mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

    PIA, SOMA: - Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
  2. DR SANTOS

    Mabadiliko ya vifurushi: Kwa staili hii ushindani utatoka wapi?

    Habari wana jamvi Tanzania ndio nchi ambayo tunanunua bando kwa bei rahisi sana ukilinganisha na mataifa mengine, kumekua na tendency kubadili huduma za vifurushi hasa internet kwa makampuni hilo halina tatizo kwani lengo lao ni kuongeza income. Mfano kupunguza idadi ya megabyte kwa asilimia...
  3. J

    CCM iwe makini na mabadiliko ya Tabia nchi, tishio la ukame na njaa siyo la kulipuuza kisiasa na kiuchumi

    Kada mkongwe mzee Mgaya ametoa rai kwa chama chake CCM kutopuuza tishio la ukame kama ilivyoripotiwa na TMA. Mzee Mgaya anasema Watanzania hawajazoea njaa na endapo itatokea hali kama ya mwaka 1980 tulipokula ugali wa yanga na ule mweusi wa unga wa mtama basi mustakabali wa CCM utakuwa...
  4. DaudiAiko

    Haya ndio mabadiliko ya tume huru yanayo pendekezwa na wana CHADEMA. Je, unakubaliana nao?

    Wanabodi, Siku mbili zilizo pita, wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) walifanya kongamano jijini Dar Es Salaam katika shughuli zao za kudai tume huru ya uchaguzi. Katika kongamano hilo, wanawake hawa walipewa majukumu ya kudai tume huru huku wanaume wakipewa majukumu ya kudai katiba mpya na wazee...
  5. M

    SoC01 Mambo ya kufanya yatayo leta mabadiliko

    Uchumi na Biashara kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo tenga maeneo kwa ajili ya masoko, shule ,hospitali, vituo vya mabasi, nyumba za ibada nakazalika...
  6. Fundi Madirisha

    Mabadiliko ya Katiba ya nchi si takwa la watawala, hulazimishwa na wananchi

    Kuna mtu anaweza kuja na nadharia zake dhaifu kupinga lakini huu ndio ukweli. Hakuna mtawala aliyewahi kukubali kukaa chini na kupendekeza mabaliko ya katiba bila msukumo kutoka kwa wananchi kupitia matukio magumu yatakayomlazimu kukaa kupatanishwa na mahasimu wake. Alipata kuyasoma haya...
  7. swalehe de wise

    SoC01 Kuchelewa kwa kesi na mabadiliko muhimu

    KUCHELEWA KWA MAAMUZI YA KESI. Kuchelewa kwa kesi ni hali ambayo kesi inachukua muda mrefu Zaidi kuliko ule muda uliowekwa kisheria. Kwa Tanzania tatizo hili bado lipo kwa kesi za madai na jinai na kuna sababu nyingi zinachangia kuwepo na tatizo hili, zikiwepo, uchunguzi wa ushaidi kuchukua...
  8. beth

    New York, Marekani: Rais Samia ashiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya TabiaNchi

    ‪Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi duniani ambapo amesisitiza juhudi za kupambana na janga hilo kutopuuzwa‬ ‪ ‪Amesema, "Bado tunataabika na changamoto kubwa ya UVIKO19 ambayo imeangusha hali ya Uchumi na kufuta mafanikio yaliyofikiwa katika...
  9. T

    SoC01 Mabadiliko ya kweli

    Habari wana jf. Ni matumaini yangu kila mmoja wetu anaendeleza harakati za kutengeneza maisha bora kwake na familia yake na taifa kwa ujumla. Kwa takwimu zilizopo Tanzania ni moja ya nchi masikini duniani licha ya utajiri mkubwa tulionao wa rasilimali ikiwemo watu, madini, vivutio vya utalii...
  10. JACKLINE CELESTINE KITALE

    SoC01 Mabadiliko katika mfumo wa elimu ni lazima

    Huwa ni kawaida kuona vitu vinabadilika kutokana na mabadiliko mbalimbali. Mfano, mavazi, kutoka kwenye makuti au maganda ya mimea kwenda kwenye kuvaa nguo, jinsi ya ufanyaji kazi, kutoka kwenye utumiaji wa watu kwenda kwenye utumiaji wa mashine, vyombo vya usafiri, kutoka kutembea kwa...
  11. M

    CCM Hii ndo Hii au tutegemee Mabadiliko?

    Ni swali Tu.🤔
  12. S

    SoC01 Sitaki umasikini, ni zamu ya mabadiliko

    SITAKI UMASIKINI, NI ZAMU YA MABADILIKO. Habari wana Jamii Forum katika jukwaa la story of change. Andiko hili limelenga kuonesha nini tufanye ili kuondokana na umasikini wa aina zote hasa wa kifikra ambao ndio hupelekea aina zingine zote za umasikini . Karibu. SITAKI UMASIKINI Sitaki...
  13. Superbug

    Chama Cha Democrat ndio wapenda mabadiliko USA, ona hii

    1. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mkatoliki Kennedy. 2. Ndio waliokuwa na Rais wa kwanza mwafrika Obama. 3.Ndio wamekuwa na waziri wa kwanza mwafrika wa mambo ya nje. Powell. 4. Ndio wamekuwa na waziri wa ulinzi mweusi wa kwanza . Huyu jenerali wa Sasa.
  14. beth

    UN: COVID-19 haikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi

    Umoja wa Mataifa umesema janga la virusi vya corona halikupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi. Katika ripoti iliyotolewa na umoja huo leo Alhamisi, imearifiwa kuwa utoaji wa hewa chafu ya kaboni katika sekta ya viwanda ulibaki katika kiwango kile kile cha mwaka 2019. Kitengo cha hali ya hewa...
  15. Boniface Evarist

    SoC01 Usitafute ajira bali tengeneza ajira

    Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
  16. Chaliifrancisco

    Yajue mabadiliko yanayokuja katika Sheria ya Usalama Barabarani

    Serikali inakusudia kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Usalama Barabarani, Sura ya 168. Marekebisho yaliyowasilishwa Bungeni kupitia Mswaada wa Marekebisho ya Sheria ya makosa ya Barabarani ni pamoja na:- 1. Marekebisho katika Kifungu cha 21, kwa kuweka sharti la lazima kwa mtu yeyote...
  17. W

    Historia ya Katiba ya Tanzania na mabadiliko 14 ya Katiba tokea Uhuru mpaka sasa

    Katiba ya nchi ni muafaka wa kitaifa unaoanisha namna taifa linavyohitaji kujitawala katika mambo yote na kuendesha mambo yake. Hivyo basi, Katiba ya nchi ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali pia huanisha haki za msingi za wananchi...
  18. Babe la mji

    CHADEMA inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo ili iwe na sifa za kushika Dola

    Najua hili bandiko litawakela Sana ndugu zangu wa Chadema lakini inabidi tuvumiliane tu. Kwa jinsi chama kilivoasisiwa inaonyesha kabisa kina nguvu kubwa sana ya kimfumo kutoka kaskazini. Sasa kwa hali hiyo isingewezekana mwaka 2015 na 2020 kupewa nchi. Hali hii ingeleta swala la ukabila...
  19. J

    SoC01 Pwani: Wakazi Kijiji cha Mdimni hatarini kupoteza makazi kwa athari za mabadiliko ya tabianchi

    Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga. Na Mwandishi Wetu Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
  20. nyboma

    Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena...
Back
Top Bottom