Ikiwa ni zaidi ya miaka minne sasa tangu reli ya kisasa ya Mombasa-Nairobi nchini Kenya kuanza kutumika, sekta ya uchukuzi wa shehena na abiria imepata mabadiliko makubwa na kusaidia ukuaji wa uchumi na ajira.
Kufikia sasa, zaidi ya abiria milioni tano wamefaidika na uchukuzi wa bei nafuu...
VITABU vipya vya “Historia ya Tanzania” vilivyokuwa vimechapwa kwa agizo la Rais John Magufuli havitatumika tena. Badala yake, vitaandaliwa vingine – endapo kutakuwa na umuhimu huo, SAUTI KUBWA imeelezwa.
Somo hilo lilipangwa lifundishwe kwa wanafunzi wa shule za awali hadi sekondari za juu...
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania.
Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao?
Pia kwanini Tume ya...
I) POSITIVES
Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi.
1. Kutotumia...
Hadi sasa, imegundulika kuwa virusi vya Corona vimepitia mabadiliko aina 5
Alpha: Aina hii ilitambulika kwa mara ya kwanza Nchini Uingereza kabla ya kusambaa kwingine
Beta: Aina hii iligundulika Desemba 2020 Nchini Afrika Kusini
Gamma: Aina hii iligundulika Januari 2021 Nchini Japan baada ya...
Nimeishi nchini China kwa miaka 13 sasa. China ni nyumbani kwetu kwa pili na ni nchi ambayo naipenda sana, nchi ambayo naishi, nafanya kazi na hata kumsomesha mwanangu. Kusema kweli najihisi mwenye bahati kuwepo hapa na kushuhudia mabadiliko ya kiwango kikubwa cha maendeleo ya kasi ya Wachina...
Habari Tanzania!
Wakati Klabu ya Simba inakwenda kufanya mabadiliko ya Kiwendeshaji wa Klabu kulikuwa na tafarani nyingi sana za kukatisha tamaa kutoka baadhi ya Waandishi wa Habari za Michezo na Watangazaji pamoja na Wachambuzi, kama haitoshi walikwenda mbali zaidi kudai Uwekezaji haifai na MO...
Nawaza na kuwazua sipati jibu. Ndani ya siku 100. Tanzania yametokea mambo ambayo sijui "_aliyekuwa na nchi akiamka atasemaje.
Hebu ona hii orodha:
1) CHADEMA wameshinda kesi hivyo 350 miilion zirudishwe
2) Barakoa mpaka viunga vya ikulu
3) Sabaya yupo jela
4) Mdude kaachiwa
5) Kufundisha...
Taifa zima limekuwa likidhani kuwa suala la katiba mpya ni hisani ya CCM au rais aliyeko madarakani. Hili jambo siyo kweli hata kidogo.
Suala la katiba mpya linaongozwa na Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Katika sheria hii, hakuna mahali rais amepewa mamlaka ya kuzuia mchakato wa...
Habari za mchana huu wakuu,
Moja kati ya habari zinazogagaa mitandao mbalimbali ni suala la aiyekuwa mbunge wa zamani Tundu Lissu kuonekana katika majina ya watu wanaotakiwa kulipwa stahiki zake.
Je, Job Ndugai atajisikiaje maana alikuwa anaongoza hadharani kumkashifu Tundu Lissu ilihali...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu ameahidi kufanya mabadiliko makubwa kwa watendaji wa mamlaka za serikali za mitaa kutokana na kutoridhishwa na utendaji kazi wa baadhi ya watumishi na Wakuu wa Idara katika mamlaka hizo.
Waziri Ummy...
SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI.
****************************
Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia) ZINAZOWABANA kama ifuatavyo;
1)Kuzuiwa kuishi peke yao kwa walio na miaka zaidi ya 18 kabla ya kuolewa...
Wazee wa busara wanawasha moto hatari, kuna kikao kipo underway hapo utopoloni wale wazee ambao juzi walisema hawatapeleka team uwanjani kucheza na simba hawataki kusikia lolote kuhusu mabadiliko ya uendeshaji wa team hiyo.
Binafsi nawaunga mkono sana, Yanga ni team ya wananchi inakuwaje iwekwe...
Ni mabadiliko sahihi yanayoenda kuboresha utendaji wa kazi ndani ya mikoa yao na serikalini kwa ujumla
Mheshimiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila, mara kadhaa amekuwa ni mtu wa kutoa kauli tata sana kwa lugha nyepesi ni mropokaji, kwa nafasi yake kama mkuu wa mkoa sio busara sana kuwa mropokaji...
Tarehe 18/07/2013 Uongozi wa Rais Leodegar Tenga na Katibu Mkuu Angetile Osiah kwenye Kanuni za Uchaguzi za 2013 waliongeza kipengele cha sifa za Mgombea Urais na Makamu wake kuwa na elimu ya angalau Degree ua Chuo Kikuu (University Degree) Kipengele cha 9(8).
Kwenye mabadiliko ya Katiba...
Kwenye mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa uliofanyika Septemba 2020, Rais Xi Jinping aliushangaza dunia kwa kutoa ahadi kuwa China itafikia kilele cha utoaji wa carbon mwaka 2030, na kuanzia hapo itapunguza kiwango hicho hadi kufikia 0 mwaka 2060. Wataalamu wanakubaliana kuwa China ni moja...
26 May 2021
Nairobi, Kenya
MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA
Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe .
Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.