mabinti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masai wa Town

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa mabinti/ Wanawake kujipatia wanaume/ Waume

    Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao. Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania P Diddy na mabinti zake watatu wakiwa kwenye Venice

    Mabinti hawa wamekaribishwa katika event ya siku tatu ya Dolce and Gabana na baba yao ameamua kuwapeleka. Hawa wawili wa nyuma ni mapacha na yule wa mbele ni mkubwa kwa mapacha na mama yake ni mwingine. Wa mbele ni Chance ana miaka 15, Mapacha ni Dalilah na Jessie James miaka 14.
  3. incredible terminator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

    Habari wakuu, Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati...
  4. Kasomi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za Mabinti wa Kidigital

    SIFA YA MABINTI WA JF YETU 1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine uvivu kutype. 4. Ukimwambia naomba tufahamiane anasema anza wewe, na ukimaliza ili yeye aanze basi...
  5. kacnia

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti wa kizazi kipya hii hapa (based on research)

    Katika jamii kumekuwa na matukio ambayo yamekuwa yakijirudia mara kadhaa, matukio ya wazee kufia guest wakiwa na mabinti, niliona ni muhimu nifanye utafiti ili hatimaye nijue nini sababu ya vifo hivyo, Hivi sasa kumekuwa na ari kwa wanajamii kufanya sex za kiwango cha kimataifa huku wakitumia...
  6. Vaislay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa sasa acheni kukurupukia ndoa

    Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu. Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye mikakati yao, bila kuchukua muda wa kumsoma na kumfahamu muoaji, mwisho wa siku wanatutesa wanandugu...
  7. Zuleykha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

    Habarini wanajamii wenzangu. Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea nikimchukulia kama mwanangu aliweza kuishi nami mpka akawa msichana mrembo wakuolewa ikiwa ni baada ya yeye...
  8. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa malezi: Mabinti siku hizi wanaanza mahusiano ya kingono wakiwa bado wadogo

    Kipindi hiki malezi ya watoto yamekuwa magumu sana hasa wa kike walio katika foolish age, sababu ya contact kubwa ya watu tokea maeneo tofauti tofauti na utandawazi. Yaani ni changamoto sana, watoto wengi wa kike wanaanza sex mapema sana. Yaani mtoto kike wa o level kuwa na mwanaume zaidi ya...
  9. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wakuu Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima Hasara ni nyingi tuone.. 1: Utageuzwa kitega...
  10. The Assassin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada acheni ushamba kwenye Dating Apps

    Kusema kweli nashindwa kuwaelewa mabinti/wadada wa Kitanzania (sio wote) kwenye mitandao ya kutafta mahusiano ama dating apps. Sijui ni ushamba ama ugumu wa kuelewa. Mitandao kama Tinder, Badoo, Hitwe, Tantan, Match.com, na mingineyo ni mitandao mahususi kwa datings na inaitwa kabisa dating...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

    Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana. Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5...
  12. mama D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

    Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watunzeni na kuwalea vizuri mabinti, wanaharibikiwa

    Sasa hivi tuna wahitaji wapya mtaani wenye shida zisizo isha omba omba. Hawa ni mabinti wadogo kwa wakubwa. Wamejishusha thamani sasa hivi huwezi ukadunu nae tena maana yake anageuka kikwazo. Anakuomba hela kila dakika ili mradi una mawasiliano nae. Sio hela ya vocha kusuka, simu, kodi, nguo...
  14. entry

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Mahari ni asante kwa Wazazi, kwanini Wazazi wa Mwanaume hawapewi?

    Habarini wakuu, Kuna mijadala humu imetokea inayohusiana na mahari nimeona maoni kutoka katika pande mbili (ke&me). Wanawake wanasema mahari ni kama unawashukuru wazazi wa binti kwa kumlea huyo mke sasa najiuliza kama mahali ni asante kwa wazazi je. 1. Hawa mabinti nawao wanaleta asante gani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kinywaji cha CocaCola na Limao zawa mbadala wa Condom ili kuzuia Mabinti Kushika Mimba

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoonyesha kuwa huenda mwisho wa dunia unakaribia Mabinti wengi nchini Kenya wanatumia Kinywaji cha Coca Cola na Limao kuzuia Mimba pindi tu wamalizapo kufanya Ngono ( Kuzini ) " Tukimaliza tu kufanya Ngono haraka sana huwa tunawahi Bafuni na kujimwagia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Janja ya nyani: Tuoleane, Ukioa kwangu sitakutoza mahari! Huku nikijua kabisa sina mabinti wa kutosha kuozesha maana wengi walishaolewa

    Haya makubaliano ya kuoleana baina ya jamii mbili bila kutozana mahari tuyamulike! Jamii moja mabinti zake wengi walishaolewa tayari! Ndiyo inakuwa ya kwanza kupendekeza mambo ya kuoleana bila kulipishana mahari! Jamii nyingine bado ina mabinti wengi ambao hawajaolewa. Japo kila jamii inapewa...
  17. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo wazi mwenye macho aone enhh! Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Sababu zipo...
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kizazi cha sasa cha hawa mabinti

    Kama Una Binti Yako Na Hawa Ndio Wakawa Marafiki Zake Basi Jua Kabisa Hauna Binti, Kwisha Habari Yake... Team LGBT
  19. Samcezar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

    Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo". Ipo hivi, kuna wadada...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ninavyowajua Mabinti wa Kitanzania na hasa hawa Wasanii wetu wa Kibongo nitakuwa wa mwisho kumuamini huyu mmoja wao...

    Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige kazi, nilishaapa sitaki kufa masikini lazima nipambane" - Msanii Anjella wa Konde Gang Chanzo...
Back
Top Bottom