mabeberu

  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

    Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki Huu ni uzandiki wa kisiasa. Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Zile Hekaya za 'Wanyonge' na 'Mabeberu' zimefia wapi?

    Wasalaam wana JF Nilipokua mdogo niliambiwa kua uyaone. Nimekua sasa, hakika ya ulimwengu na malimwengu ni mengi na ya kustaajabisha. katika kipindi fulani niliaminishwa kwamba kuwa mnyonge ndiyo alama ya uzalendo na kwamba asiye utaka unyonge ni kibaraka wa mabeberu au ni beberu kuu lenyewe...
  3. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  4. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Ruhusa ya mikutano ya hadhara ni utashi wa watawala au imeshinikizwa na masharti ya wakubwa wanaotoa mikopo?

    Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa? Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpe Kabudi Wizara ya Mambo ya Nje awanyooshe mabeberu. Ondoa falsafa ya kufungua nchi

    Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji...
  6. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa kazaliwa upya, Mabeberu wajipange

    Hii picha imepostiwa na binti yake Gaddafi mtoto ni Gaddafi mtupu.apo kavaa kama babu yake muammar Gaddafi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Raia wa Iran wanakaribia kuingizwa mkenge na mabeberu wa magharibi kama walivyofanyiwa raia wa Libya

    Kitendo cha wachezaji wa timu ya Taifa ya Iran kugomea kuimba wimbo wao wa Taifa eti wakiunga mkono maandamano yanayoendelea nchini Iran kupinga serikali ya Iran na sera yake ya stara kwa wanawake. Hiki ni kitendo cha usaliti na ukosaji wa uzalendo wa hali ya juu mno! Wananchi wa Iran wanaelekea...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hawa Mabeberu tunawasingizia tu. Marais wa Afrika wengi hawana akili. Msome alichofanya Tsishekedi wa DRC ni aibu

    Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu. Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema walikuingiza chaka. Bado huna akili. Kwa nafasi nyeti kama hiyo.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Accuracy superiority, nani mwenye silaha bora kati ya Urusi na zile za mabeberu hasa USA na UK?

    Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji wa silaha za ulinzi na kushambulia. Hapa tutaangalia ushindani wa hawa mafahari wawili yaani Urusi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nadhani mabeberu wa nchi za Magharibi wanaelekea kulielewa somo sasa: Chezea kingine ila siyo sharubu za Putin

    Wamemwekea vikwazo lukuki wakiamini kuwa uchumi wa urusi utakufa ghafla, kinyume chake uchumi wa nchi zao ndio unaoanguka!! Usicheze na nchi yenye maliasili zinazohitajika kwa lazima kwa maisha ya kiila siku: mafuta na gesi!!! Usicheze na nchi inayojitegemea na kutegemewa kwa chakula!! Hapo...
  11. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanafanikiwa kirahisi kwa aina ya marais wetu Afrika

    Nilimsikia Rais wetu Samia akihutubia mkutano wa kimataifa huko Quatar hivi majuzi. Alilalamika kuhusu kutokuwa na usawa wa ugawaji wa chanjo duniani. Nikacheka kimoyoni nikasema hata Rais wetu kaingia mkenge au kaamua kushiriki hila za mabeberu kutuundia magonjwa na kisha kujidai ukarimu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wazungu bado ni mabeberu na wanyonyaji. Ndo maana Magu aliwachana live

    Hizi ndo akili za wazungu. Kwa nini tusiwaite mabeberu wao wanaamini Bado wanatutawala. Napenda hii movie ingechezwa kipindi cha uncle tungeona rangi zote. Ujinga huu huu ndo uliochelwesha bwawa la nyerere Kwa miaka nenda Rudi bila magu ingekuwa historia Hadi Leo. Tunahitaji watawala jasiri...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mabeberu yalalamika kuwa mfuasi wa Putin (Giorgia Meloni) ndio kachaguliwa kuwa Prime minister wa Italy

    Mabeberu yanalalamika kuwa mtu wa Putin ndio ameshinda kura za kuwa Prime minister nchini Italy. Binti mrembo aliyechaguliwa kuwa Prime minister anaitwa Giorgia Meloni. Hapo kabla, Uingereza ililalamika na kulialia kuwa Georgia Meloni ni hatari kwa Italy na EU kwa ujumla...lakini wa-Italy...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliundwa ili kupunguza au kuondoa rushwa na ufisadi au iliundwa ili kuwahadaa mabeberu watusaidie zaidi?

    Habari! •Trafiki wanachukua pesa mchana kweeupe kwenye madaladala na Bajaji. • polisi wa doria za pikipiki (tigo) nao wanachukua rushwa mchana kweeupe bila woga kutoka kwa bodaboda. •Mahakamani nako rushwa iko waziwazi. •Ofisi za halmashauri rushwa nje nje. Nenda pale depo ya Jiji karibu na...
  16. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Maoni mbalimbali kutoka kwa Mabeberu kuhusiana na SMO ya Urusi

    The Decline And Fall Of The Western Empire Almost everyone sees it, and almost no one wants to discuss it: America and Western Europe are spiraling out of control. And the speed of the descent is crescendoing rapidly. By Jonas E. Alexis, Assistant Editor - August 30, 2022 Almost everyone sees...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanaitosa Ukraine mdogo mdogo baada ya kuona kina ni kirefu na vikwazo havijaizuia Urusi kuendeleza vita wala havijateteresha uchumi wake!

    Tumwombe Mungu vita hii ikome kwa maana mfaidika wa vita hii ni mmoja tu naye anaitwa shetani. Biblia imeweka wazi lengo la shetani ni KUCHINJA. KUUA na KUHARIBU na ndicho kinachofanyika kwenye hii vita. Na shetani anawatumia wote wanaohusika na vita hii ili kutekeleza agenda yake ambao ni...
  20. ward41

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wanataka kuchimba madini huku

    Hiki kimondo kinaitwa Phsyche. Utajili wake ni sawa na Kila mwanadamu anakuwa na utajili wa Bill gates. Kiko ktk ya sayari za mars na Jupiter ila beberu USA kafikisha Voyager na mpango ni kuyachimba madini ya huko. Tujifunze kutoka Kwa hawa watu kuliko kuwachukia. Wako mbali sana kisayansi
Back
Top Bottom