mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
  2. Lady Whistledown

    India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
  3. JanguKamaJangu

    Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  4. T

    Mabadiliko ndani ya CCM badala ya kuleta matumaini yamewavuruga wengi na kesho ya Taifa la Tanzania

    Awali ya yote niipongeze serikali na viongozi wake kww kazi wanaifanya japo kama Taifa tunaona kuna mabadiliko makubwa ya kimfumo yanatakiwa kufanyiwa kazi ili Taifa hili liweze kwenda mbele tukiwa na umoja wa kitaifa. Ccm chini ya viongozi wakuu wa Taifa hili wametoka kwenye misingi baba wa...
  5. B

    Hongera Dkt. Anna Makakala, Diaspora tumeona mabadiliko upokeaji maombi ya pasipoti ila Sasa maafisa wachache wamekalia maombi bila kutoa pasipoti

    Mara mwisho nikiwahi kuleta Uzi hapa kuishauri Uhamiaji iache kuwarudisha waombaji wa pasipoti bila kuwapokea Jambo lililopelekea vishoka nje ya ofisi zao kushirikiana na maafisa kushawishi ndipo maombi yapokelewe. Vijana wengi na watu wengi tulionao kwenye group la WhatsApp na tunaojadili nao...
  6. WilsonMwalukasa

    Wasaa wa kufanya Mabadiliko ya Elimu na mitaala nchini

    Habari zenu. Swala la elimu nchini Tanzania, ni swala ambalo wanasiasa wengi nchini iwe chama tawala na hata vyama pinzani kiujumla Kwa pamoja wameshindwa kuona kama ni miongoni mwa kikwazo Cha maendeleo nchini. Serikali imekuwa ikipanga malengo na maono makubwa, ambayo ni tofauti na aina ya...
  7. Q

    Wadau wapendekeza mambo 12 mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi na Vyama vya Siasa

    Kwa kifupi; 1. Matokeo ya urais kuruhusiwa kupingwa mahakamani. 2. Mfumo kuruhusu Mgombea binafsi. 3. Kuwepo kigezo cha 50 + 1 kwa mshindi. 4. Kuwe na uwakilishi sawa wa 50/50 kwa jinsia zote. 5. Jeshi la polisi kutoingilia shughuli za vyama vya siasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. 6...
  8. JanguKamaJangu

    Rais Samia: Tumepokea ripoti za uchunguzi, tutafanya mabadiliko Polisi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo yaliyotolewa na tume zilizoundwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na baadhi ya askari polisi baada ya malalamiko ya wananchi yataleta “mabadiliko kidogo ndani ya jeshi hilo”. Akijibu swali la mikakati ya Serikali itakayofanya raia wawe na imani na...
  9. peno hasegawa

    Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari). Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia...
  10. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  11. L

    Wanawake waathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi

    Kila ifikapo tarehe 8 Machi dunia inaadhimisha siku ya wanawake, yakiangaliwa mafanikio na juhudi za wanawake katika upande wa kihistoria, kiutamaduni na kisiasa. Siku hii pia inaangazia na kuunga mkono hatua zinazochukuliwa dhidi ya ukosefu wa usawa wa kijinsia duniani kote. Sote tunajua kuwa...
  12. beth

    Mabadiliko ya TabiaNchi yanaathiri zaidi Wanawake sababu ya kukosekana Usawa wa Kijinsia

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani (Machi 8, 2022), inaelezwa kuwa Wanawake na Wasichana wanakumbana na athari kubwa zaidi za Mabadiliko ya TabiaNchi, kwani yanazidisha ukosefu wa UsawaWaKijinsia Umoja wa Mataifa (UN) unasema Ulimwenguni kote Wanawake wanategemea zaidi Maliasili, ilihali wana...
  13. R

    Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia ni ya kuigwa. Vijana tujiandae kwa mabadiliko

    Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana. Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na Afrika miaka 200 iliyopita. Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za...
  14. L

    Mabadiliko ya bei

    MARKET EQUILIBRIUM Market ni soko na Equilibrium ni usawa. SUPPLY PRODUCT = DEMAND PRODUCT Kwahiyo usawa wa soko unapatikana pale bidhaa zilizozalishwa kwaajli ya mauzo ni sawa na bidhaa zinazohitajika na wanunuaji. UPANGAJI WA BEI KUTUMIA DEMAND NA SUPPLY 1. Demand isipobadilika, ila...
  15. Chachu Ombara

    NACTE yabadilishwa jina, sasa kujulikana kama NACTVET

    Baraza la Taifa na Elimu ya ufundi (NACTE), sasa limebadilishwa jina na litajulikana kama Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET), mabadiliko hayo yamefanywa kufuatia Bunge kufanya mabadiliko mbalimbali ya Sheria ikiwemo Sheria namba 4 ya 2021. Mabadiliko hayo...
  16. B

    Pongezi mabadiliko makubwa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais. Asante Zuhura Yunus

    Hii ni Pongezi kwa Kurugenzi ya Habari ya Rais, lakini natambua umuhimu wa Kiswahili. Nashauri wale mliokua allergic na English toka awamu ya 5 basi piteni tu. Leo baada ya miaka mingi tumeona Kurugenzi ya Rais ikitoa taarifa kwa lugha ya English, Lugha ambayo inawafikia wenzetu wengi wa nje ya...
  17. GUSSIE

    Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

    Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria zilizotumika kwa kurudi nyuma baada ya kutungwa ni sheria ya Bodi ya MIKOPO ya wanafunzi wa elimu ya juu(...
  18. w0rM

    Mabadiliko ya Sheria mbalimbali kufanyika Bungeni: Wananchi waalikwa kutoa maoni yao (Pitia mabadiliko hapa)

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria inawaalika wadau kutoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali Na. 7 wa Mwaka 2021 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No. 7) Act, 2021. Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing)...
  19. chiembe

    Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal)...
Back
Top Bottom