Twitter yafuta akaunti 170,000 zilizokuwa zikihamasisha maandamano Hong Kong na kueneza uongo kuhusu usambaaji wa COVId-19 China

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,402
Mtandao wa Twitter umesema umezifuta akaunti 170,000 zilizokuwa zinahamasisha maandamano Hong Kong, kutoa mtazamo wa uongo kuhusu COVID19 na kuhusu maandamano ya Marekani ya George Floyd

Twitter imesema akaunti 23,750 zilizoandika jumbe hizo na 150,000 zilizosaidia kusambaa zaidi jumbe hizo mfano kwa ku-retweet, zote kwa pamoja zimeondolewa

Imeelezwa kuwa japo Twitter imezuiwa China kampeni hizo zililenga Wachina nje ya nchi hiyo na zilihusu maandamano ya Hong Kong, kuzuia kuingia China kwa tajiri Guo Wengui na upotoshaji juu ya kiwango cha kuenea kwa #Coronavirus

Watafiti hao wanasema jumbe zilikuwa zikisifu China kwa namna ilivyopambana na ugonjwa wa Corona huku zikitumia janga hilo kuwachukiza Wanaharakati wa Hong Kong na Marekani

Watafiti walichunguza jumbe 348,608 kati ya Januari 2018 na Aprili 2020 na kubaini kuwa jumbe nyingi zilitumwa katika muda wa kazi wa Beijing kati ya Jumatatu na Ijumaa, na kutotumwa Wikiendi

Hii sio mara ya kwanza kwa Twitter kuchukua hatua kama hiyo. Agosti 2019 ilizifuta karibu akaunti 1,000 zilizoaminika kufanyakazi zikiwa China Bara zikiwa zinatuma jumbe za kupandikiza mzozo wa kisiasa HongKong

===
Twitter announced Thursday that it had shut down more than 170,000 accounts tied to the Chinese government. Experts working with Twitter who reviewed the accounts said they pushed deceptive narratives around the Hong Kong protests, Covid-19, and other topics.

The company said the accounts were "spreading geopolitical narratives favorable to the Communist Party of China" and were removed for violating its platform manipulation policies.

Twitter's takedown is the latest development in Silicon Valley's attempt to thwart governments using social media platforms to push narratives in their favor.

Twitter is officially blocked in China, though many people in the country are able to access it using a VPN. Among the targets of the Chinese campaign were overseas Chinese "in an effort to exploit their capacity to extend the party-state's influence," according to the Australian Strategic Policy Institute, a group Twitter worked with to analyze the accounts. Twitter said the accounts tweeted "predominantly in Chinese languages."

Renee DiResta, research manager at the Stanford Internet Observatory, who also analyzed the accounts, said that many of those that posted about Covid-19 throughout the spring had only been set up in late January.

"Narratives around Covid," the SIO wrote in its analysis, "praise China's response to the virus while tweets also use the pandemic to antagonize the U.S. and Hong Kong activists."

Twitter said it had identified 23,750 accounts it described as a "highly engaged core network" that were used to tweet content favorable to Beijing and a further 150,000 accounts that were used to amplify the content, for example, by retweeting content posted by core accounts.

The 23,750 accounts collectively tweeted 348,608 times, according to the researchers at Stanford.

Twitter said many of the accounts had been identified early and therefore had low follower counts and low engagement.
This is not the first such action taken by Twitter. In August 2019, the company removed just under 1,000 accounts believed to be operating within mainland China for "deliberately and specifically attempting to sow political discord in Hong Kong."

The company also announced Thursday that it had shut down accounts tied to Russia and Turkey

Twitter found more than 1,000 accounts that promoted the ruling United Russia party

In Turkey, a network of 7,340 accounts posted content favorable of Turkish President Recep Tayyip Erdogan's AK Parti. Stanford researchers said the accounts had tweeted 37 million times

Tweets from many of the accounts Twitter shut down will be posted by the company to an archive where they can be studied
 
How come a land of free trying to muzzle free expression of their Geopolitical rivals!!

US Admnistration loaths being told the truth but are good at demonising China,Russia, North Korea, Iran and Moduro.
 
How come a land of free trying to muzzle free expression of their Geopolitical rivals!!

US Admnistration loaths being told the truth but are good at demonising China,Russia, North Korea, Iran and Moduro.
Face-off! It time that US na it's Allie stop meddling in Africa affairs! If they can't face theirs !
 
Si nilisikia hawa wachina hawana Twitter eti walipiga marufuku sasa hii ikoje?
Mtandao mkubwa wakimagharibi unaotumika UCHINA nihuo pekee nawenyewe haupo UCHINA yote upo baadhi majiji tena yale makubwa makubwa zaidi... kama BEIJING KONG n.k
 
How come a land of free trying to muzzle free expression of their Geopolitical rivals!!

US Admnistration loaths being told the truth but are good at demonising China,Russia, North Korea, Iran and Moduro.
Seems like you didn't read the article well before commenting, or you didn't understand?
 
Mtandao mkubwa wakimagharibi unaotumika UCHINA nihuo pekee nawenyewe haupo UCHINA yote upo baadhi majiji tena yale makubwa makubwa zaidi... kama BEIJING KONG n.k
Sio kweli, kuna wachina ninawasiliana nao mara kwa mara kupitia WhatsApp.
 
Sio kweli, kuna wachina ninawasiliana nao mara kwa mara kupitia WhatsApp.
Kuwasiliana nao kwako hakuondoshi huo ukweli hapo Juu MKUU

Wengi unaowaona wana wasapuka Wanatumia VPN sio kama unavyotumia wewe una download tu kawaida unawasapuka
 
Back
Top Bottom