Kwa ninavyowajua Mabinti wa Kitanzania na hasa hawa Wasanii wetu wa Kibongo nitakuwa wa mwisho kumuamini huyu mmoja wao...

Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,626
2,000
Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige kazi, nilishaapa sitaki kufa masikini lazima nipambane" - Msanii Anjella wa Konde Gang

Chanzo: EastAfrica TV

Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi Generalist na Wadau wengineo. Hivi mnatuonaje labda mnavyotuongopea hivi?

Kuna Shule ya Msingi moja Mabinti wa Darasa la Tano karibia Wote hawana Bikira sasa ndiyo itakuwa huyu?

Hakuna Mwenzetu yoyote hapa ( humu ) labda aliyewahi ' Kumbandua ' huyu ili atupe Mrejesho kuhusu ' Kitufe ' chake kuwa ' Sealed ' kama anavyojimwambafai ( anavyojisifia ) hapa au anatupanga ( anatudanganya ) tu?

Tanzania hii Binti wa 19 years ni Bikira?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom