Leo nimewaza na kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya itakuwaje

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.!

Mambo ye nyewe:-

* TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia.

* Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari.

* Simba na Yanga zimeshuka daraja na kuingia ndondo kapu.

* Ugonjwa wa kisukari unaosumbua watu kumbe dawa yake ni chunvi.

* Tanzania kuogopwa na mataifa makubwa kwa sababu ya chama kisicho toka madarakani kwa demokrasia.

ni hayo tu
 
Wakati unawaza utakua ulikua unasikiliza ule wimbo wa asikwambie mtu tutuu,bia tam,na wakati huohuo unashushia na bia yenyewe.
 
Back
Top Bottom