mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mabadiliko yajayo ya Ma-RC namuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kama RC mpya

    Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa. Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga. Naona pia...
  2. B

    Tusimlaumu Rais Samia kwa mapungufu yaliyojitokeza kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia hivi karibuni alifanya mabadiliko kwenye safu ya mawaziri wake na katika mabadiliko hayo mengine yamelalamikiwa na mengine yamesifiwa. Katika yale ambayo inaelekea wananchi wengi hawakupendezwa nayo ni pamoja na Waziri Madelu Mwigulu Nchemba kuachwa kuendelea kuwa Waziri wa Fedha...
  3. masara

    Ikitokea unawaza kwa sauti juu ya mabadiliko yaliyotokea uongozi wa awamu ya tano na ya sita, kwa huu muda mfupi unafikiri tutasikia maneno

    Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
  4. F

    Mabadiliko ya Katiba natamani hili lingezingatiwa pia

    Wakati Katiba Mpya inaandikwa kama ningelikuwepo kwenye mazingira hayo, ningependekeza kuwepo na Mihimili minne katika Tz kwa jinsi mambo yanavyoenda tangu baada ya awamu ya kwanza ya uongozi wa nchi, yaani mitifuano ya kisiasa ambayo haina afya kwa ustawi wa taifa. Mhimili wa nne ungekuwa ni...
  5. Q

    Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa. Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa...
  6. GENTAMYCINE

    Jicho langu Kuu la 'Kiuchambuzi' na 'Kimtazamo: juu ya 'Mabadiliko' ya Saa 24 tu zilizopita

    1. Ni mabadiliko ya kuonyesha kumbe kulikuwa hakuna kabisa Maelewano kati ya aliyelala mazima na aliye Hai akiendelea na Kazi, bali ni Unafiki mtupu ndiyo ulikuwa Umeshamiri japo kuna Mtu kila katika Hafla alikuwa akionekana Kutabasamu na hata Kutuhutubia Watu kwa Kuunga mkono harakati zote za...
  7. K

    Hongera Nape Nnauye kwa kurudi kwenye nafasi ya Uwaziri

    Ninapenda kutumia jukwaa hili kumpongeza waziri wa michezo Nape Nauye. Hizi pongezi ni mahususi kwa Nape kwa sababu ni moja ya viongozi walioweza kusimamia haki na ukweli kwa kulipa gharama kubwa ya kupoteza nafasi yake ya Uwaziri. Funzo: Viongozi mnaoteuliwa simamieni haki bila kujali kama...
  8. Pascal Mayalla

    Mwaka 2021 ulikuwa ni Mwaka wa Majanga kwa Tanzania. Mwaka 2022 uwe Mwaka wa Mabadiliko, Watanzania tubadilike! Happy New Year!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Salaam za Mwaka Mpya, Imechapishwa kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Jana ndio tumeuanza mwaka mpya wa 2022, hivyo nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wangu na Watanzania wenzangu, “Happy New Year”. Wakati tukitakiana heri ya mwaka mpya, sio...
  9. T

    Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  10. Madihani

    Mbezi Louis: Mabadiliko makubwa yaliyotokea ndani miezi michache baada kifo cha Dkt. Magufuli

    Habari za muda huu JamiiForums. Picha zinawekwa hapa kwahio hakuna haja ya maneno mengi. 1.Mbezi Louis ya Mwendazake (Dictatorial Regime). 2. Mbezi Louis ya Samia Suluhu.
  11. Roving Journalist

    Mabadiliko ya vipaumbele vya serikali vyatajwa kuwa na athari kwa mipango ya TANESCO

    TANESCO wametaja mabadiliko ya mara kwa mara ya vipaumbele vya serikali kama moja kati ya kitu ambacho huathiri mpango wa TANESCO. Hayo yameandikwa katika mpango wa TANESCO wa 2020 hadi 2025. Pia wametaja mahusiano ya kimataifa na makubaliano ambayo huwa yanakuwa tofauti tofauti. Katika mambo...
  12. Makonyeza

    Mabadiliko makubwa ya Sheria za jinai nchini

    Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
  13. Memento

    Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

    Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua. Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee Eti watu waanze kupanga kazi zao
  14. S

    Mabadiliko ya kimfumo mikopo elimu ya juu

    MAOMBI YENYE KUBAHATISHA kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na kulingana na hali alonayo. Ni mara nyingi nimesikia, nimejionea na nimejaribu nami pia katika kuhakikisha...
  15. L

    Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  16. L

    China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa na pande mbalimbali duniani. Ikilinganishwa na maeneo mengine, bara la Afrika linaathiriwa zaidi na...
  17. W

    Tanzania itakavyofaidika na mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka tarehe 12 Novemba 2021. kujadili athari...
  18. DaudiAiko

    Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo. Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
  19. beth

    Glasgow, Scotland: Rais Samia ahutubia Mkutano wa Umoja wa Mataifa unaojadili athari za mabadiliko ya tabianchi

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Mabadiliko ya Tabianchi ni suala la Dunia nzima, hivyo suluhisho lake linapaswa kuwa la Ulimwengu wote Ameeleza kuwa hatua za pamoja zikichukuliwa na Mataifa, inawezekana kuokoa Ulimwengu. Ametoa wito kwa Mataifa yaliyoendelea kusaidia yale...
  20. Fbn

    Leo nimewaza na kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya itakuwaje

    Leo nimewaza ujinga wa kujiuliza kama Tanzania ikatokea haya.! Mambo ye nyewe:- * TBL (kampuni ya bia) imeokoka na kuanza kuuza soda kwenye chupa zake walizokuwa wana weka bia. * Kampuni ya Azam imeacha kutengeneza bizaa za vyakula na kuanza kutengeneza magari. * Simba na Yanga zimeshuka...
Back
Top Bottom