Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
 
Hakuchafuka mmoja tu.
Nchi nzima tulichafuka.
Waliopotea ni wengi sana.
Waliokimbia kufanya biashara ni wengi mno.
Diallo akiwajibishwa kwa ukweli mtapata majibu mabaya zaidi.

Kama miaka 6 tulivumiliana itoshe kuivumilia kauli ya Diallo.
Kazi ziendelee.
 
The pen is mighter than the sword

Kuna mmiliki mmoja tu Tanzania wa vyombo vya habari ambaye anaielewa na kuiishi hii kauli na hajawahi kuingia kwenye mgogoro wowote wa kutumia chombo chake ama kupeleka ujumbe wa kilicho moyoni ama kujitetea baada ya tafsiri kuwa nyingi
 
Mimi mpenzi Sana wa BBC Swahili si Mara mbili wala Mara tatu pindi zipotaka kuwasilishwa habari zilozolenga ubainishwaji wa mambo ambayo kinamna flani mwendazake na genge lake ungewakasilisha habari hiyo ilikatwa na kuwekwa matangazo mpaka ipite..muacheni Diallo.
 
Ni mtu asiejiamini, wakati Magufuli yupo madalakani watu Kama Tundu Lisu, Kimambi na hata Shangazi Fatu walimnanga na kumkosoa rais wazi. Dialo yeye alisubiri mpaka afe, Muoga na mnafiki
 
Hakuchafuka mmoja tu.
Nchi nzima tulichafuka.
Waliopotea ni wengi sana.
Waliokimbia kufanya biashara ni wengi mno.
Diallo akiwajibishwa kwa ukweli mtapata majibu mabaya zaidi.

Kama miaka 6 tulivumiliana itoshe kuivumilia kauli ya Diallo.
Kazi ziendelee.
Hawa washenzi, wanaojifanya wana hati miliki ya Tanzania, inabidi watambue kuwa hiki ni kizazi kingine! ... aliyoongea Diallo ndio haswaaa yaliyokuwa yanaongelewa na umma wote, huku tukiangalia sana tusijemwaga mtama kwa wasiojulikana mabwege(baadhi yao wanajitambua)!
CCM, please, don't mess up with the wrong generation!
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE

Na wana mamruki wao humu tz wamewapandikiza
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE

Aah wapi, unadhani tulikuwa hatusikilizi hayo matangazo ya bbc na DW? Magu hakuwa kiongozi msafi, na alidhibiti uhuru wa vyombo vya habari ili uovu wake usifahamike. Ukweli ni kuwa alikuwa mtu dhalimu na muovu, nyie mliomuelewa ni wali mliofaidika na utawala wake moja kwa moja, au wale waliokuwa brainwashed na propaganda zake.

Alikuwa anasema analinda raslimali zetu lakini akawa anaficha mikataba. Leo hii tunalipishwa double taxation kwenye line za simu, kwanini hizo raslimali zisisaidie kutupunguzia mzigo wa kodi? Kipindi chake ndio tuliona siasa za kihayawani na ukatili wa wazi, chaguzi zote alizigeuza na kuwa ushenzi wa hali ya juu. Kwa maneno marahisi nchi hii ilikuwa mikononi mwa shetani, tunamshukuru Mungu kutuondolea yule mtu dhalimu bila damu kumwagika. Kama mnamtisha huyo Diallo mtisheni maana ni mchafu mwenzenu, lakini kasema ukweli.
 
Kinachosikitisha wafuasi wa sanamu hamtaki asemwe hata kidogo, hivi hata kwenye nafsi zenu mnataka kusema hamfahamu mapungufu ya Mungu mtu wenu?

Kama hamuamini kwenye hayo mapungufu na mabaya aliyotenda basi kweli kabisa tunaishi na viumbe wa ajabu sana na Tanzania Ilifika stage mbaya mno.
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Media zake pia zilitumika sana 2015 kumshambulia mgombea wa upinzani wakati huo.
 
Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na aliichafua sana Serikali na CCM Kwa kiruhusu DW na BBC kumnanga Magufuli.

AWAJIBIKE AU AWAJIBISHWE
Takataka tupu.
 
CHAMA Cha Mazezeta kiliongozwa na mkuu wao
 
Back
Top Bottom