swala tano.

Screenshot_20190709-102901.jpeg

mauwa_abayas_tz-20190708-0001.jpeg

Hawa mabinti moja ya sifa kuu waliyonayo ni usafi wa mwili, yaani ukibahatika kumla hutojutia wala kurudi hapa eti umekutana na harufi kali ukaishia kugairisha show, hawa sijui huwa wanafunzwa wapi lakini kwa usafi wanatisha.

Nishawala kama watano sikujutia hata kidogo, mwanamke sifa kuu ni usafi, hawa mabinti wa pwani sijui wanajifunziaga wapi haya mambo.
 
Duh mzee baba naomba no ya mmoja wapo kati ya uliowala nataka nimuulize usafi amefundishwa wapi
 
Japo sitaingiza hili kuhusu yote uliyosema wewe usafi wao wanaupata kutokana na dini yao kuwaamrisha kuwa wasafi.

"Al islaam nadhifu (uislamu ni msafi) fainahu laa yadikhulti jannah (la hataingia mmoja wapo peponi) ila nadhifu (basi awe msafi)"

Note..Usafi unaozungumziwa hapa ni usafi wa nafsi na mwili pia ndiyo sababu hautaruhusiwa kuswali ama kusoma quran mpaka pale unapotwaharika yaani kuwa na udhu pia maana yake ni sehemu ya usafi

Kinachofanya Uislamu kuonekana hivyo ni pamoja na walio waislamu kukosa elimu juu ya uislamu wao..ila kwa mwenye elumu bhasi utaona kuna ukweli katika hili.

Juu ya sababu ya wao kuwa wasafi hili ndilo jibu.
 
Njoo sinza uone makahaba yalivyovaa nguo zenu hizo mnazoringia.

Mtu ni tabia. Mavazi sio suluhisho
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti nnaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, Ni mabinti wale wanaojistiri swala tano

View attachment 1149910
View attachment 1149912

Hawa mabinti moja ya sifa kuu waliyonayo ni usafi wa mwili, yaani ukibahatika kumla hutojutia wala kurudi hapa eti umekutana na harufi kali ukaishia kugairisha show, hawa sijui huwa wanafunzwa wapi lakini kwa usafi wanatisha

Nishawala kama watano sikujutia hata kidogo, mwanamke sifa kuu ni usafi, hawa mabinti wa pwani sijui wanajifunziaga wapi haya mambo.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, Mabinti nnaowazunhumzia hapa sio wale wacheza vigodoro na wavaa madera wasiojielewa, Ni mabinti wale wanaojistiri swala tano

View attachment 1149910
View attachment 1149912

Hawa mabinti moja ya sifa kuu waliyonayo ni usafi wa mwili, yaani ukibahatika kumla hutojutia wala kurudi hapa eti umekutana na harufi kali ukaishia kugairisha show, hawa sijui huwa wanafunzwa wapi lakini kwa usafi wanatisha

Nishawala kama watano sikujutia hata kidogo, mwanamke sifa kuu ni usafi, hawa mabinti wa pwani sijui wanajifunziaga wapi haya mambo.
LICHADI ipitie tena mada yako. Tumeanza na mabinti waislaam ukamalizia na mabinti wa pwani, vitu viwili tofauti.
Na pia ujue kuwa hao uliowala si wasafi, Muislamu wa kweli ni msafi kiroho (kinafsi) na kimwili.
La mwisho, umeingizwa mjini bro siku hizi wote wanajiongeza kupata washamba kama wewe.
 
Back
Top Bottom