mabasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Ujenzi wa Kituo cha Mabasi cha Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam, kazi Inaendelea kwa kasi kubwa

    Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Mazuri Kwetu Sote
  2. JamiiForums Tanzania Kero hii ya abiria kushushwa kwenye mabasi ili wakaguliwe vitambulisho check point ya Vijinga, Wiliya ya Mkinga Mkoa wa Tanga itaisha lini?

    Hii ni kero ya muda sasa katika Check Point ya Vijinga, Wilaya ya Mkinga, Mkoa wa Tanga, kwa abiria bila kujali vikongwe au wazawazito au wagonjwa wote kushuka chini wafikapo Check Point hiyo ili kukaguliwa vitambulisho vya kura au uraia. Kwa kweli mantiki yake haionikani kwani kwa mtu yoyote...
  3. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi walalamikia gharama za usafirishaji wa abiria kuongezeka. Waiomba Serikali kupitia upya sheria ya usafiri

    CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria. Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  5. JamiiForums Tanzania Salamu kwa wamiliki wa mabasi popote mlipo

    Moja kwa moja kwenye mada. Kwa mtindo huu wanaotumia madereva wenu hakika utadumu ila hautaweza kuhimili soko. Dereva anataka kuwahi kufika Arusha au Mwanza saa 1700hrs, uko njiani ni fujo na hasara anayokuingizia ipo hivi; njiani kuna matuta makubwa (humps) na zile rasta (rumbles) anachofanya...
  6. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali yetu, hatimaye ajali za mabasi zimeisha

    Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendokasi wa mabasi yaendayo mikoani, kwa kumulika vitochi na kuratibu muda wa kuondoka na kufika na sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Kero Stendi Kuu ya mabasi Shinyanga

    Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, natokea Mpanda na kuingia stendi kwa basi la kampuni X muda wa kutoka tukazuiliwa na traffic polisi mweusi mrefu ambaye amelewa chakari ambaye alikuwa anatoa maelekezo ya hovyo na katukalisha kwa dk 40 bila sababu za msingi hii haipo poa pombe zake...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mwendo, bado kuna utaratibu wa ving'amuzi vya mabasi?

    Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe, Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa. Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali iliamua kununua mabasi ya mwendokasi yenye injini za CUMMINS wakati si imara wala madhubuti?

    Mabasi yetu mazuri na yaliyo badilisha muonekano na mfumo mzima wa Usafiri yanatumia injini za CUMMINS. Injini za CUMMINS ndizo ziko KWENYE mabasi yanayoingia nchini kutoka China. Injini za CUMMINS hazidumu kwa muda mrefu ndio maana huwezi kuliona Basi la Yutong lenye namba za usajili zinazo...
  10. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

    Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya Al-Saedy Dar- Iringa: uhuni, dharau na kunyanyasa abiria vimekithiri

    Kampuni ya mabasi ya Al-Saedy yanayofanya safari zake Dar-Iringa wanafanya uhuni na dharau kwa abiria bila kufikiri madhara yake. Abiria wanakatiwa tiketi gari ya saa moja na nusu, mnafika stend ratiba inabadilishwa mnaondoka saa tatu. Nyingine ratiba inaonyesha kuondoka saa tatu, wao wanaondoka...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi inayoongoza kwa kuboresha miundobinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa

    Kwa juhudi zilizochukuliwa na serikali ya TZ katika uboreshaji wa miundombinu ya masoko na vituo vya mabasi ya abiria na thubutu kusema kwa sasa TZ ndio inaongoza kwa kua na miundombinu bora katika nyanja za masoko na vituo vya mabasi ya abiria kwa nchi za East Africa. Ukizingatia project hizi...
  13. JamiiForums Tanzania Nani aliyewaambia na kuwadanganya hawa Wahubiri kuwa abiria wa mabasi ya mikoani ni wakosaji, mapepo na tunahitaji kuhubiriwa nao tukiwa safarini?

    Uko zako ndani ya Basi la Mikoani na kwa bahati nzuri unaweza kukuta ama umebahatika Kukaa na Mrembo Kiti Kimoja na unaanza zako Kumuingizia Voko zako au labda Kondakta wa Basi husika ameweka Sinema Moja Kali na Matata yenye iliyo na Mvuto halafu unakuta katikati ya Safari kuna ama Abiria...
  14. JamiiForums Tanzania Ni Adhabu ipi kati ya hizi zifuatazo zinamfaa mno Abiria wa Mabasi yaendayo Mikoani ambaye hupenda Kukulalia, Kukutemea udenda yake na hadi Kujamba?

    Unakuta unasafiri Umbali mrefu sana kama wa kutoka Mkoani Dar es Salaam na kwenda zako Mkoani Kigoma halafu unajikuta umekaa Siti moja na Abiria ambaye huwa ana tabia zake za Kipuuzi Kipuuzi tu ambapo Usingizi ukimshika atakuegamia na kuanza Kukulalia na hapo hapo akikulalia ataanza Kukutolea...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ijue Siri: Kwanini Njia ya Kigoma - Dar haina mabasi mengi ya ( luxury )

    Njia ya Dar-Kigoma, Dar-Sumbawanga Ni miongoni mwa njia chache Sana ambazo ukiomba kibari Cha njia (TLB ) Kutoka SUMATRA hutasumbuka hata kidogo! Hii inatokana na dhana ya uhaba wa mabasi kwenda maeneo hayo! Swali hapa je, kwanini Ni machache? Wengi wanadhani uhaba wa mabasi unachangiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni gani ya Mabasi inayobamba mkoani kwako (Ruti unazosafiri mara nyingi)?

    Iwe Kampuni ya mabasi ya kutoka mkoa ulipo kwenda mikoa mingine au safari za ndani ya mkoa. Zipo kampuni mpya zinakimbiza mbaya sana. Zipo kampuni za zamani bado zinatesa. Achana na zile zinazochechemea Vigezo viwe:- Huduma zilotewazo na hayo mabasi Upya wa mabasi Nauli Hii itasaidia memba...
  17. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

    Scandinavia (Dar) Metro (Dar) Sumry (Sumbawanga) Mohamed Trans (Shinyanga) Hood (Morogoro) Sabco (Moro) Islam (Moro) Sadick Bus (Moro) Lupelo Inv. (Iringa) Super Service (Singida) Super Star (Dodoma) Matema Beach (Mbeya) Kiswele (Songea) Fresh ya Shamba No Challenge Safina Inter City Zafanana...
  18. JamiiForums Tanzania Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Chasis ya Scania Bus engine nyuma Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani. Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Abiria wengi wa Mabasi ya Mikoani wakifika maeneo ya Mto Wami na Milima ya Kitonga Nyuso zao huwa ni za Huruma sana?

    Na kama haitoshi kuna Abiria wengine mkiwa mnayakaribia tu hayo Maeneo tajwa Mawili Maandiko ya Vitabu vya Dini vya Biblia Takatifu na Quran Tukufu huwa wanayakumbuka na pia wanajua mno Kuyadadavua kwa mapana yake. Na kinachonishangaza sana mkiyapita tu hayo Maeneo utaona Abiria wote ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Msamvu, Morogoro: Vibanda 8 vya biashara katika eneo la Stendi ya Mabasi vyateketea kwa moto

    Moto ambao haujafahamika umesababishwa na nini umewaka na kuteketeza vibanda vya biashara takriban 8 katika eneo la stendi ya Msamvu, usiku wa kumakia leo Akizungumza baada ya kuudhibidti moto huo, Kamanda wa Uokoaji na Zimamoto mkoani humo, Godluck Zerote amesema hakuna mtu aliyedhurika bali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…